Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,421
Ikiwa leo ni siku ya kurudisha fomu za uteuzi, tutafakari kwa pamoja:
1. Kwanini wagombea wa CCM hawatekwi?
2. Kwanini hawatishiwi kuuawa?
3. Kwanini hawatuhumiwi kuwa ni raia wa kigeni?
4. Kwanini hawatuhumiwi ujambazi wala ukwepaji kodi?
Tukipata majibu mazuri ya tafakari hizi, bila shaka Tanzania itakuwa nchi ya amani.
Kuna methali moja inasema "Amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga"