RIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Wanatia wasiwasi hawa watu hata kabla ya kupewa nchi wanafanya ubadhilifu wa namna hii?

CAG-CHADEMA.jpg

Chadema kilinunua magari matano yenye thamani ya Sh. 227.43 milioni na nyumba moja Sh. 50 milioni iliyopo Serengeti bila idhini ya Baraza Kuu la Chama.

Pia, Sh.100 milioni zilitumika kwenye matumizi ya kawaida ya chama bila ya idhini ya baraza kuu la chama.
 
Hii ni kwa mujibu wa ripoti za CAG na hii ni picha kamili kuwa wanachama wa Chadema walishabariki ufisadi wa viongozi wao.
Screenshot_20210409-145818.png
 
Back
Top Bottom