Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Ni kweli wanaweza na wameisha nunua zaidi ya nusu ya viongozi wapinzani wa Chadema, CUF, ACT nk.
Na bado wanaendelea kununua na kushawishi kwa nguvu na vitisho.
Nimejiuliza tu Ikitokea wakawapata au kuwanyamazisha wapinzania wote na kuchukua majimbo yote muhimu waliyokuwa ya Upinzania au...
Embu angalia mchina jamani anashiriki siasa za nchi kisa anaimba nyimbo ya kumsifu mfalme, aisee halafu ukiangalia nyuma kuna polisi kabisa analinda eti usalama.
Yaani msajili wa vyama yupo tu,jenga picha hii ingekuwa ni chadema maana kwenye mkutano wa cdm wale mabalozi wa abroda kualikwa tu...
Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii.
Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni...
Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Upinzani wa kweli na mpinzani wa kweli atatoka ndani ya CCM na kwamba bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba.
Alikuwepo Lyatonga Mrema, akaja Lowassa na Sumaye lakini upinzani bado ni shaghala bagala yaani tia maji tia maji.
Hivi hii...
Nimetafakari sana na kugundua kumbe ccm hii shida tunayoipata tumeitengeneza wenyewe tangu enzi za mwalimu Nyerere
Kipindi cha mzee Nyerere,masomo mengi ya kuhoji mifumo yalifundishwa, na haya ndio shida kubwa kwetu
Awamu ya mzee Mwinyi na Mkapa,Benki ya Dunia na mashirika ya kimataifa...
Kwa mtu makini na mwenye uelewa mpana wa siasa au wale wana CCM makini na wenye upeo mkubwa hawawezi kukubali kuwa huku kuhamia kwa wapinzani kwa maana ya Wabunge na Madiwani ni ishara ya kukubalika kwa CCM au kuboreka kwa sera zake, la hasha!
Kuna kitu hapa kinasukwa kwa ustadi na " gharama"...
Kuna ukweli kuwa wale watetezi wa CCM mitandaoni waliokuwa kwenye kamgomo ka kudai kutambulika na kulipwa vizuri kwani nguvu wanaoitumia humu JF na kwingineko haikufanana na buku saba waliokuwa wakilipwa? Kwa ushahidi mdogo tu, ona kina Kawe Alumni et al walivyoibuka Leo baada ya Ile training...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amewataka wanachama ambao walikihama chama hicho na hivi sasa wameamua kurejea wasiwe chanzo cha kuanzisha makundi ndani ya chama.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, picha mtandao
Amewataka wanachama wa CCM...
Ni Jambo lisilopingika kwamba kupotea na masahibu yaliyowapata hao watajwa hapo juu yana mafungamano ya moja kwa moja na utawala wa awamu ya tano.
Tunalazimika kuamini hivi kwasababu ya mazingira yaliyotokea kabla na baada ya madhila walioyapata na mbaya zaidi kwakuwa serikali haijatoa...
Ni jambo la kusikitika sana, ukitafakari siasa za Tanzania. Kitendo cha wanasiasa walioaminika na wananchi kwa kupigiwa kura kuhamia CCM kwasababu za kipumbavu kama wanazotoa ni jambo litakalohojiwa sana na vizazi vijavyo.
Nadiriki kusema miaka kumi ijayo hawa WALIOHAMIA CCM watakuwa wazee ila...
Ukweli ni kwamba wananchi wanataka chama mbadala wa CCM kuongoza inchi. Ndiyo maana kila chama cha upinzani kinapoibuka huwa na nguvu sana kiushidani. Na CCM imekua ikitumia raslimali nyingi pamoja na vyombo dola kubaki madatakani na kujaribu kuua upinzani kila unapopata nguvu. Na hapo ndipo...
Kama wananchi wanawachagua wapinzani hafu hao wapinzani wanafika bei kwa nini nichague mtu anayefika bei kirahisi
Mtanzania mwenzangu huu mwaka 2020 Tusirudie kosa tuichagueni CCM kwa 100%
Heshima kwenu wakuu,
Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo siku ya Ijumaa saa 7:00 mchana PCCB House Upanga, ataongea na vyombo vya habari.
Tutatoa updates kwa kila kinachojiri.
====
UPDATES:
Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Takukuru akizungumza...
Sijasikia mbunge yoyote wa viti maalum kutoka CHADEMA au CUF aliyehamia CCM, ndipo sasa najiuliza why?
Yawezekana sijafuatilia vizuri, mwenye pingamizi Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Mbunge wa Tandahimba (CUF), Katani Katani amejiuzulu Ubunge wake na kujiunga CCM ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally aliyepo ziarani Mkoani Mtwara
Bashiru amewasili Mtwara leo kwa ziara ya siku 3 huku akitarajiwa kukagua miradi ya maendeleo ya Wilaya za Mtwara Vijijini...
Kwa mujibu wa mikataba waliyoandikiana ni kwamba uchaguzi ujao hawatabebwa , bali wanapaswa kupigania roho zao wenyewe kwa kupitia kura za maoni ambazo ndio utaratibu wa halali .
Hofu iliyopo ni kwamba watapitishwa na nani kwenye chama ambacho hawana mizizi hata ya size ndogo kama Caroti ama...
Wanabodi,
Kwanza angalieni hii picha
More than 60% of Rwanda’s parliamentarians are women. Photo: Sam Ngendahimana
Nimesoma kwenye Ripoti ya WB, Bunge la Rwanda ndilo Bunge linaloongoza Dunia kwa gender equality baada ya kuwa na asilimia kubwa ya wabunge wanawake kuliko wanaume, wakati Bara...
Ilisikika sauti ya huzuni " Tumechafuka sana, chama kinaugulia majeraha ya uchaguzi wa 2015, na athari za mwenendo wa maamuzi usioridhisha wa Mwenyekiti kwa nafasi yake, majeraha yamezidi na sasa tuchukue hatua kuwarejesha kundini wote bila kujali lawama, Lazima intrest iwe moja ya kukinusuru...
Kwanza kabisa binafsi Sina mapenzi na chama chochote cha siasa Tanzania ila ni mpenzi wa siasa Safi.Tuje kwa hoja niliyouliza hapo juu Kama nikwel wapinzani wanaibiwa kura au Tume ya uchaguzi haitendi haki haya maswali nimejiuliza
Mbowe ameshindaje ubunge wa hai na pia chadema kachukua kata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.