Uchaguzi 2020 Vimbwanga Chaguzi za CCM: Baada ya Rushwa wahamia kwenye uchawi

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,187
2,000
Chama dola kilichoshindwa kudhibiti rushwa hata kwa Wajumbe wake kimeibuka na mpango mkakati mpya wa kupata kura za Wajumbe kwa kutumia ndumba!

Maelezo kamili haya haya kwenye attachment.

Eti ndio CCM wanapiga kelele kudhibiti rushwa, wameshindwa rushwa wamehamia kwenye nyumba baada ya miaka 40!

Sasa wanategemea Rushwa, Polisi, Mahakama, TISS na wakaona haitoshi wakaamua kutumia ndumba.
 

Attachments

  • IMG-20200726-WA0156.jpg
    File size
    52.3 KB
    Views
    0

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
11,606
2,000
Sasa hizo ni harakati za Chama au za mtu ndani ya Chama? Ina maana huna ywezo wa kusoma kuelewa na kutofautisha matukio?
 

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
3,934
2,000
Hahahaha na mkikumbatia rushwa zenu mnaitwaje??
[/QUOT

Mkuu wangu RUSHWA NI ADUI WA HAKI....

CCM ni BAHARI...inakusanya WOTE....

Kaka Rushwa ya Pesa na Ngono Iko KILA mahali katika JAMII ZETU....

Ukiona mpaka mheshimiwa Rais anawasifu TAKUKURU kwa kazi nzuri waifanyao lakini HAPOHAPO anawakosoa kwa mapungufu YAO ujue ni tatizo kubwa......

Kaka RUSHWA haina VYAMA....

Kuna watu maisha ya KUPOKEA na KUTOA RUSHWA ni URAIBU....

Mkuu huko VYUONI kumejaa Rushwa za NGONO....

Mkuu CCM isiwe SCAPEGOAT na PUNCHING BAG ya hizo tabia JINAMIZI....
 

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
8,952
2,000
Kila mtu ana imani kwa kile anachokiamini ila mwenye uwezo na mpangaji wa yote ni mmoja tuu na ndie anayetupa uhai.
Ndio maana kuna wanaotumia imani za asili wameshindwa, na pia wapo wanaotumia imani za mzungu na mu Arab pia washindwa.
 

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,187
2,000
Kila mtu ana imani kwa kile anachokiamini ila mwenye uwezo na mpangaji wa yote ni mmoja tuu na ndie anayetupa uhai.
Ndio maana kuna wanaotumia imani za asili wameshindwa, na pia wapo wanaotumia imani za mzungu na mu Arab pia washindwa.
Sawa Boss!
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,469
2,000
Chama kinaundwa na kitu gani? Nyie ni wala rushwa na Wachawi. Full stop
Inawezekana huyo ndio aliyeangusha huo mzigo.
Hicho chama ni hatari sana, unakumbuka Askofu Kakobe kabla hajawa compromised aliwahi kusema kuna watu wanaongoza chama kiuno ni kizito kwa mahirizi?
Ndipo walianza kumshughulikia maTRA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom