Katibu mkuu wa CCM Taifa Dkt. Bashiru Ally anatakiwa kuwa makini katika harakati za kumteua mwakilishi wa CCM katika uchaguzi wa Oktoba mwaka 2020. Anatakiwa kuhakikisha na kumleta Mgombea ambaye atawafaa Wananchi wa babati na siyo mtu anayempenda yeye au anayependwa na chama au wajube wa mkutano mkuu.
CCM wanatakiwa kujifunza kwa kilichotokea mwaka 2015 babati mjiniwalipompitisha mgombea ambeye alikuwa hapendwi na wananchi na mwishowe wapinzani wakachukua jimbo, 2010 katika jimbo Mbulu CCM pia walifanya kosa la kumteua mtu aliyechokwa na Wananchi na mwishowe wananchi wakatoa jimbo upinzani, vivyo hivyo mwaka 1995 jimbo la karatu walifanya makosa na mwishowe ikawa ni shida hadi leo jimbo liko upinzani.
Kutokana na mifano hii Dkt. Bashiru anatakiwa kuwa makini sana safari hii katika jimbo hili la babati mjini maana akifanya kosa litagarimu chama na mwishowe wataachia tena jimbo upinzani.