Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Huyu mtu alikuwa ndio nguzo ya CCM Tarime, lakini ni kitambo kirefu sijamsikia, atakumbukwa kwa kuwa mstari wa mbele kukipigania chama chake kwa halali na kwa haramu na kwa mara ya mwisho alionekana kwenye tukio la kung'oa bendera za Chadema mjini Dodoma
Yuko wapi sasa?
Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020, tunasikia tambo tupu toka kwa viongozi wakuu wa CCM kuwa uchaguzi wa mwaka huu ndiyo "kiama" cha Upinzani na hatutausikia tena Upinzani ndani ya nchi hii baada ya uchaguzi huo utakaofanyika mwezi wa Oktoba mwaka huu!
Swali ninalojiuliza: Hivi ni kweli...
Uchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga...
Baada ya aliyekuwa Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe kuhamia CCM inaelezwa kuwa madiwani wawili wa jimbo la Mtama watajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa.
Taarifa zinadai kuwa huko Ndanda maelfu ya wana-Chadema wamerejesha kadi na bendera za chama hicho na wanasubiri kukabidhiwa kadi za CCM na...
Hili jambo ndilo litakalotokea. Hawa wote mnaowasoma humu JF na kwingine wakitoka jasho la kwapa kutetea maovu ya CCM bila kujali utu wa binadamu, hawataonekana tena baada ya CCM kuondoka.
Hawa si watetezi wa bure, bila shaka wanalipwa. Hii ni kwa sababu hakuna binadamu yeyote mwenye akili...
CCM Tawi la Michungwani tumetenga sh 1,200,000 kwa ajili ya kumchukulia Bernard Camelius Membe fomu kwenye uchaguzi mkuu, Mil 1 ikiwa ni ya kuchukulia fomu na laki 2 kwa ajili ya kuweka mafuta kwenye gari lake kwenda kuchukua fomu. - Abuu, Katibu
Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.
Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa...
Ni swali lililoanza kurindima ndani ya vilinge vya siasa za wanaCCM kuhusu kuitikia au kuukacha wito wa kufika kujieleza mbele ya Kamati ya Nidhamu ya CCM kwa wanasiasa wawili ndani ya CCM, yaani Yusuph Makamba na Mzee Kinana.
Taarifa ya kufika kuhojiwa kwa wanasiasa hao iliyoambatana video na...
Kuna wakati najaribu kumwelewa Raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya Kigamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo...
KATIBU MKUU
WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
S.L.P 50
DODOMA.
YAH: MALAMIKO DHIDI YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA MRISHO GAMBO
Mheshimiwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Bashiru Ally, sisi ni baadhi wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, tunachukua fursa...
Nasikitika sana kuona serikali inatulazimisha kuwa maskini. Ni ngumu sana kwa mfanyakazi kuwa tajiri kwa kutegemea kuajiriwa.
NSSF wanapokea kiasi cha asilimia 20 (10 kwangu + 10 mwajiri) hapo hapo Serikali nayo wanakata kiasi cha asilimia zisizopungua 25 mpaka 30 ya mshahara wangu kama kodi...
Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Pwani na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mzee Sumaye amesema mara kadhaa aliwashauri viongozi wenzake wapambane na CCM kwa hoja lakini walimpuuza.
Sumaye anasema CHADEMA wamejikita kushindana na polisi ambao kamwe hawatawaweza kwa kuwa askari wanatimiza majukumu...
Kuna mambo kadhaa ambayo CCM wanataka kutuchanganya hapa. Lakini kama usemi unavyoenda - you can fool some people sometimes but not all the people all the time.
Je, Kinana na Makamba wameonana na Kamati ya Maadili ya CCM au wamekutana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM?
Tunaelewa...
Mwenyekiti wa CUF Habari Prof Lipumba amesema wao wako tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani kusimamisha mgombea mmoja wa urais.
Lipumba amesisitiza kuwa pamoja na yote hawatakuwa tayari kushirikiana na Chadema kama wanangojea makapi ya CCM waweze kupata mgombea.
Prof Lipumba...
Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2015, vyama vya upinzani hali yake ni mbaya sasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mpaka ninavyoandika hapa na kama hali ikiendelea hivi, Uchaguzi Mkuu wa 2020 upinzani utaambulia anguko kubwa na la aibu la kihistoria.
Ni anguko la kihistoria kwa sababu baada...
INTELLIGENCE UNIT ni sehemu ya kitengo ndani ya Gazeti la The Economist ambacho hufanya uchunguzi na utafiti wa kisiasa na kiuchumi kwa nchi mbali mbali duniani na kutoa matokeo au matarajio.
Kitengo hiki cha kiuchunguzi kina wafanyakazi wabobezi zaidi ya 100 duniani ambao hutoa tafiti na...
Kamati kuu ya chama cha mapinduzi imemtosa kijana mahili na chipukizi kwenye siasa Bwana Husein Bashe ambaye aligombea kura za maoni ccm kupitia jimbo la nzega na kumbwaga aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Bwana lukas selelii kwa jumla ya kura 14,200 za Bashe,dhidi ya 2700 za selelii,na sababu yao...
Makamba alishika ukatibu mkuu baada ya Mangula. Likaundwa kundi lilioitwa wanamtandao. Wakawatenga wana CCM wengine. Mtu kama Mangula alisahaulika kabisa akawa mtu wa kijijini, Iringa. Nafasi ya katibu mkuu ikawa ni ubingwa wa vijembe, akajisahau na CCM ikakosa umaarufu akiwa hana habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.