Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu asiyeonekana, mara atafute namna ya kusogea karibu zaidi na alipo Mh. Lissu, mara atafute nafasi ya...
Naomba kuuliza maswali mawili kuhusu ILANI ya uchaguzi Mkuu ya CHADEMA 2020 kuhusu sera yao ya MAJIMBO au Dby D
(1) CHADEMA wanainadi sera yao ya Majimbo lakini kuna MIKOA/HALMASHAURI ambazo zina makusanyo yake yapo chini, wanashindwa hadi kuwalipa Madiwani wao, Je,serikali yake ya itawezaje...
Kumekua na wimbo ambao umekua ukiimbwa kwenye harakati za chadema kwa mda mrefu safari hii siajausikia kabisa sijajua kwa nini.
Wimbo ulikua ukiimbwa hivi "TUWAMWAGE MAFISADI" huu wimbo ulileta hamasa kubwa sana kwa vijana kuhusiana na tatizo sugu la ufisadi hapa nchini kwetu.
Kwa maoni...
Wakuu natanguliza salamu , pia nawaombeni radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu lukuki zinazohusu uchaguzi , muda uliobaki ni mfupi na hatuna namna zaidi ya kuvurumisha hewani taarifa za Mgombea huyu mwenye mvuto kuliko wote na ambaye ni tegemeo la wananchi .
Leo tena Mh Tundu Lissu anaendelea na...
Wakuu Salaam:
Mawakala hua ni sehemu ya uchaguzi katika kuhakikisha upigaji na utaratibu wa kuhesabu kura unaenda kwa Uhuru na Haki.
Mawakala wa Chama husika wanatakiwa kuhakikisha kura zilizopigwa kwa upande wa chama chao zinahesabiwa kwa haki bila uhuni wowote.
Kwa uchaguzi wa serikali za...
Mgombea Ubunge wa Chadema Karagwe, Adolf Mukono, wagombea udiwani Kata za Chanika na Kituntu wakamatawa na Jeshi la polisi
“Tumewakamata baada ya kupata malalamiko kutoka upande wa CCM wakidai kwamba Chadema hawana ratiba ya kufanya kampeni zozote katani Chanika. Tulipomwuliza Msimamizi wa...
Mwenendo wa TV inayoendeshwa kwa kodi za watanzania wote bila kujali vyama vyao, ni mbaya. Wanaonesha LIVE mikutano ya kampeni za CCM pekee.
Kama walitofautiana na CHADEMA, kwanini hawaoneshi LIVE mikutano ya vyama vingine mfano ADC, CHAUMA, ACT, CUF na vingine? TBC nawachukia kama...
Nimeanzisha mjadala huu baada ya tukio la jana huko Chato la msafara wa Mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu kushambuliwa kwa mawe na wafuasi wa CCM mara baada ya kumaliza kuzungumza na wananchi katika mkutano wake wa kampeni.
Kabla ya tukio hilo la Jana tulimwona yule ajiitaye...
Polepole bado Ni kijana, na hakuna kijana anaipenda CCM Ila kwa maslahi ya kuwa chama tawala. Hivyo Kama siku CCM (Mungu apishie mbali) ikianguka kwenye uchaguzi CCM itakimbiwa na wengi hata usiowatarajia. Wakwanza kuhamia Chadema anaweza kuwa mh. Polepole.
Kila anayesema CCM Oyeee mtizame...
Ikiwa Kampeni zimeshika kasi yule Mgombea ambaye nyota yake inang'ara Mh Tundu Lissu , leo anaendelea na kampeni kwenye Majimbo ya kanda ya ziwa ya Ukerewe na Rorya.
Kama kawaida yetu tuko hewani kukuletea kila kinachojiri kwenye mikutano hiyo .
Endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za...
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
Uchaguzi 2020 - Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu
Aida Khenan ambaye ni Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkasi Kaskazini akiendelea kuomba kura kwa wananchi kama alivyotumwa na Chama chake
Njia pekee ni kuzuia Mawakala kuingia na simu kwenye vituo vya kupigia kura
Salaam Wakuu,
Inadaiwa kuna mambo hayaendi Vizuri huko Chato Mkoani Geita. Tunaomba Jeshi la Polisi lihakikishe amani kwa Wakazi wa Chato wa vyama vyote.
Hapa chini ni Taarifa kutoka Viongozi wa CHADEMA nliyotumiwa Usiku wa leo.
"Tumevamiwa na kuchomwa Moto kwa Mgombea Ubunge Maalum Massai...
Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter:
Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo...
Nimeona mashabiki wachache wa Chadema wameanzisha Uzi kwaajili ya kutopiga kura kwa Wasanii wanaoshabikia CCM unajua Kuna vitu vinachekesha Sana na ukute hao watu Ni watu wazima na wengine wanawatoto yaani unawapangia wasanii Cha kumshabikia mbona wao hawajakupangia chama Cha kumshabikia Nani...
Hakukuwa na sababu ya msingi kwa MC, DJ Mbowe na Mwalimu kuwapa watu waliohudhuria tension zisizo na maana eti kuna maamuzi mazito yatokanayo na uenguaji wa wagombea wa ACT na CDM.
Taarifa yenyewe ambayo imesisitizwa na hawa wasanii ni
1. Kutokuwa tayari kujitoa uchaguzi huu.
2. Kudai katika...
Leo eneo la Kinyerezi kwenye kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ambaye ndie Rais Mtarajiwa hilo halina ubishi, Kumbilamoto amemuomba msamaha Dkt. Magufuli kuwa walifanya makosa makubwa sana akiwa Meya wa Ilala kupitia CHADEMA kuhujumu miradi ya Serikali ili kuonesha Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.