ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Rushwa iliyomwagwa kwenye kura za maoni za ubunge CCM Kyela inatisha, kuna mgombea amegawa pikipiki kwa kila katibu kata

    Taarifa ya rushwa kwenye kura za maoni kwenye ubunge wa CCM Kyela kila mwananchi wa Kyela nikiwemo mimi anajua Yuko mgombea mmoja ambaye alimwaga pikipiki kwa kila katibu wa kata kwenye jimbo hilo, kwa kadri ya ufahamu wangu kuhusu rushwa za uchaguzi wa ccm kyela, hii ni funga kazi, katika...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Taarifa nilizopata juu ya chaguzi za CCM; ni hatari kwa nchi hii

    Nawaomba mnisome hapa: Mchakato wa kutafuta wagombea ndani ya CCM umeibua mambo mengi ambayo ni vizuri kuyajadili. Muhimu ni kuelewa kwamba kwa mpangilio wa vyombo vya uasalama na ukubwa wa CCM, bado kitakuwa ndicho chama kitakachoongoza nchi hii kwa miongo ijayo. Tatizo langu ni ukomavu na...
  3. JamiiForums Tanzania CCM kama kweli tunataka 'Kumuenzi' vyema Hayati Mzee Mkapa na hata Baba wa Taifa tukae mbali na 'Unafiki' huu wa Kidemokrasia

    Taasisi ya Tulia Trust imetoa mkopo wa bodaboda 21 zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 50 kwa vikundi mbalimbali vya waendesha bodaboda katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Nipashe. ----------- Ni Mpumbavu (Popoma) tu pekee ndiyo anaweza asigundue kuwa hii tayari ni 'Pre Campaign' ambayo huyu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hongera sana CCM kwa mchakato wa kura za maoni

    Ndugu zangu, salamu. Napenda kuchukua fursa hii kukishukuru chama changu kwa kuendesha vizuri mchakato wa kura za maoni kwa ngazi ya majimbo na viti maalumu. Ni imani yangu kuwa michakato mingine itaendelea vyema kwa ngazi zinazofuatia. Ninajua zipo changamoto ndogondogo za madai ya rushwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana

    Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya CCM, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp. Inadaiwa alitenda kosa hilo kati ya Septemba 15 na Oktoba 10 mwaka 2019 . ------ Aliyekuwa mtia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Membe amtaka Tundu Lissu waunganishe nguvu waweze kuitoa CCM madarakani

    Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe amemkaribisha Tundu Lissu nyumbani na kumtaka waunganishe nguvu ili iwe rahisi kuing'oa CCM madarakani. Hayo yameelezwa na ACT Wazalendo katika ukurasa wao wa twitter Maendeleo hayana vyama!
  7. JamiiForums Tanzania CCM Korogwe huyu Shebila Iddi Shebila amehonga sana wajumbe kura za maoni na kiukweli hakubaliwi

    Habari za uzima watanzania,MwenyeziI Mungu atufariji kwa kipindi hiki kigumu kwa kuondokewa na kiongezi wetu mpendwa Bila kupoteza muda nawaomba viongozi wa CCM kwa ujumla kufatilia nyendo za huyu SHEBILA aliekua diwani wa kata ya KERENGE muhula uliopita lakini pia kufuatilia/wamulike mwenendo...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Taarifa kwa Makatibu CCM Taifa, mchakato wa kumchagua Mgombea Udiwani Kata ya Mtera ulikuwa na rushwa za wazi

    Nianze kukipongeza chama changu CCM kwa mchakato wa uchaguzi wa ndani, pili nichukue nafasi hii kufikisha kilio changu kwenu viongozi wangu wa juu namna mchakato wa kumchagua mgombea udiwani kata ya mtera ulivyokuwa na rushwa za wazi lakini pia ulikuwa ni mkakati wa mbunge aliyepita simbachawene...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Walioongoza kura za maoni Hai Kilimanjaro watangazwa rasmi kuwa wamepitishwa na CCM kugombea Oktoba 2020

    Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Katibu wa CCM wilaya yaHai mkoani Kilimanjaro, siku ya leo baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa udiwani kupitia viti maalumu, amewatangaza rasmi madiwani wa kata,viti maalum na mbunge Saashisha kuwa wamepitishwa rasmi kugombea nafasi zao walioongoza kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Katibu Mkuu (CCM) Taifa uvurugwaji wa Uchaguzi wa Kura za Maoni CCM-Kiluvya

    Mheshimiwa katibu hatuna namna ya kukufikia zaidi ya njia hii tupokee 27th Julai 2020 KWA KATIBU MKUU (CCM )TAIFA NAKALA KWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA , KATIBU WA CCM MKOA WA PWANI, KATIBU WA CCM WILAYA YA KISARAWE, KATIBU WA CCM KATA YA KILUVYA Yah: MALALAMIKO KUHUSU UCHAGUZI WA KURA...
  11. JamiiForums Tanzania Kutokutiwa nguvuni Tundu Lissu kesho 27/7/2020 ni kutangaza uasi juu ya Sheria za Nchi yetu

    Yafuatayo yafanyike baada ya kutua uwanja wa ndege JKNIA Kumnyang'anya passport ya kusafiria mara moja na jina lake liwe blacklisted kwenye mfumo wa waombaji Passport uhamiaji yaani yeye asije tena kupewa passport ya kusafiria maisha yake yote Uchunguzi wa shambulio lake uanze Mara moja siku...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Asante wajumbe wa CCM wilaya ya Rorya: Magufuli tunaomba uturudishie Japhari Chege

    na Mwl Matete - MUST Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru sana wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Rorya kwa kazi kubwa waliofanya kutuletea mshindi ambaye kwa maoni yangu ni mtu sahihi kwa wakati huu. Kura ya maoni iliyofanyika wiki iliopita ni wazi kuwa hata wajumbe walichoka siasa...
  13. JamiiForums Tanzania Mfumo "Wajumbe" ni Mbovu, CCM watakili na kuuacha

    Wakuu heshima kwenu, Huu mfumo wa wajumbe kwa maoni yangu nimeona unamatatizo mengi sana kuliko faida. Ni mfumo ambao chama kitakuja kuutafakari kwa upya na kuutupilia kando. Dhumuni la huu mfumo ilikuwa ati kupunguza rushwa lakini sivyo ilivyo, Nina Hakika sana hakuna mwaka ambao fedha...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Vimbwanga Chaguzi za CCM: Baada ya Rushwa wahamia kwenye uchawi

    Chama dola kilichoshindwa kudhibiti rushwa hata kwa Wajumbe wake kimeibuka na mpango mkakati mpya wa kupata kura za Wajumbe kwa kutumia ndumba! Maelezo kamili haya haya kwenye attachment. Eti ndio CCM wanapiga kelele kudhibiti rushwa, wameshindwa rushwa wamehamia kwenye nyumba baada ya miaka...
  15. JamiiForums Tanzania Mkapa alikuwa na mafaili ya wengi wasio wasafi CCM na Serikalini, Mzee Mangula simama imara kwenye kuchuja wagombea

    Mkapa alitusaidia Kama nchi kupata Raisi Safi Magufuli sababu alikuwa na mafaili ya wezi, mafisadi na vibaka ndani ya CCM na serikali. Angekuwa hai angesaidia mno mchakato wa kuchuja watia Nia ubunge na udiwani sababu aliwajua wengi in and out Mkapa ndie alisaidia nchi kupata Raisi Magufuli...
  16. B

    JamiiForums Tanzania CCM kuweni makini na mtumie intelijensia yaliyotokea Jimbo la Sengerema

    Kuna mtia nia mmoja ni Darasa la Saba ,ana tamaa sana ya madaraka na hatosheki. Alikuwa CHADEMA baadaye akawasaliti na kurudi CCM ili agombee tena ubunge. Anautafuta ubunge muda mrefu sana na hata hatujui ajenda yake hasa ni ipi. Amewekeza pesa nyingi sababu yeye ni tajiri kwa kutoa vizawadi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Funzo nililolipata baada ya kupata 0 kwenye kura za maoni za udiwani CCM

    Salamu zenu wakuu, Kwa mara ya kwanza nami nikiwa Kama kijana nikatia nia ya kugombea udiwani kupitia CCM huko Katani kwetu. Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwangu kwa kunipa ninachostahili katika zoezi lile la kura za maoni zilizofanyika jana siku ya Jumamosi ya tarehe 25/07/2020. Kwanza...
  18. S

    JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI: Mbinu iliyotumika kuwapa rushwa wajumbe wa CCM

    Baada ya kusikia na kuona malalamiko mengi Sana ya watia nia ndani ya ccm kuwa walioshinda kura za maoni ni wenye fedha nyingi, Sexless unit iliingia majimboni kufanya utafiti. Tulitaka kujiridhisha juu ya maswali yafuatayo;- 1. Je, rushwa ilitumika ktk mchakato wa kura za maoni ndani ya ccm...
  19. JamiiForums Tanzania Malalamiko kura za maoni: Majungu yameanza Ubungo, CCM tuna kazi

  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa Mwenyekiti wa CCM kule mkoani Kilimanjaro kumpendelea Ibrahim Shayo ili apitishwe kugombea Jimbo la Moshi Mjini

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kule Kilimanjaro, CCM imemuamini mwenyekiti wa CCM mkoa Jambo ambalo nitakigharimu chama kwa miaka mitano. Mwenyekiti wa CCM mkoa ni swahiba mkubwa wagombea aliyepitishwa kugombea Jimbo la Moshi Mjini. Mtandao huo umekwenda mbali kiasi kuwa kaka wa Ibra...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…