Wabunge wa CHADEMA, Halima Mdee na Esther Bulaya wajisalimisha kwa nabii Suguye, Waombewa na kupakwa mafuta ya " Mpenyo"

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
43,091
2,000
Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.

Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.

Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya

Ibarikiwe Chadema

Source WRM tv

Ukinizingua Nitakuzingua!
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
40,107

Nawashauri wasave fedha zao hizo watakazozipata kwenye kipindi hiki cha mwisho wao kisiasa ,2025 ndio Baba jeni bye bye!! wameuza utu wao kwa vipande 12 vya fedha inaonyesha walikuwa hawajajipanga kukaa kitaa,sasa washajua wameingia kimagumashi bungeni kwahiyo mwisho wao kisiasa ni 2025 bunge litakakapovunjwa,hivyo wahakikishe wanaondoka na pesa ya mtaji hiyo 2025 maana kwenye siasa ndio itakuwa mwisho wao.
 
Mingoi

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
11,584
2,000
Never heard of that wezereeee... kwahiyo Vaseline inasubiri???
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
82,828
2,000
Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.

Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.

Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya

Ibarikiwe Chadema

Source WRM tv

Ukinizingua Nitakuzingua!
Masahihisho : Halima Mdee , Ester Bulaya na mamluki wengine walionunuliwa si Wabunge wa Chadema .

Ni vema kuiheshimu Chadema ili kuepusha vurugu hapa mtandaoni tukaishia kuchafua amani .

Nakupa onyo la mwisho
 
Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
1,811
2,000
Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.

Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.

Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya

Ibarikiwe Chadema

Source WRM tv

Ukinizingua Nitakuzingua!
walivunja katiba ya JMT, wa na yule mgogo dawa yao inachemka
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom