Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dr Mwinyi amesema wajumbe wa Zanzibar waliowapigia kura walikuwa 68 na siyo 35 kama inavyovumishwa.
Mwinyi amesema hata kama ni kweli wenzake hawakupigiwa kura na wajumbe wa bara kitu ambacho hakiamini, bado yeye naye atakuwa amepata kura 33 kutoka...
Meneja wa Diamond na WCB, Babu Tale mapema leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Morogoro Vijijini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Nakumbuka nilianza kupiga kura kwa mara ya kwanza mwaka 1990, nikiri pia mwaka huo nilikuwa sijafikisha umri halisi wa kupiga kura lakini mwalimu mkuu wa shule niliyokuwa nikisoma alituandikisha wanafunzi wote tuliokuwa darasa la saba ili tupige kura kumsaidia aliyekuwa mgombea ubunge wilaya ya...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Charles Kimei amefika katika ofisi za CCM Kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Vunjo.
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue ili aweze kugombea Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia CCM.
Nawakumbusha watanzania kuwa ni wabunge wa CCM ndio waliopitisha sheria zote katili na kandamiza kama zile za makato ya Bodi ya Mikopo,Sheria ya kuunganisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na Sheria ya kikokotoo kipya kilichozua malalamiko makubwa kutoka kwa umma.
Nilisema jana katika mada yangu...
Ndugu yangu aliyeshiriki vikao vya Chama changu Dodoma akitokea Shinyanga ametamba kwa majidai ya KiSukuma kuwa CCM walifanya kweli Dodoma. Walianza na kuwaita wafanyabisahara wote wa Hoteli na Loji wakaamrisha kuwa kuanzia Tarehe 10 hadi 12 Julai vyumba vyote vya Hoteli na Loji zao wasipokee...
Kumekucha tena.
Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo.
Ngoja nijaribu kupiga kapicha niwatupie hapa.
Maendeleo hayana vyama!
Aliyekuwa Mlinzi wa zamani wa Baba wa Taifa ambaye pia alikuwa Mlinzi Mkuu wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Aloyce Tendewa amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kilombero kwa tiketi ya CCM
Pia soma
Aloyce Tendewa; Shujaa wa taifa, mlinzi wa zamani wa Nyerere na Lowassa
Mlinzi wa...
Wasalaam, kwa jinsi siasa za Tanzania zilipo hivi ni dhahiri maneno ya baba wa taifa yatamia. Tunakumbuka mwaka 2015 Mh lowassa aliitisa CCM na kusababisha wapinzani kupata idadi kubwa ya wabunge tangu kuanzishwa vyama vingi 1992.
Kwa jinsi upepo wa kisiasa ulivyo 2020 ni wazi Mh Membe...
Wapinzani na wadau wengine kwa ujumla,wakati tunaelekea katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa Raisi wabunge na madiwani,ni vyema mkawakumbusha watanzania madhara ya kuwa na wabunge wengi wa CCM Bungeni hasa ikitokea CCM inaridu tena madarakani
Watanzania(baadhi yetu) tunakuwa wapesi...
Uongozi wa CCM muda bado mnaweza kufanya mabadiliko rudusheni utaratibu wa zamani ili kumpata mbunge bora, ule utaratibu wa mwanzo wa watu kupimwa kwanza na Kamati husika kabla ya kura za maoni ndio unafaa kisha zipatikane 3 bora zikapigiwe kura za maoni na Wajumbe wa Halmashauri ya Jimbo...
Mwanasheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzaniania (TCRA) ambaye ni Katibu wa Kamati ya Maudhui inayofungia Vyombo vya Habari kwa kukiuka Kanuni za Maudhui mitandaoni, Dkt. Philip Filikunjombe amechukua fomu kuomba kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Ludewa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kwa siku ya leo, ikiwa ndio siku ya kwanza ya kuchukua fomu, watu 31 wamechukua fomu kwa Jimbo la Kinondoni huku 80 wakichukua kwa Jimbo la Kawe
Kwa upande wa Kinondoni, mtu mmoja tayari amerudisha fomu na kwa Jimbo la Kawe, watu wanne wamerudisha fomu hizo za...
Asalam,
Mchakato wa Uchaguzi unaenda vema sana. Taarifa nyingi njema zinaendelea vema.
Naomba nijikite kwa habari hii iliyokuwepo kitambo lkn imekua kwa kasi katika kipindi hiki Cha uchukuaji form. Kichwa Cha habari kinajieleza vema.
Ikumbukwe Mkoa wa Iringa hasa Jimbo la Iringa Mjini...
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. ( aboodmediatz )
Mwijaku achukua fomu kuwania kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika Jimbo la Kawe. ( globalpublishers )
Aliyekuwa...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kwanza nawaomba radhi wana JF kwa kuchelewa kuleta tathmini kuhusu mikoa tajwa hapo juu kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020. Nilipatwa na dharura ya kimaisha iliyonifanya nirudi nyumbani Arusha. Kabla ya kuja huku, nilitembelea mikoa ya Iringa na Mbeya. Nitarejea Moro na tena Njombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.