chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (CHADEMA) atoa tamko kuhusu ushindi wake

  2. D

    JamiiForums Tanzania Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

    Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari. Yatafanyika Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni. Stay tuned!
  3. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi kwanini baadhi ya watu wanataka Aidah Khenan wa CHADEMA ajiuzulu Ubunge alioshinda?

    Wakuu Salaam: Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi. Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa kinachoshangaza ni baadhi ya watu ambao pia wana Profile nzuri tuu kwa namna fulani wanapendekeza hata...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania We love you guys and you will always be our Chadema family

  6. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Tundu Lissu, hongera sana Wagombea ubunge wa CHADEMA, hongera sana CHADEMA

    Hongera sana Lissu kwa kampeni nzuri kabisa zenye elimu ya Uraia murua kabisa. Hongereni Sana wagombea ubunge wa Chadema na ACT kwa kazi nzuri mliyofanya mkiwa wabunge na kazi nzuri wakati wa kampeni.watu waliwaelewa sana.hongera Sana Chadema kwa kuendesha kampeni za kisayansi. Kikubwa zaidi...
  7. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi CHADEMA walikuwa wanawaambia nini Wananchi wakati wa kampeni?

    Wadau, amani iwe kwenu. Ni dhahiri sasa Tanzania ya Kijani imewezekana. Na hii ni kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanyika ndani ya chama chetu. Viongozi wetu wametupeleka ng'ambo kusoma ili tuendeshe chama kisayansi na kuendesha kampeni kisasa na bila jasho. Kwenye kampeni zetu wagombea wetu...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ukimzidi mshindani wako kwa 90%, kutakuwa na sababu mbili za wewe kushinda...

    Ukimzidi mshindani wako kwa asilimia 90% kutakua na sababu kubwa mbili za wewe kuupata ushindi huo. 1. Uwezo wa mshindani wako katika mnachoshindania ulikua duni sana. Hili hata walimu huwa wanajitahidi kutunga mitihani yao kutokana na uwezo wa wengi darasani. Nusu ya darasa wakipata 90%...
  9. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani CHADEMA itakuwa moja tena bila pesa za ruzuku?

    Najiuliza sana na sipati jibu hivi kwa pigo hilo itakuwaje CHADEMA bila ruzuku itabaki moja tena! Ni kwa namna ipi itapata pesa za kulipa mishahara watendaji wake wa ngazi mbalimbali? Je, kama CHADEMA ilikuwa ikitegemea pesa ya ruzuku kuendesha mambo mengi/yake sasa itakuwaje?
  10. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tudumishe Resilience yetu

    Chama cha Demokrasia kimepita misukosuko mingi sana. mwenendo wa siasa za miaka mitano iliyopita, uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa uchaguzi mkuu ni sehemu tu ya misukosuko hiyo. Tuendeleze ile resilience yetu. viongozi wetu tunawaamini, na sisi wafuasi wa chama tupo na tunaona yote...
  11. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

    WanaJF, Katika hali ambayo ilikuwa inatarajiwa na wengi ni kwamba Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai kupitia tiketi ya CHADEMA ambae pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amegaragazwa vibaya sana kwa kuambulia kura 27,000 tu wakati mshindani wake Mgombea wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM amefanikiwa...
  12. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chadema Kubalini matokeo, Watanzania Wote tunaendelea na Shughuli zetu tumeanza kuwasahau

    Baada ya tarehe 28 October, Tanzania hali ni shwari na yenye utulivu Watanzania tumemaliza Uchaguzi na Chadema wameshindwa Vibaya sana wamebaki kama Chauma. Lissu nani alikudanganya kuwa utawaambia Watanzania Nendeni Barabarani nao watatoka. Washabiki wako wa mtandaoni wako Instagram wanapitia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

    Kiukweli endapo CHADEMA watabahatika kupata wabunge watatu au zaidi basi watastahili kupongezwa. Kwa mfano hapa Dar es Salaam nimepita katika viituo vingi vya kupigia kura na kushuhudia CCM ikiwa ina mawakala katika kila chumba cha kupigia kura wakati vyama vya upinzani wakiwemo CHADEMA wana...
  14. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

    Wananchi wa Kawe wakichoma moto kura za maruhani zilizokuwa tayari zimeshapigwa kwa wagombea wa CCM. Mungu wabariki wananchi hawa
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua

    TANGA: Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda amesema baadhi ya mawakala wa vyama tofauti vya siasa wamekamatwa kwa madai ya kuzuia wananchi...
  16. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wekeni pingamizi Mahakama Kuu ili matokeo yasitangazwe baada ya Mawakala wenu kufanyiwa figisu

    CHADEMA nimeona mnalalamikia suala la mawakala wenu kufanyiwa figisu na kuambiwa hawawezi kuingia vituoni. Badala ya kulalamika mtandaoni, msichelewe chukueni irregularities zote muwahi Mahakama Kuu leo leo. Mnyika fanya press conference haraka kuiambia dunia juu ya hujuma kwa Mawakala wenu.
  17. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pongezi nyingi sana kwa Lissu, Mkewe, Uongozi wa CHADEMA na Watanzania walioshiriki kwenye kampeni za CHADEMA

    Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza sana Lissu kwa kampeni zake za hali ya juu na zilizokuwa na mahudhurio makubwa sana kila kona ya Nchi yetu uliyopita. Lugha zako za upendo ulizotumia na kutugusa mamilioni ya Watanzania Wazee, vijana na hata watoto. Ulikutana na vikwazo vya aina mbali mbali...
  18. ubongokid

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sitamchagua Magufuli na wala Sitapiga kura kwa CCM mwaka 2020

    Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care. Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care Ninachosema ni kwamba ashinde asishinde,aibe kura asiibe ajue kuwa kati ya kura zote zitakazopigwa ya kwangu haitakuwepo...
  19. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 Propaganda mfu za CHADEMA ni dalili tosha kuwa wameshindwa uchaguzi

    Nimemsikiliza Godbless Lema akihojiwa na Dw kuwa kuna kundi la vijana 200 wamepelekwa Arusha ili wakakipigie kura CCM. Anadai amewaona. Sasa kama mgombea ubunge umeona tukio kama hili kwa nini usitoe taarifa ya maandishi kwa msimamizi wa uchaguzi na badala yake unaongea tu DW? Kuna habari...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship

    Wanabodi, Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri, Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize Kwa faida ya...
Back
Top Bottom