chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika aliesema ofisi yake haina taarifa ya wanaoitwa wa CHADEMA kuvuliwa Uanachama, kumbe alikuwa muongo?

    Siku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ya kuwavua uanachama. Sasa kauli tata ya Spika ya leo ya kutaka vithibitisho...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Chongolo, rithi vyote kutoka kwa Dkt. Bashiru lakini siyo wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA

    Ndugu Chongolo Katibu mkuu wa CCM, ninakueleza haya kama mwanaCCM mwenzangu lakini zaidi kama mwana usharika mwenzangu, binadamu tunarithi baraka na kamwe haturithi dhambi na laana. Kuna hao wabunge 19 yaani Halima James Mdee na wenzake, tafadhali usijishughulishe nao kwa sababu hiyo dhambi...
  3. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Spika Ndugai awapa mbinu CHADEMA ili awafukuze akina Halima Mdee

    Spika wa Bunge Job Ndugai, amemuagiza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, kuandika barua ambayo ataambatanisha na katiba ya chama chake pamoja muhtasari wa kikao kilichofanya maamuzi ya kuwafukuza uanachama wabunge 19 wa chama hicho. "Aandike barua...
  4. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

    Inafikirisha sana! Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu. Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni...
  5. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Nyalandu: Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kushangilia kifo cha Rais Magufuli kilinikwaza sana

    Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa CHADEMA wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha! Nyalandu ameendelea kusema utamaduni wa kushangilia matatizo ya wengine hakuuzoe, amebainisha kuwa Tundu Lissu alipopigwa...
  6. mtimawachi

    JamiiForums Tanzania Ni vema Chadema iache kuchukua watu kutoka CCM kwani wanawagharimu

    Kwanza nieleze kiitikadi mimi CCM (mshabiki), ila u-CCM wangu haunizuii kuona mabaya/mazuri au 'mazurimabaya' ya chama changu au chama kingine. Chadema ni chama cha upinzani tena kikuu lakini mimi naomba nikiite chama mbadala au chama shindani kwani kwa kipindi kifupi Chadema kimeweza kubadili...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa wapinzani hasa CHADEMA hawana hoja mujarabu kuisurubu CCM

    Mimi nawajua hawa jamaa vizuri wao wanayo namna ya kutafuta kiki za kisiasa kwa kutumia udhaifu na makosa ya CCM. CCM ikijisahau na kufanya makosa kwa kuruhusu ufisadi basi hapo ndipo hukomaa na kusimamisha misuri ya shingo. CCM isipotekeleza sera na ilani ya uchaguzi vizuri. Wao hushupaza...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuanzisha ligi ya soka ya kugombea kombe la Chadema , nawaomba wadau mniunge mkono

    Lengo langu ni kuhamasisha michezo nchini Tanzania na baada ya muda mfupi tutafika East and Central Africa , wadhamini wa ndani na nje ya nchi wamepatikana na mazungumzo yamefika pazuri . Nakaribisha maoni ya namna nzuri ya kuendesha michuano hii ili kukidhi vigezo vya FIFA . Karibuni
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa CHADEMA

    Katika soko la ushindani huwa mzalishaji anaangalia nini mlaji anataka na huyo mzalishaji uzingatia hicho na kukileta sokoni na hapo huwa anapata kitu kinaitwa supa au abnomal profiti, yaani faida ya juu. Haya ni tofauti na chama cha Chadema kumlisha mlaji, wenyewe hawapendi, wanapenda kumlisha...
  10. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Nyalandu ulikuja CHADEMA kwa hiari umeondoka kwa hiari. Kaa kimya kutunza heshima yako

    Nyalandu ulikuja vizuri take vizuri. Kama kuna mapungufu waambie viongozi wa CHADEMA watayafanyia kazi, lakini kuongea na redio utashusha heshima yako. Kwa kukusaidia tu. Kuna nguli walitoka CHADEMA sio wewe mpita njia usie na msimamo,mtu laini kabisa. Alitoka Zitto, huyu ni nguli wa Siasa za...
  11. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaamua kutojibizana na Nyalandu, ni jambo la wakati

    Kama ambavyo wasaliti wa Demokrasia wamekuwa wakifa kifo kibaya cha siasa ndivyo Nyalandu anategemewa kumalizwa. CHADEMA kupitia Katibu wake Mkuu kimesema hakitarudi nyuma kwenye mapambano ya haki kwa sababu msingi wa kuundwa kwa chama hicho nikusimamia mapambano ya haki, Demokrasia na maendeleo...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Nyalandu na mwenzake ni wasaliti, wameshindwa kuvumilia baada ya mateso ya kuporwa ushindi wa ubunge mwaka 2020

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema chama hicho kilifahamu kuwa Lazaro Nyalandu na Seleman Mathew, ambao wote walikuwa wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho, wangeondoka kutokana na mienendo yao waliyokuwa wakiionyesha kwa hivi karibuni. “Hawa ni wasaliti, wamejiongeza wameshindwa...
  13. Red Giant

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa nafikiri mmejifunza kuhusu Mamluki

    Kwenye kitabu The prince cha Niccolo Machiaveli kuna sura nzima inazungumzia ubaya wa wanajeshi mamluki. Anasema mamluki hawapigani kwa moyo hivyo ni rahisi kudhindwa ukiwa nao, anasema hawapigani majira ya baridi, hawapigani usiku, hawajihangaishi kujenga ulinzi kuzunguka kambi, na wala...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Furaha ya CCM ni kwa Nyalandu kuondoka CHADEMA na si kujiunga na CCM?

    Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema. Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana huyu asiyekuwa na jina ndani ya Chadema, ametoka Chadema wala si kuwa kajiunga na CCM! Maajabu...
  15. The golden

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msijilamu, ninyi ni kimbilio la walioteswa

    Ni kawaida kwa binadamu kutafuta faraja pale anapoumizwa. Katika vyama vya siasa watu huumizana sana na kuvurugana, wengine hufikia kiasi cha kutishiana maisha. Ikifika hali hiyo wengine hukimbia kwa jirani kutafuta faraja. Wapo ambao huwa hawarudi kabisa, wengine hurudi kama amani ikilejea...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Nyalandu asitukanwe, kazi aliyoifanya CHADEMA inatosha

    Ni mwanasiasa gani hapa nchini anaweza acha ubunge ndani ya chama tawala akaenda chama cha upinzani ndani ya utawala wa kidicteta? Ni mbunge gani wa CCM angeweza kwenda Kumjulia hali Tundu lissu Nairobi na hata Ubeligiji ndani ya utawala wa Dikteta? Ni mbunge gani wa CCM angeacha chakula na...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Isingekuwa Ubunge, Halima na wenzake 18 waliofutwa uanachama CHADEMA wangehamia CCM leo Aprili 30, 2021

    Pamoja na kuwa Ndugai kawahakikishia kuwa atawalinda lkn ukiwaangalia machoni hawana amani kabisa mioyoni mwao, kwa vile ni vigumu kwao kurudi Chadema wanatamani aidha waache ubunge wawe raia wa kawaida au wajiunge CCM. Tatizo kubwa linalowasumbua vichwani ni kupoteza ubunge wao, kungekuwa na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mamluki kuondoka CHADEMA, hakuna athari yoyote kwa chama

    Mabibi na mabwana kwa vyama vilivyo na msukumo wa haki kama msingi wake mkuu, ni vyama vya kudumu na huendelea kuimarika kadri siku zinavyopita. Vyama vya namna hii haviwezi kuhujumiwa kwa kuwekeza mamluki au hata kwa kununua watu. Hakuna athari yoyote kwa vyama kama hivi kwa mamluki kuondoka...
  19. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Suleiman Mathew ahamia CCM

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mkoa wa Lindi, Suleiman Mathew amehamia CCM na kueleza kuwa amerudi nyumbani. Amesema kuwa amerudi CCM kuunga mkono juhudu za maendeleo zinazoletwa na chama hicho.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa tabia ya kuwarubuni wabunge wa CHADEMA wahamie CCM, Dkt. Bashiru ni kiongozi makini na mjamaa

    Kiukweli chini ya uongozi wa katibu mkuu Dkt. Bashiru, CCM imepata mafanikio makubwa sana tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Sasa mali za chama zinajulikana bayana na miradi yote ya CCM inajulikana tofauti kabisa na ilivyokuwa kwa watangulizi wake kuanzia Dkt. Gama hadi kanali Kinana. Tatizo...
Back
Top Bottom