MWAMBA KAJAA GOLINI.. HAKUNA CHA REFA, WALA NAMBA TISA... kwanza nafasi aliyoiacha mpira hautoshi kupita...
Maana yake CCM NDIYO MSHINDI HAKUNA MWINGINE
Chukua 👊.Utasikia hakuna uhuru wa vyombo vya habari! Labda wamefinywa wale wanaovuka mipaka.
Refa inaonesha amelishwa vinono, una mtumbo wakeMWAMBA KAJAA GOLINI.. HAKUNA CHA REFA, WALA NAMBA TISA... kwanza nafasi aliyoiacha mpira hautoshi kupita...
Namba tisa anamlalamikia refa, na refa anaonekana hana cha kufanya...
Halafu 'refa' mwingine huko Zenji inasemekana washangiliaji wamegoma kumdhamini...
Kila sehemu unatumia akili tu utafika nadhani hapa ndio wanapofeli.Chukua 👊.
Mkuu umenea jambo kubwa sana hapa.
Na soon watakuja watu wapiga zumari media zimebanwa wakati huu ujumbe wa masoud ki🐀 unabeba kurasa mia za kuelezea mfumo ulivyo.