Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Kwanini wale wanaojiita kamati ya viongozi wa Dini wana sambaza ajenda ya AMANI na sio HAKI?
Kipi kinatakiwa kuanza amani au haki? Naweza kusema hawa watu ni wanafiki na wachumia tumbo.
Kinachoendelea sasa nchini katika zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu imekuwa vita hasa kwa upinzani na watu wanajiita wasiojulikana.
Nadhani ifike mahala iwe zao ama zetu, haijalishi anayekuja kwako awe polisi, TAKUKURU vyovyote iwavyo atangulie mochwari au akisalimika aamkie ICU iwe fundisho kwa wote.
Hii itapeleka wanaokosa haki kuamua kuunda vikundi vyao kuisaka haki ndio chanzo cha vita na hii inachangiwa na ccm kwa kujiona ndio wenye haki na hati miliki ya uongozi nchi hii.
Jino kwa jino sasa ikitokea kwa diwani wa upinzani rhe same iwe na upande wa pili