ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Unyonge isiwe sababu ya kuwanyima watanzania haki zao! Unyonge wenyewe, umesababishwa na mafisadi wa CCM!

    Wanajamvi, Ni kweli kabisa, uchumi wa kati matokeo yake yangeonekana kwa watu mtaani. Hata WB kauli yao ingekuwa ya ziada tuu... Kama tungepewa mpango wa Taifa na ukawa unafuatwa, bila ya kujali ni chama gani kipo madarakani, basi wananchi tusingekuwa na shida. Lakini nadhani ccm wanaamini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Manyovu, Albert Obama akamatwa na TAKUKURU kwa kugawa Rushwa

    DG, Ninapenda kukujulisha kwamba katika ufuatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, leo TAKUKURU(M) Kigoma katika jimbo la uchaguzi la Buhigwe tumekamata Tsh. 210,000/= zilizokuwa zimeshagawiwa Tsh. 10,000/= kwa kila mjumbe kwa wajumbe 21 kutoka kata ya Mnanila jimboni humo...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

    Rais Magufuli akijibu swali la Sojo, MNEC kutoka Songwe aliyesema kwamba ametumwa na wanasongwe kuwasemea kuwa wanasononeka pale ambapo wapinzani wanapohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kuwaacha wanachama ambao walikipigania chama kufa na kupona 2010-2015, wanavunjika moyo wanapoona...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Watia nia wanaotoa rushwa kote Mikoani chama kina taarifa zao, hawatapata Uongozi

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku. Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao yapo makao makuu hawatapewa fursa ya kugombea uongozi kamwe. Chanzo: Channel ten. Maendeleo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limechagua kuibeba CCM. Wananchi tushikamane tutaishinda dhuruma hii

    Kadri Uchaguzi Mkuu unavyaokaribia, ndivyo Jeshi la Polisi linavyozidi kujinasibisha na Chama cha Mapinduzi, (CCM) Kwa kuwa CCM hakiungwi mkono tena na umma bali ni mwanasesere aliyebebwa kwa mbeleleko ya chuma, Watanzania tusimame kwa pamoja na kwa umoja kulinda thamani ya kura zetu Tumkatae...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya CCM kuzidiwa: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro atuhumiwa kumnyanyasa Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Daniel Shilla. Ameagiza akamatwe na Jeshi la Polisi

    Hii ni aibu kubwa sana kwa Mtu mzima ambaye ni juzi tu ameteuliwa kutoka ccm Arusha na kuwa RC wa Morogoro .
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Eti huyu mtu leo ndio kiongozi wa CCM na ndiye anaikataa Tume Huru ya Uchaguzi

    Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele . Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbona Takukuru wanakamata wagombea ubunge wa CCM pekee ina maana Chadema hakuna rushwa?

    Najiuliza tu. Maana kwanza alikamatwa Dr Kigwangalla akigawa baiskeli lakini akajitetea na kutoa vifungu vya sheria vinavyomlinda. Kisha akakamatwa Kibajaji bado sijajua imeishaje lakini leo kakamatwa Serukamba. Ndiposa najiuliza hiyo rushwa inatolewa huko chama tawala pekee? Au CHADEMA bado...
  9. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Ya Francis Nanai na ukachero bobevu wa maslahi ya chama uliopo na utakaoendelea kuwepo ndani ya CCM

    Wengi kama si wote bado hawaelewi ni kwa sababu gani hasa vyama vikongwe kama CCM vinaendelea kubaki madarakani. Jibu ni moja, uimara na ubora wao katika nyanja ya mikakati imara na ubobevu wao katika suala la ukachero chanya uhusuo maisha ya CCM yao. Huo ndiyo msingi wa ukongwe wao na ni kweli...
  10. dosama

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM kushirikiana na magereza na polisi kupandisha bendera Dodoma, jeshi la polisi Same washusha bendera za CHADEMA

    Hapa makada watiifu wa CCM Same wakishusha bendela za CHADEMA ambao wana kikao cha ndani kuelekea uchaguzi mkuu 2020
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Natabiri kuna siku Bernard Membe atarudi CCM

    Machi 1995 mwaka wa uchaguzi, Augustine Mrema aliondoka CCM akasema atagombea urais upinzani. Julai 2015 miezi michache kabla ya uchaguzi Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu aliondoka CCM akatangaza atagombea urais upande wa upinzani. Julai 2020 mwaka wa uchaguzi, Membe Waziri Mambo ya Nje Mstaafu...
  12. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi sifa kubwa ya kuteuliwa na Rais kwenye nafasi za utumishi wa Umma ni kuwa kada kindaki ndaki wa CCM?

    Tumemsikia mara kwa mara Rais Magufuli wakati akihutubia akisema kuwa maendeleo hayana vyama, akimaanisha kuwa serikali yake haina upendelo linapokuja suala la maendeleo ya nchi, kuwa kila mwananchi anayo haki sawa Lakini, maneno hayo yana tofauti kubwa katika utendaji wake katika uteuzi wake...
  13. S

    JamiiForums Tanzania CCM na Polisi ni kama mfuniko na pipa

  14. B

    JamiiForums Tanzania CCM kuweka mabadiliko ya Katiba kwenye ilani ya 2020-2025 wanalenga tupate Katiba ya wananchi au ya watawala?

    Chama Cha mapinduzi kinakusudia kuja na agenda ya katiba mpya kwenye ilani,je kwa sheria iliyopitishwa juzi bungeni ya kuwawekea kinga ya kuishtakiwa viongozi wa mihimili tunategemea katiba iletwe na CCM?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma za rushwa watia nia wa CCM, sehemu mbalimbali nchini kunaashiria nini miaka 5 ya serikali ya awamu ya 5?

    Kila siku kupitia vyombo vya habari tunasikia watia nia wa CCM sehemu mbali mbali za nchi yetu amawanahojiwa na TAKUKURU au kukamatwa na polisi kwa TUHUMA za RUSHWA. Je, hii inamaana gani kwa utawala wa awamu ya 5?
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha watia nia wa CCM kuzidiana kwa kugawa pesa ili kujitambulisha

    Yaonekana CCM ndo tatizo la nchi hii. M/kiti wao alisema hataki rushwa katika uchaguzi. M/kiti huyo anasisitiza atawakata wagombea wote wala rushwa. Akazidi kusema rushwa ni mdudu mbaya sana! Baadaye ameruhusu wagombea kujitambulisha majimboni. Huku majimboni imekuwa ni kugawa pesa. Kila...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Iringa yapiga marufuku watia nia ya ubunge na udiwani kuweka vipeperushi mitandaoni!

    Kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Iringa imepiga marufuku watia nia wa nafasi za ubunge na udiwani kuweka vipeperushi na mabango mitaani na mitandaoni. Hatua hii inalenga kupunguza vurugu na mizaha ndani ya chama. Chanzo: Azam tv!
  18. mbinguni

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

    Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu, Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa...
  19. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Wananchi zaidi 90 Wilayani Kilwa mkoani Lindi wamerudisha kadi za ACT-wazalendo na CCM na kujiunga na chama cha wananchi CUF

    #HABARI WANANCHI ZAIDI 90 WILAYANI KILWA MKOANI LINDI WAMERUDISHA KADI ZA ACT-WAZALENDO NA CCM NA KUJIUNGA NA CHAMA CHA WANANCHI CUF Mkurugenzi wa mafunzo na udhibiti CUF Taifa Mhe. Masoud Omar Mhina kutoka kushoto ndiye aliyepokea Kadi hizo na Kuwakabidhi kadi za Chama Cha Wananchi CUF...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Membe: Kuna CCM Mpya na CCM ya Zamani

    7 Julai 2020 Rondo, Lindi Tanzania ’CCM ilinionya, Ukimchallenge huyu kutaka Urais utafukuzwa chamani ’ Bernard Membe Sisi wale wa CCM ya zamani tulionekana kama kwamba hatujafanya lolote jema na hawa wanaojiita CCM Mpya. Membe aelelezea utofauti wa aliyoiita 'CCM ya zamani' na 'CCM mpya'...
Back
Top Bottom