Mbunge wa zamani Lijuakali Aliyemwaga chozi bungeni akabidhiwa rasmi kadi ya CCM kwenye mkutano wa hadhara

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
218,003
LIJUALIKALI AKABIDHIWA KADI YA CCM. . Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Kilombero kup ( 386 X 640 ).jpg

Huku viongozi wa upinzani nchini Tanzania wakikamatwa kwenye mikutano ya ndani , Msaliti Njaa Peter Lijuakali leo amekabidhiwa kadi ya chama chakavu kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Kidatu wilayani Kilombero
 
View attachment 1490359

Huku viongozi wa upinzani nchini Tanzania wakikamatwa kwenye mikutano ya ndani , Msaliti Njaa Peter Lijuakali leo amekabidhiwa kadi ya chama chakavu kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Kidatu wilayani Kilombero

Nyumbu bwana, mlimuita Lowassa fisadi kuu na kwenye website ya chama mkamuweka kwenye 'The List of Shame' ila cha ajabu mkaja kumpa ugombea urais!!

Leo hii Lijualikali kuhamia CCM mnamuita msaliti

Siasa zenu ni usanii mtupu,,, kuwaelewa na kuwaamini inabidi mtu unywe k.vant uchanganye na doble kick + double punch
 
Kwahiyo CCM wanafanya mikutano ya hadhara na hawakamatwi lakini ACT-Wazalendo na CHADEMA wakifanya mikutano ya ndani wanakamatwa.
Hizi ndizo sababu zinazowafanya watanzania wamchukie Meko.

Halafu kwa mazingira hayo ndio ccm wanakuambia wao ni imara kuliko wakati mwingine wowote, na wapinzani hawakubaliki kabisa na wananchi! Ujinga wa hivi huwa unapatikana tu kwenye nchi zenye vyama vizee, vinavyolazimisha kukaa madarakani.
 
Sisi watu wa Kilombero sio wajinga wajinga kama watu wa maeneo mengi nchi hii.Huyo kushinda labda waibe kura nakutumia wale jamaa zao wanaowabeba.

[QUTE="Kawe Alumni, post: 35841710, member: 571458"]
Aiangamize Chadema kilombero
[/QUOTE]
 
Nyumbu bwana, mlimuita Lowassa fisadi kuu na kwenye website ya chama mkamuweka kwenye 'The List of Shame' ila cha ajabu mkaja kumpa ugombea urais!!

Leo hii Lijualikali kuhamia CCM mnamuita msaliti

Siasa zenu ni usanii mtupu,,, kuwaelewa na kuwaamini inabidi mtu unywe k.vant uchanganye na doble kick + double punch

Ona huu msukule wa lumumba kwa hiyo.
 
Back
Top Bottom