Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa Mwenyekiti wa CCM kule mkoani Kilimanjaro kumpendelea Ibrahim Shayo ili apitishwe kugombea Jimbo la Moshi Mjini

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
13,689
22,745
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kule Kilimanjaro, CCM imemuamini mwenyekiti wa CCM mkoa Jambo ambalo nitakigharimu chama kwa miaka mitano. Mwenyekiti wa CCM mkoa ni swahiba mkubwa wagombea aliyepitishwa kugombea Jimbo la Moshi Mjini. Mtandao huo umekwenda mbali kiasi kuwa kaka wa Ibra Line naye amekimbilia CCM kugombea udiwani kata ya Mji Mpya, Moshi Mjini alitokea Chadema.

Hii yote ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kundi moja kujimilikisha chama. Kundi hili ni kundi la kibiashara la kimkakati la kutoa rushwa misikitini, sokoni, gereji ili kukinunua chama.mtandao huu una ufuasi mkubwa akiwemo mwenyekiti wa CCM wilaya, mwenyekiti wa CCM mkoa, diwani wa kata ya Mji Mpya kaka wa mgombea ubunge na mgombea ubunge mwenyewe.

Vikao CCM vya kumjalidi ibra line kuwa mbunge mkivifanyia kilimanjaro CCM mnajisumbua wengi ni wale wale. Vikao vya Dodoma ndivyo vyenye nafuu kwenye maamuzi. Msitegemee vikao vya mkoa vile kampuni moja namgombea ubunge.

Video: Kaka wa mgombea akirudishwa CCM na mwenyekiti wa CCM mkoa ili agombee udiwani dakika za mwisho.
 
Attachments

  • VID-20200715-WA0020.mp4
    2.2 MB
Mwenyekiti wa chama mkoa haamui nani awe mgombea ktk ubunge bali KURA ZA MAONI za wajumbe ndio hutoa mwelekeo wa nani anakubalika jimboni ktk ngazi za chama!!

Hata Kigamboni kwa nguvu na mamlaka aliyokuwa nayo Makonda ktk mkoa wetu wa Dar dhidi ya Dr Ndugulile ambaye alitenguliwa uwaziri ( tukiamini kutenguliwa kwake kutamdhoofisha ktk kura) tuliamini Makonda atachukua jimbo kwa ushindi wa kishindo lakn WAJUMBE wametuprove wrong..!!

Fatilia na uijue siasa vizuri na ngazi zake mbalimbali za maamuzi

Hvyo Peno acha chuki dhidi ya Ibra, wajumbe wamekwishaamua nani wanamtaka..!!!
 
Orodha ya wagombea vinara wa kutoa rushwa hii hapa, Ibrahim shayona priscus kimaryo Jimbo la Moshi mjini, ole sendeka simanjiro,sajini Kule butiama,gambo Kule Arusha Arusha mjini, Dr David matayo Kule same,mnyeti misungwi,prof muhongo,prof Adolf mkenda Kule rombo, sashisha Kule hai.orofha ni ndefu tutaendelea kuwaleyea Hindi tunavyoendelea kupata majina yao
 
Fanya uhariri kidogo, unakimbilia wapi mkuu?
 
Orodha ya wagombea vinara wa kutoa rushwa hii hapa, Ibrahim shayona priscus kimaryo Jimbo la Moshi mjini, ole sendeka simanjiro,sajini Kule butiama,gambo Kule Arusha Arusha mjini, Dr David matayo Kule same,mnyeti misungwi,prof muhongo,prof Adolf mkenda Kule rombo, sashisha Kule hai.orofha ni ndefu tutaendelea kuwaleyea Hindi tunavyoendelea kupata majina yao
Hapo Moshi mjini kuna ccm ambaye hajatoa rushwa? Ni mgombea yupi?
 
Back
Top Bottom