ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Frediluu

    JamiiForums Tanzania Kama Mbowe kama CCM, yupi anastahili?

    Uchaguzi wa CDM upo karibuni na kuna wanodai eti Mbowe apishe damu mpya, labda sawa na labda si sawa maana ni miaka 10 tu tangu awe mwenyekiti. Uchaguzi nkuu nao upo karibuni kwa mujibu wa muhula na kuna wanodai eti CCM ipishe damu mpya maana imezeeka, miaka 54 au zaidi hivi, Sasa katu yao...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Polisi Mkoa wa Songwe waendelea kuitumikia CCM

    Ikiwa Chadema imekwishatangaza kwamba haitashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa , unyama huu unaotendwa na RPC wa Songwe ni wa kazi gani , anataka kuteuliwa IGP ?
  3. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania CCM yapata ushindi mkubwa

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma kimepita bila kupingwa katika vijiji, mitaa na vitongoji 3,905 kati ya 4,032 vilivyopo sawa na asilimia 96.85. Akizungumza na Habari- LEO Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Jamila Yusuph alisema ushindi huo ni taswira nzuri katika kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli CCM inapendwa kwa 100% huko Tanga, Katavi na Ruvuma au wakuu wao wa mikoa wanaogopa changamoti za uchaguzi?

    Kwa mkoa wa Ruvuma sikushangaa uchaguzi wa serikali za mitaa kutofanyika kwani kule ndiko uliko moyo wa CCM. Hakuna mkoa wowote Tanzania ambao CCM imejichimbia mizizi kama Ruvuma ndio maana huwezi kuwasikia Chadema wanaizungumzia mkoa huo. Kilichonishangaza ni Tanga.......yaani mkoa mzima wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya wapinzani kususia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, aibu waliyoipata CCM hawataisahau

    Baada ya wapinzani kufanyiwa figisu figisu hivyo kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM wamepata aibu nchi nzima. 1. Wamekosa washindani nchi nzima 2. Wanafanya kampeni peke yao nchi nzima. Hakuna hamasa, majigambo nk. 3. Wamekosa wasikilizaji hadhira. 4. Wameishia kupeleka wasanii wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tutoke CCM na CHADEMA tujadili mengine ya muhimu: Why socialism always fails

    C&P Why socialism always fails AEIdeas CARPE DIEM March 22, 2016 Slightly more than 20 years, I wrote the article “Why Socialism Failed” and it appeared in 1995 in The Freeman, the flagship publication of the Foundation for Economic Education. I think it was the first essay or op-ed I wrote...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nchi yazizima ushindi wa CCM maelfu wajitokeza mitaani kushangilia

    Amini usiamini, ni kishindo cha nzima na dunia nzima imetikisika baada ya ushindi wa kishindo wa kile chama kikongwe duniani kinachofanya siasa zake kwa njia za kisasa yaani za kisayansi chini ya magwiji ya kisiasa kama daud bashite, mzee polepole na Bashiru Melefu ya wanyonge ambao maisha yao...
  8. Mystery

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi nchini kutumika na CCM kuwabakiza madarakani ni uvunjifu wa Katiba ya nchi

    Tukiisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, inasema wajibu namba moja wa Jeshi letu nchini kuwa ni kuwalinda raia na mali zao Jeshi hilo halipaswi liwalinde watawala, bali linatakiwa litimize majukumu yake kwa weledi bila kupendelea upande wowote Sasa yanapotokea...
  9. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Kuna mwingine atahama CHADEMA baada ya Meya wa Jiji la Arusha kuhamia CCM

    Maneno hayo ameyaandika kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii baada ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro kujiunga na CCM. Calist Lazaro alikuwa rafiki wa karibu na Godbless Lema tokea wakiwa wote wanachama wa TLP kabla ya wote kuhamia CHADEMA. Inasemekana Godbless Lema...
  10. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

    Meya wa Jiji la Arusha (Chadema), kalisti lazaro leo Novemba 19, 2019 amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi Amesema amefikia uamuzi huo baada ya kupitia wakati mgumu kutoka kwa uongozi wa chama chake ikiwamo kupokea barua za onyo mara kwa mara ambazo zilimtaka kutokutoa...
  11. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Wapanga mipango ya ushindi, fitina, na propaganda wa CCM na upinzani ni wafanyakazi hewa

    Salam wakuu, Naomba niseme CCM, CHADEMA, na ACT mnalipa wafanyakazi hewa kwenye vitengo vyenu vya ubunifu wa mikakati ya ushindi, propaganda, fitina, figisu figisu na uenezi. Mnatabirika mno, yaani kama kuna madudu au propaganda au bao la mkono linajulikana hata na mtoto mdogo. KUNDI LA...
  12. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Arusha: CCM wampita bila kupingwa katika mitaa 152 hivyo wanasubiria tu kuapishwa

    Msimamizi wa Uchaguzi katika Wilaya ya Arusha Mjini Mh Msena Bina amesema kuwa licha ya tayari kuampeni kuanza siku ya jana lakini wanatarajiwa kufanya uchaguzi katika mitaa 15 peke yake katika kata tofauti ambapo mingine yote wagombea wake wampeta bila kupingwa katika mitaa 152 hivyo...
  13. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Jimbo la Buchosa, Jaji Tasinga arejea CCM

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),kimeendelea kupata pigo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Jimbo la Buchosa, Jaji Tasinga kutangaza kurejea CCM Tasinga ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa muda wilaya ya Sengerema, alisema sababu mojawapo iliyomsukuma kuondoka Chadema na...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Serikali za mitaa CCM, nchi yatikisika, watu wakanyagana

    Mwenye macho haambiwi tazama
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania CCM isingekwapua Mablioni ya EPA, leo hii praise team wangekuwa Lindi wanalima Mbaazi

    *Na Christopher Cyrilo* ILIKUWEPO NCCR, IKAWEPO CUF, ILA CHADEMA NI TOFAUTI. Sehemu ya 1 Mwaka 1995, sisi watoto wa enzi hizo tulikuwa na kawimbo flani hivi, tunaimba; 'Mkapaaa, Mkapa ana kikwapa' 'Mremaaaa, Mrema ana kilema'. Watoto wa Tanga utawaweza kwa vituko? Kulikuwa na mpambano wa...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mna mikakati gani serious ya kushinda uchaguzi 2020?

    Huwezi kukiondoa madarakani chama kikongwe kama CCM kwa kulalamika kwenye vyombo vya habari, au kusubiri kigawanyike, unaweza kusubiri isiwe na kulalamika tu hakutoshi. Hadi sasa hatuoni movement yeyote serious kuonyesha kweli mna nia ya kuingia ikulu, pamoja na operation Chadema ni msingi, kwa...
  17. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

    "Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za...
  18. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kenya wamfagilia Magufuli

    WABUNGE wa Kenya wamemfagilia Rais John Magufuli, kutokana na kusimamia vizuri mapato na matumizi na ujenzi wa miradi, ambayo thamani ya fedha inaonekana katika utekelezaji wake nchini. Wakizungumza katika ziara nchini ya kujifunza namna Mfuko wa Jimbo unavyofanya kazi na kutembelea miradi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Siasa ya kujitoa: Hata CCM ilitakiwa kujitangaza kuwa imejitoa kwenye uchaguzi

    Jamii yoyote huongoza Kwa misingi ya Sheria na Sheria ya uchaguzi inasema Chama KAZI yake ni kuteuwa wagombea pekeyake . Vyama vyote vimefanya hivyo ni muda wa CCM kutangaza kujitoa ili WAIACHIE mifumo ifanye KAZI yake... KAZI kwako Polepole
  20. N

    JamiiForums Tanzania CCM ya awamu ya tano inamuhitaji sana DC wa hai tena sana tu na wengine wa kaliba yake

    Chama hiki kinachosifika kwa kubadilikabadilika kama kinyonga na kinachojiendesha kisayansi kwa mfano ambao haupo popote duniani kwa sasa yaani hii awamu ya tano hakina ujanja zaidi ya kumtegemea DC wa hai, yule undercover wa TISS anayeenda kwa jina la eagle :D vuilevile RC wa Mbeya, RC wa DSM...
Back
Top Bottom