ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wenzangu tuongeze bidii jamaa wanatuzidi

    Sijui tumeanza kuchoka?sijui tumeanza kuzembea?mbona kama tunakata pumzi? Leo hii sisi wa kushindwa kuwaponda na kuwatukana Chadema na Silinde na Juakali? Hawa jamaa ni wageni hawajamaliza haya mwezi lakini naona wanakuja kwa kasi.sisi tunakwama wapi? Halafu wakipewa nyadhifa tuanze kulalamika...
  2. maganjwa

    JamiiForums Tanzania CCM wanaiharibu nchi

    Shughuli ya kubadili vifungu vya sheria pamoja na minongono ya chini kwa chini ya kubadili katiba ikichagizwa na baadhi ya wabunge pamoja na spika siyo ya kupuuzwa. Waswahili walisema lisemwalo lipo kama halipo linakuja. Mimi nasema hilo iko wazi kabisa na maandalizi imeanza leo Dodoma...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lijualikali: Mbowe hakuvamiwa bali kateleza kwa ulevi | Musukuma: Mnaliza ving'ora kumsalimia mlevi kateguka mguu

    Lijualikali akichangia bungeni leo amesema Mbowe hakuvamiwa bali alianguka sababu alikuwa amelewa Maneno hayo yamesindikizwa na makofi mengi ya wabunge kuashiria kuunga mkono hoja yake Pia baada ya maneno hayo Spika amesimama na kusema kuna kitu hakiko sawa ndio maana hawataki kusema akalitaka...
  4. Magari ya kukodisha

    JamiiForums Tanzania Mimi ni CCM, napinga Rais Magufuli kuongezewa muda

    Wakuu habari, Nasikitishwa na ukiukwaji katiba na kanuni unaotaka kufanywa CCM. Baba wa taifa alituasa kuwa yeye ndiye wa mwisho kutawala kwa muda mrefu kwenye nchi hii na asitokee yeyote mwenye tamaa kujaribu kutawala kwa muda mrefu. Nimeshangazwa na mwanachama mwenzangu Mbunge Kessy wa...
  5. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Hivi hiki kiherehere cha Polisi , Wabunge wa CCM kuzungumzia tukio la kushambuliwa Mbowe kina malengo gani?

    Baada ya Mbowe kushambuliwa kumeibuka watu wenye kuelekea tukio lenyewe utagikiri wao ndio wahusika, familia au walikuwepo wakati wa tukio. Kuna wabunge wanatoa maelezo eti walikuwa na Mbowe usiku akiwa kalewa, jibu ni lahidi tu Mbowe hajaanza kunywa pombe jana wala juzi Kuna Ndugai anadai kuna...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Dkt. Christine Ishengoma anachunguzwa na TAKUKURU kwa tuhuma za kuwapa rushwa Wapiga Kura

    Ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro inamchunguza Mbunge wa Viti MAALUM (CCM) Dk.Christine Ishengoma, kutokana na tuhuma za kugawa rushwa kwa wapiga kura huku ikiwahoji watu mbalimbali kutokana na tuhuma hizo. Aidha TAKUKURU imewafikisha mahakamani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hesabu za haraka kama Magufuli akiamua kuwabeba wageni, basi CCM asilia wajiandae kutafuta kazi zingine

    Ukijaribu kufanya simple caluculation kwa kuangalia idadi ya wapinzani ambao wamekimbilia CCM kwa imani kuwa wanaweza kuendelea kupata ulaji ndani ya serikali ya awamu ya tano kwa kuwa kule upinzani hawana uhakika nako, utagundua kuwa wamekuwa wengi na huenda wakazidi kuongezeka kadiri siku...
  8. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, ndani ya CCM kuna watu wamegeuka mashetani katika maumbo ya kibinadamu?

    Awali ya yote, mtakaokwazika mtanisamehe tu. Kwa sababu kichwa kikuu cha mada hii imebebwa na maneno magumu na makali kidogo. Imebidi iwe hivi kwa sababu nimetafuta maneno mbadala ili ujumbe ama maudhui ya ujumbe ninaotaka kila mtu apate, nikakosa. Pokeeni na twendeni hivyo hivyo kwa sababu ni...
  9. B

    JamiiForums Tanzania RC Gambo aumbuka. Vijana wa CCM Arusha wamshambulia mitandaoni, aamua “ku left “

    Rc Gambo aumbuka,vijana wa Ccm Arusha wamshambulia mitandaoni aamua “kuleft”. Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo amejikuta akiumbuka katika mitandao ya kijamii hali iliyomlazimu kujiondoa huku baadhi ya vijana wa Ccm Arusha wakimshauri aache jeuri na awe karibu na vijana. Tukio hilo lilitokea...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Misri: Wanawake 5 wenye ushawishi mkubwa mtandaoni wahukumiwa kifungo cha miaka 2 kila mmoja

    Mahakama nchini humo imewahukumu Wanawake 5 wenye ushawishi katika mitandao ya kijamii kifungo cha miaka 2 jela kila mmoja kwa kosa la kukikuka maadili ya umma Hukumu iliyotolewa kwa Haneen Hossam, Mowada al-Adham na wengine watatu inakuja ya Wanawake hao kutuma video katika mtandao maarufu wa...
  11. hp4510

    JamiiForums Tanzania Je, Bunge live ni kwa ajili ya CCM tu?

    Leo nilikuwa naangalia bunge live kitu cha ajabu ambacho nimekiona ni kuwa kila mbunge wa chadema akitajwa kuongea matangazo yanazimwa But wabunge wa CCM wakiongea matangazo yanakuwa hayana shida Sasa nakuwa najiuliza point inakuwa ni nn sasa, au hawataki wananchi wasikie mawazo mbadala...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Gairo: DC amtuhumu mwenyekiti wa CCM kuhongwa gari na mbunge Shabiby, mwenyewe akana asema amenunuliwa na Dkt. Mwigulu. Kesi iko Takukuru

    Mkuu wa wilaya ya Gairo amemtuhumu mwenyekiti wa CCM wa wilaya kwamba amehongwa gari na mbunge Ahmed Shabiby ili wambebe kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya amewataka Takukuru wamshughulikie mwenyekiti huyo. Naye mwenyekiti wa CCM amesema gari hilo hajahongwa na Shabiby kama inavyodaiwa bali...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kweli Kabisa CCM tunashangazwa kuanzia kesho!

    Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu. Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Naibu Waziri wa Zimbabwe kumdhihaki Rais Magufuli, ZANU PF ya Zimbabwe yaiomba radhi CCM na Watanzania

    Chama tawala Zimbabwe cha ZANU PF kimeiomba radhi CCM kutokana na matamshi ya kashfa ya aliekua naibu waziri wa habari wa nchi hiyo aliyoyaandika kwenye mtandao wa twitter mwezi uliopita. Naibu waziri huyo Bwana Mutodi aliandika kwenye mtandao wake wa twitter kua Magufuri kwa maombi bila zuio...
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamatakamata ya rushwa ndani ya CCM ni mtego kwa wapinzani

    Kamata Kamata ya rushwa ndani ya CCM ni mtego kwa wapinzani ili muda wa kampeni utakapofika waanze kuwakamata wapinzani kwa nadai hayohayo ya rushwa. Hii ya sasa inayofanyika ni ku justify pale watakapoanza kuwashughulikia wapinzani kwa kisingizio kuwa sheria ni maneno. Watawakamata...
  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mbowe asingekuwa na kiburi angeomba kufanya 'internship' CCM makao makuu

    Mbowe akiacha ukaidi anaweza kupata nafasi ya kufanya internship ya miezi 6 pale Lumumba au Dodoma . Katika mafunzo hayo pamoja na ile kugugusana mabega na JPM, Mangula, Polepole na Bashiru kila siku kitamsaidia sana katika kujifunza njia mpya na mbinu kadhaa CCM walizozitumia kuiongeza...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje: Spika Ndugai kumwakilisha Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru kwenye mkutano

    Kuuliza siyo ujinga. Leo nimemsikia Rais wa CWT bi Ulaya wakati anawatambulisha wageni wa meza kuu alimtambulisha mh Job Ndugai Spika wa Bunge ambaye anamwakilisha Katibu mkuu wa CCM. Kiitifaki hiyo imekaaje? Ni hilo tu, Maendeleo hayana vyama!
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

    MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa sheria wa marekebiaho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa mwaka 2020. THRDC na LHRC wametoa tamko la kupinga muswada huo leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020 mbele...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Oktoba itapata tabu sana, nasema itapata tabu sana!

    CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika. Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama. Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja. Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uwanja ukiwa sawa Oktoba 2020 CCM inashinda saa 4 asubuhi mafiga yote matatu

    Kama uwanja utakuwa fair na wapinzani hasa Chadema hawatatumia ujanja ujanja wakati wa kupiga kura basi CCM itashinda viti vyote vitatu yaani Rais, mbunge na diwani saa 4 asubuhi. Ikumbukwe 2015 wale Friends of Lowassa walifanya ujanja ujanja mwingi mfano mzuri ni jimbo la Kawe, Kinondoni...
Back
Top Bottom