Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM kukutana Julai 11 na 12 kumpitisha Mgombea Urais Dkt. Magufuli na kupitisha Ilani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,768
141,632
Katibu wa siasa na sekretarieti wa CCM kanali Lubinga amesema mkutano mkuu wa halmashauri kuu ya CCM utakutana July 11 na 12 kupitisha jina la mgombea Urais wa JMT Dkt. Magufuli na mgombea Urais wa Zanzibar.

Kadhalika mkutano huo utajadili na kupitisha Ilani ya uchaguzi ya CCM.

Pia kanali Lubinga ametolea ufafanuzi swala la Membe na kusema huyo siyo mwanachama wa CCM kwa sababu alishafukuzwa na kama bado ana mapenzi na chama hicho basi aombe uanachama upya.

Chanzo: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
 
Ni hiyo hiyo moja, labda Magu aamue tu kumtolea photocopy Membe.

Profesa Lumumba wa Kenya alipata kusema katika AFRIKA VYAMA vya siasa CREDIBLE ni CCM na ANC tu kwa kuwa vina MISIMAMO KATIKA KUWACHUKULIA HATUA WOTE WATOVU WA NIDHAMU NA TARATIBU ZAKE....

Miaka 6 ILIYOPITA mh.Membe na mh.Lowassa WALIONYWA NA WAKAITWA KUJIELEZA.....

1.LOWASSA(KAJIFUNZA KAJITAMBUA KABADILIKA NA KUACHA MAZOEA).
2.MEMBE(ni yuleyule wa 2014).

JITAMBUE BADILIKA ACHA MAZOEA NA TEMBEA NA MAGUFULI 2020.
 
Membe amekuwa na ushawishi gani nchi hii? Labda kwa wale ambao hawafahamu jinsi nchi zote duniani zinavyoongozwa. Membe anaweza kusimama na kusema hili limefanyika Tanzania kwa sababu mimi nilitenda hili au atatuonyesha tu jinsi alivyokuwa ananeemeka na nafasi aliyozawadiwa na JMK?
 
Back
Top Bottom