Katibu wa Itikadi na Uenezi, Ndugu Humphrey Polepole anafaa kuwa Waziri wa Wizara yoyote ikiwa CCM itashinda

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Kusema kweli ukimtazama Humphrey Polepole utagundua ana hotuba nzuri na ni msikivu. Nilipata kumuona katika ziara aliyofanya Kigoma kwakweli aliwakosha sana Watanzania kwa kutatua kero zao hasa maji.

Kwa mbali alikuwa na mwendo wa kishujaa huku akiwa amevaa gambuti. Kwa maoni yangu ndugu huyu anafaa uwaziri, japo hata nafasi aliyonayo anaitendea haki.
 
Nimelala malaika wakanitokea na kuniambia kuwa ipo siku pole pole atateuliwa kuwa mbunge wa kuteuliwa ktk nafasi kumi na kisha kupewa uwaziri.

Kila la kheri ndugu pole pole
 
Atuambie aliishia wapi aliposema wagombea wataotoa rushwa wataktwa majina yao na watachukuliwa hautua?
Kule Arusha kuna mgombea alitoa rushwa, simara moja, na takukuru walipo mfuata, jeshi la polisi likamficha na kumtoa kwenye eneo la tukio na wasaidizi wake wakakamatwa.

Alisababisha kuvuliwa uongozi aliokuwa nao, MKUU WA TAKUKURU ARUSHA NA MKUU WA POLISI ARUSHA WAKABADILISHIWA VITUO VYA KAZI.

Leo huyo mtoa rushwa ndiye kateuliwa na ccm kuwa mgombea ubunge Arusha mjini.

12.jpg
 
Kusema kweli ukimtazama Humphrey Polepole utagundua ana hotuba nzuri na ni msikivu. Nilipata kumuona katika ziara aliyofanya Kigoma kwakweli aliwakosha sana Watanzania kwa kutatua kero zao hasa maji.

Kwa mbali alikuwa na mwendo wa kishujaa huku akiwa amevaa gambuti. Kwa maoni yangu ndugu huyu anafaa uwaziri, japo hata nafasi aliyonayo anaitendea haki.
Polepole na moja ya watu wasiofaa labda kwa propaganda za kisiasa tu hakuna akili za maendeleo kabisa, watanzania kuweni makini na namna mnavyo wajaji viongozi wenu inaonekana kuna tatizo kubwa la weledi.
 
Kusema kweli ukimtazama Humphrey Polepole utagundua ana hotuba nzuri na ni msikivu. Nilipata kumuona katika ziara aliyofanya Kigoma kwakweli aliwakosha sana Watanzania kwa kutatua kero zao hasa maji.

Kwa mbali alikuwa na mwendo wa kishujaa huku akiwa amevaa gambuti. Kwa maoni yangu ndugu huyu anafaa uwaziri, japo hata nafasi aliyonayo anaitendea haki.
Polepole anafaa kuwa msemaji wa Dodoma Conference.
IMG-20200823-WA0041.jpg
 
Kusema kweli ukimtazama Humphrey Polepole utagundua ana hotuba nzuri na ni msikivu. Nilipata kumuona katika ziara aliyofanya Kigoma kwakweli aliwakosha sana Watanzania kwa kutatua kero zao hasa maji.

Kwa mbali alikuwa na mwendo wa kishujaa huku akiwa amevaa gambuti. Kwa maoni yangu ndugu huyu anafaa uwaziri, japo hata nafasi aliyonayo anaitendea haki.
Aendelee tu kua mwenezi, anafaa sana hapo.
 
Pole pole amefanikiwa kuwapumbaza wagombea elfu 10 akiwaambia 'wawe na amani' huku akijua fika wameliwa vichwa.. Bila ya huu ubunifu wa Pole pole sasa hivi upinzani ungekuwa umependezaa kwa kusheheni wagombea wapya waliotimka kutoka CCM!
Kauli za Pole pole za kushikisha adabu watoa rushwa huenda ndizo ziliwafanya walioshindwa kura za maoni waendelee kusikilizia CCM kwa matumaini ya kupenya!
Najua sasa ivi wengi watakuwa wamemind sana kuingizwa ndani ya box na Pole pole.
Kwa hili Pole pole anastahili tuzo ya AMANI ya Nobel.
 
Kusema kweli ukimtazama Humphrey Polepole utagundua ana hotuba nzuri na ni msikivu. Nilipata kumuona katika ziara aliyofanya Kigoma kwakweli aliwakosha sana Watanzania kwa kutatua kero zao hasa maji.

Kwa mbali alikuwa na mwendo wa kishujaa huku akiwa amevaa gambuti. Kwa maoni yangu ndugu huyu anafaa uwaziri, japo hata nafasi aliyonayo anaitendea haki.
Hafai kabisa, kiongozi mzuri husimamia anachokuamini. Pole pole wa tume ya jaji Warioba na huyu MC wa CCM ni watu wawili tofauti....
 
Kusema kweli ukimtazama Humphrey Polepole utagundua ana hotuba nzuri na ni msikivu. Nilipata kumuona katika ziara aliyofanya Kigoma kwakweli aliwakosha sana Watanzania kwa kutatua kero zao hasa maji.

Kwa mbali alikuwa na mwendo wa kishujaa huku akiwa amevaa gambuti. Kwa maoni yangu ndugu huyu anafaa uwaziri, japo hata nafasi aliyonayo anaitendea haki.
Polepole ni mzee au kijana?
Ongea ya kijana sura ya kizee, matendo ya kibabu(kichawi), hebu tujuzeni wanazengo
 
Back
Top Bottom