Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Kwa muda mrefu nimekuwa naona kama CHADEMA kikiwa ni chama cha kimjinimjini sana. CHADEMA sijawahi kukisikia kikitetea mkulima wa Tanzania kwa nguvu nyingi, sijawahi kukiona kikitumia muda mrefu kuelezea sera zake juu ya kilimo. Ukulima ndiyo kazi ya watu wengi nchi hii lakini CHADEMA iko mbali nao kabisa.
Ukiangalia hata nguvu yake kipindi inawabunge ilikuwa ni mijini tu. Inamaana wakulima hawaielewi CHADEMA au CHADEMA haina kitu cha kueleweka inawaoffer wakulima? Kwanini CHADEMA siyo popular kwa wakulima?