Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba na Jabali la siasa na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara hapo jana aliitetemesha Mbeya kwelikweli,alilisimamisha jiji na kuteka mioyo ya wananchi , shughuli zote zilisimama na kubaki na shughuli moja tu ya kutega masikio kwa Mwamba...
Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa.
Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM
---
Taarifa kutoka ukurasa rasmi...
chadema
chochote
chombo
diamond
habari
hii
interview
jina
kiki
kipindi
kiti
kutafuta
kutumia
lissu
mda
nani
nchi
sababu za
tamaa
tundu
tundu lissu
urais
wakati
wasafi
wasafi fm
Salaam,
Binafsi nikiri kuwa nilikuwa navutiwa sana na sera za CHADEMA miaka ya nyuma haswa 2005 hadi 2015.
Miaka hiyo CHADEMA ilikuwa ya moto ikiibua mambo mazito yaliyoishutua Nchi, ilikemea ufisadi mpaka kufikia hatua ya kuwataja wahusika wa ufisadi serikalini.
Watu wengi walikuwa na...
CHADEMA ya sasa inazidi kuwa goigoi japo mpira uko upande wao ila gori hawalioni wafunge gori, iwe makusudi au kwa bahati mbaya.
Kazi anazofanya mwenezi wa mbogamboga ndio kazi ilitakiwa kufanywa na cdm tangu waruhusiwe kufanya mikutano ila cha ajabu walizuga tu wakarudi mijni kimyakimya.
Kero...
Ndio maana hata maandamano yao yalidorola.
Wananchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda ambaye anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata.
Sasa wakimponda kwa wananchi ndio wanazidi kupotea.
Mbaya zaidi hata bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na jamaa zake akina Pambalu.
Ninashangazwa sana na kauli za makada waandamizi wa hiki chama cha Mbowe.. ni kauli zinazoashiria ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia inayotajwa kuwepo. Zaidi ya mara moja makada wa CHADEMA hasa Lema na Sugu wamekuwa wakijinadi kuwa watagombea ubunge kwenye majimbo ya Arusha na Mbeya kana kwamba...
Siku zote tumesema humu na kwingineko kwamba Nchini Tanzania , hakuna chama cha siasa kinachoweza kuizidi CHADEMA kwa wanachama (Pitieni tovuti ya CHADEMA DIGITAL)
sasa hapa chini ni Mkutano Maalum wa Chama hicho Wilaya ya Serengeti , hebu jionee mwenyewe .
Media ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa.
Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie.
Mmenikera sana.
Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni dosari kubwa kwa chama kinachoikosoa Serikali.
Hakuna operesheni hata moja ya michango ambayo imewahi...
Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .
Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita ...
KINANA AITAKA CHADEMA KUTHAMINI NIA NJEMA YA RAIS SAMIA KATIKA MARIDHIANO
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Makamu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, amesema nia njema iliyooneshwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutaka maridhiano inapaswa kuendelezwa na vyama vyote vya...
Tofauti kubwa ninayoiona kati ya CHADEMA na vyama vingine vya upinzani mfano ACT Wazalenda ni kwamba CHADEMA wanaogopa kusahaulika na ACT wanaogopa kushindwa. Hofu hizo ndio zinazoendelea kuutafuna upinzani mpaka mifupa.
Kitendo Cha CHADEMA kuambulia mbunge wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti...
Mzee Kinana akizungumza na viongozi wa CCM DAR es salaam ameeleza kwamba CCM imeondoa kesi tisa za jinai walizowafungulia chadema mahakamani na sasa hivi wanaangalia namna ya kufuta kesi mbili zilizobaki.
Kwa kauli ya Kinana ni kwamba anajivunia CCM kuwafungulia kesi za jinai wanachama wa...
Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3.
Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali...
Dalili ya Chama cha siasa kinachojiandaa kutwaa madaraka ya Nchi zinajionyesha wazi kabisa , Chama ni watu siyo Chawa
Hebu angalia mkutano huu Maaluma wa Wilaya ya Rorya , Mkoani Mara , Ikumbukwe kwamba Chadema haina wanachama wajinga , wote hawa ni wanachama wenye akili timamu .
Hii ni leo
Kuna swali tu nimejiuliza hapa, what if tule tu vyama vingine vya Upinzani vitajiunga kwenye maandamano yanayoratibiwa na CHAMA KIKUU CHA UPINZANI? Kisheria ikoje? Itabidi na wao wakaombe kibali cha maandamano??
swali la ziada, je maandamano haya hayaweze ku-escalate na kuwahusisha watu wote...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali...