Natuma salamu za Pasaka kwa Viongozi na wafuasi wa Chadema popote walipo duniani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
82,828
2,000
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Hatimaye Masiah amefufuka kutoka katika Wafu , Ufufuko wake unaifanya dunia yote kusherehekea kwa furaha na shangwe kuu !

Basi kwa vile siku ya Pasaka ni sikukuu basi natumia ukurasa huu kuwatakia heri ya sikukuu VIONGOZI , WANACHAMA na WAPENZI WOTE wa Chadema dunia nzima .

Sherehekeeni kwa Amani na utulivu.

Mungu ibariki Chadema
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
58,458

Hallelujah amefufuka kwelikweli
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
13,940
2,000
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Hatimaye Masiah amefufuka kutoka katika Wafu , Ufufuko wake unaifanya dunia yote kusherehekea kwa furaha na shangwe kuu !

Basi kwa vile siku ya Pasaka ni sikukuu basi natumia ukurasa huu kuwatakia heri ya sikukuu VIONGOZI , WANACHAMA na WAPENZI WOTE wa Chadema dunia nzima .

Sherehekeeni kwa Amani na utulivu.

Mungu ibariki Chadema
Tuna amani tele. Yesu wa Yerusalem amefufuka ila yesu wa chato bado yuko kwenye mabanzi.
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
27,644
2,000
Mbona mnaleta mambo yenu ya vyama hapa kwani hivyo vyama vinawalisha? au vinawapeleka mbinguni ? Wa Africa ni watu wa ovyo sana wanasiasa wanawatumieni kwa maslahi yao binafsi wenzenu wanapiga hela nyinyi mnabaki kuwa bongolala wake up brothers
Wewe mbwa koko wa kizungu kwani kosa lake nini kuwapa salamu ndugu zake? Na ya Waafrika tuachie wenyewe.
 
Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
7,124
2,000
Wewe mbwa koko wa kizungu kwani kosa lake nini kuwapa salamu ndugu zake? Na ya Waafrika tuachie wenyewe.
Mbona umepanic? Kosa lake nikuleta ubaguzi wa vyama na wasio na vyama upuuzi kama Huu umeona wapi unafanywa ingekuwa mtoa mada ni kiongozi wa chama atleast inamake sense Nyerere ajawahi kujenga Taifa linalobaguana kwa itikadi ya vyama.
 
Ikemefune

JF-Expert Member
Sep 22, 2017
933
1,000
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Hatimaye Masiah amefufuka kutoka katika Wafu , Ufufuko wake unaifanya dunia yote kusherehekea kwa furaha na shangwe kuu !

Basi kwa vile siku ya Pasaka ni sikukuu basi natumia ukurasa huu kuwatakia heri ya sikukuu VIONGOZI , WANACHAMA na WAPENZI WOTE wa Chadema dunia nzima .

Sherehekeeni kwa Amani na utulivu.

Mungu ibariki Chadema
Chama Cha Wachagga
 
UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
4,642
2,000
Watu ni wabaguzi jamani; hata salamu za pasaka nazo zinatolewa kiitikadi jamani?!
Asante mbowe kwa kumleta lowassa, na kutupa nafasi sisi wafia dini kujiondoa chadema. Chadema imefika pabaya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom