Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Chama makini huwa na protocol mfano kuongea na taifa nani anatakiwa kuongea. Ni mwenyekiti wa chama taifa.
Lakini CHADEMA hata mbunge aweza ibuka akaita vyombo vya habari kuongea na taifa hata diwani aweza jiibukia tu na kuongea na taifa.
Mfano mtu anayeomba kuteuliwa na CHADEMA kugombea...
Miaka ya 80 kulikuwa na huu wimbo maarufu Sana " ndugu yangu usisahau unapokweendaa VILEVILE UKUMBUKE ULIPOTOKA*"
Sijui muimbaji alimaanisha Nini lakini naomba nitumie maneno ya wimbo huo kuwaasa wabunge waliokuwa chadema na kuhamia CCM eti wanaenda kuunga mkono juhudi.
Hameni kwa heshima bila...
MAJIBU YA KATIBU MKUU WA ACT WAZALENDO ADO SHAIBU ALIPOULIZWA KUHUSU KAULI YA CHADEMA KUSIMAMISHA WAGOMBEA ZANZIBAR.
Kwenye Mkutano wake na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu msimamo wa ACT Wazalendo baada ya CHADEMA...
Hakika Chadema ni chama cha kupigiwa mfano , unaambiwa kila kambi imejipanga vilivyo hasa , Kambi ya Mh Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda yangu ya Nyasa inapepetana vikali sana na kambi ya Mh Tundu Lissu , ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa
Tayari kampeni nzito imeanza , bali...
Chadema mkoa wa Tabora wamemshukuru na kumpongeza Rais Magufuli kwa kutoifunga nchi wakati wa Corona.
Akiongea kwa niaba ya uongozi wa mkoa wa Chadema, mbunge wa viti maalumu mh Mwaisonga amesema wao kama chama wanamshukuru Mungu kwa maono aliyompa Rais Magufuli na hatimaye ametuvusha salama...
Taarifa hii imetolewa leo na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho upande wa Zanzibar Mh. Salum Mwalimu Mjini Zanzibar alipokuwa akiongea na Waandishi wa Habari.
=====
TAMKO LA KUTANGAZA NIA KUWANIA NAFASI YA RAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
Chama Cha Demokrasia...
ACT-Wazalendo na Chadema, wekeni Kando Ubinafsi. Muungane, ACT isimamishe mgombea rais Zanzibar ambaye tunashauri CHADEMA imuunge mkono, na Bara CHADEMA isimamishe mgombea ambaye ACT wazalendo itamuunga mkono. Hii ndio njia pekee ya kumpa CCM kipigo cha karne.
Vinginevyo matokeo yatakuwa ni...
Aliyekuwa Mbunge wa Bukoba mjini Mh. Wilfred Lwakatare amewataka wasomi wa CHADEMA kufanya tathmini ili kujua wanaongozwa na watu wa sampuli gani.
Lwakatare ambaye alikuwa akihutubia Wananchi katika mkutano mkubwa wa hadhara jimboni kwake amesema viongozi wa CHADEMA ni kama vile wana maplastiki...
Kiukweli ukiingalia Chadema ya Twitter na hata JF ni tofauti kabisa na hii Chadema tunayoishi nayo huku mtaani.
Jimboni Kawe kwa mfano haijulikani ofisi za Chadema ziko wapi na kama una jambo utalazimika kwenda mtaa wa Ufipa kupata ufafanuzi au la ulilete hapa JF ndio utajibiwa kwa haraka na...
Habari wakuu.
Hivi hii habari imekaaje maana naona kama Tundu Lisu sasa hiv kutokuwepo kwake kunaweza kusababiswa kushindwa kufanya vzr katika uchaguzi mwaka huu hasa kwa uapnde wake yeye mtia nia ya uraisi na isitoshe tayari chadema kama wameshapotena kwenye kasi za ubingwa wa uchaguzi msimu huu .
Salaam Wakuu,
Kuna kipande kidogo cha video kinasambaa Mtandaoni, James Mbatia Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi akielezea kusikitishwa kwake na wanaomuona kwamba anavunja nguvu upinzania.
Hapa chini nmenukuu kile alichokiongea na kukiandika hapa chini.
Ameanza kwa kusema:
"Mimi ni Mbunge wa...
Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.
Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana...
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana amejitokeza na kumuomba radhi Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Dkt. John Magufuli kufuatia matukio yaliyojitokeza siku za nyuma ikiwemo mazungumzo ya simu baina yake na baadhi ya viongozi wakongwe wa CCM yakimlenga moja kwa moja Rais Magufuli...
Mbunge wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa leo amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania,
---
Mbunge wa jimbo la Iringa Mjinikupitia chama cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA Peter Msigwa...
Wakati wowote kuanzia sasa aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CCM na baadae kujiuzulu na kuhamia Chadema Mh. Lazaro Nyalandu atachukua fomu za kugombea urais.
Taarifa za chini ya kapeti zinasema Nyalandu ana baraka zote za uongozi wa juu wa chama chake na atakachosubiri ni kukubaliwa tu chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.