chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo

    Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter: Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

    Nimeona mashabiki wachache wa Chadema wameanzisha Uzi kwaajili ya kutopiga kura kwa Wasanii wanaoshabikia CCM unajua Kuna vitu vinachekesha Sana na ukute hao watu Ni watu wazima na wengine wanawatoto yaani unawapangia wasanii Cha kumshabikia mbona wao hawajakupangia chama Cha kumshabikia Nani...
  3. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA wamepoteana Zakhiem Mbagala, subirini mziki wa CCM leo mtajutia mlivyobugi

    Hakukuwa na sababu ya msingi kwa MC, DJ Mbowe na Mwalimu kuwapa watu waliohudhuria tension zisizo na maana eti kuna maamuzi mazito yatokanayo na uenguaji wa wagombea wa ACT na CDM. Taarifa yenyewe ambayo imesisitizwa na hawa wasanii ni 1. Kutokuwa tayari kujitoa uchaguzi huu. 2. Kudai katika...
  4. Said Stuard Shily

    JamiiForums Tanzania GE2020 Omary Kumbilamoto atoboa siri za CHADEMA kuhujumu Miradi ya Awamu ya Tano

    Leo eneo la Kinyerezi kwenye kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ambaye ndie Rais Mtarajiwa hilo halina ubishi, Kumbilamoto amemuomba msamaha Dkt. Magufuli kuwa walifanya makosa makubwa sana akiwa Meya wa Ilala kupitia CHADEMA kuhujumu miradi ya Serikali ili kuonesha Rais...
  5. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga

    Wakuu bado tunaendelea kuwaletea taarifa za Mh Tundu Lissu kutoka popote anapopita kuomba kura. Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika. ========= Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tundu Lissu, akiambatana na mkewe, Bi. Alicia Magabe, akimjulia hali Ndugu...
  6. Keynez

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaosoma sheria, jikiteni sasa kwenye sheria za uchaguzi

    Tanzania inapitia kipindi cha mabadiliko makubwa sana ya kisiasa. Alichojaribu kufanya Magufuli na serikali yake katika hii miaka mitano na resistance aliyoipata hasa kipindi hiki cha uchaguzi ni uthibitisho wa kile ninachokisema. Mfumo wetu wote wa siasa unabadilika mbele ya macho yetu, kuanzia...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya maadili: Hukumu ya Halima Mdee wa Chadema kutolewa leo saa 7.00 mchana!

    Kamati ya maadili manispaa ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa ama kumfungia siku 7 Halima Mdee wa CHADEMA au la kufuatia malalamiko ya CCM na mgombea wao Dr Gwajima kwamba Mdee alitumia lugha isiyofaa. Source Umoja Tv!
  8. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani hasa CHADEMA na ACT mnachowafanyia watanzania siyo sahihi, karma itawahukumu

    Baada ya kuishiwa hoja mmekuja na slogan kwamba maendeleo ya vitu hayana maana Kwamba ndege zilizonunuliwa hazina maana, mkasahau kuwa ndugu zetu walipokwama India tuliwafuata na Ndege yetu. Kwenu hata hili halina maana. Kwamba ndege zetu zitakuwa zinabeba Watalii kuja Tanzania, kwenu hili...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Taarifa tulizo nazo zinaonyesha Kampuni yenye makada wa CCM ndiyo itachapisha karatasi za kupigia kura...

    Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameeleza kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ikifanya manunuzi mbalimbali ya vifaa vya Uchaguzi bila kuhusisha vyama wala Umma. Amesema Machi 09, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitangaza kwenye vyombo vya...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za CHADEMA Kikanda ni mbadala wa TV na redio, ujumbe unafika hadi vijijini kwa muda mmoja

    Tulishuhudia kampeni za uchaguzi wa 2015 Lowassa akizunguka na timu nzima ya viongozi wakuu wa CHADEMA na karibu wabunge wote kila alipokuwa anakwenda kufanya kampeni. Mwaka huu ni tofauti kidogo, tunaona kila Kanda ikijitegemea inatumia ratiba yake siyo kupangiwa na Makao Makuu, ndio maana ni...
  11. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mrema (TLP), Mbatia (NCCR), Kimei (CCM) na Kiwelu (CHADEMA) wafanya kampeni za ubunge Vunjo (K'Njaro) kuwa zenye ushindani mkali kuwahi kutokea

    Mwaka 2020 utakumbukwa kama mwaka ulioshuhudia kampeni zenye ushindani mkubwa na msisimko wa aina yake katika jimbo la Vunjo Mkoani Kilimanjaro. Jimbo la Vunjo limekuwa kama jimbo la North East London huko Uingereza ambalo kila mwaka wa uchaguzi linabadilisha chama. Kinyang'anyiro hiki ambacho...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitisha Mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Wote mnakaribishwa . ======= Akizungumza na wanahabari Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , ameiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuitaja Kampuni iliyoshinda zabuni ya kuchapisha karatasi za kupigia kura , na njia zilizotumika kuipata na labda na washindani iliyochuana nao
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana CCM wawaombea kura CHADEMA kwenye familia zao

    Wana CCM wameendelea kuiombea kura CHADEMA baada ya wagombea wao wa Ubunge, Udiwani na hata Urais kushindwa kueleza wazi hatima ya maisha yao baada ya UCHAGUZI. Ugumu wa maisha uliopelekea kushindwa kusoma na baadhi yao kupata msukosuko kwa miaka mitano kwenye biashara, shambani na kazini...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania 2015 CHADEMA waliomba kutumia Uwanja wa Taifa walimyimwa waliambiwa uwanja huo ni kwa ajili ya michezo tu

    Aug. 2015. Akizungumza na vyombo vya habari jijini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Assah Mwambene alisema Serikali hakitatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kuutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa. "Tulipata barua ya CHADEMA kuomba kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya...
  15. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA siku zimeisha zingatieni yafuatayo ili muwe salama kuanzia sasa

    1. Msifanye Kampeni ambapo hamna vibali 2. Zungumzieni Ilani mwanzo mwisho 3. Acheni na maneno ya kusikia, zungumzieni mnacho kiamini 4. Msizidishe muda wa Kampeni 5. Msimzungumzie mtu au mgombea yeyote, muacheni na madhaifu yake wananchi wanayajua na yamewachosha 6. Heshimuni waliopo kweye vyeo...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kada wa CHADEMA adaiwa kushambuliwa na kutupwa pembezoni mwa Barabara

    Kada CHADEMA adaiwa kufanyiwa unyama na wasiojulikana KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Evarist Rite, mkazi wa Narumu, Hai mkoani Kilimanjaro, ameokotwa akiwa amejeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana. Mtu huyo aliokotwa jana akiwa ametelekezwa kando ya barabara kuu ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hawaaminiki, tuwapime kwa ishu ya Korona tu tutapata picha

    Wanabodi, Sina lengo la kuishambulia CHADEMA ila Kuna mambo yananitatiza kuhusu kuaminika kwao. Sote tunajua timbwili walilolianzisha bungeni kuhusu korona mpaka kufikia kijikarantini kibabe. Wakati wenyewe wanajikaranti, wapiga kura wao walikuwa wanapambana uraiani kutafuta mkate wao wa kila...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbarali: Ngome mpya ya CHADEMA isiyofahamika

    Taarifa zinadokeza kwamba miongoni mwa majimbo mengi ya uchaguzi ambayo CCM itaangukia pua, limo Jimbo la Mbarali linalotajwa kuchukuliwa na Chadema , ambapo imetajwa sababu kuu kuwa ni ubora wa mgombea ubunge wa chama hicho aitwaye Liberatus Mwang'ombe , huyu kijana ameunganisha makundi yote ya...
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 BBC: Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA haielezei nafasi za wanawake katika uongozi, CCM na ACT wameweka 50 - 50!

    BBC katika kipindi cha Dira ya Dunia wamehoji kwanini ilani ya CHADEMA haitaji kabisa mgawanyo wa nafasi za uongozi kama ilivyo kwa ilani za vyama vingine. Kwa mfano CCM na ACT Wazalendo wameweka bayana katika ilani zao kwamba wanalenga kutoa nafasi za uongozi kwa uwiano wa 50% kwa 50% kwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli naomba uwashughulikie haraka waliofisadi mradi wa stendi mpya Mbezi, CHADEMA wamekiri mradi ni sh bilioni 51 siyo 71!

    Kwanza napenda kumshukuru aliyekuwa Meya wa Dsm Isaya Mwita kwa kutolea ufafanuzi namna miradi wa ujenzi wa stendi mpya Mbezi ulivyoratibiwa. Mwita amekubaliana na Rais Magufuli kwamba thamani ya mradi ni sh 51 bilioni na kwamba hadi yeye anaondolewa ofisini kulikuwa hakuna ongezeko lolote...
Back
Top Bottom