Uchaguzi 2020 Mwenyekiti CCM MARA: Wasaliti na Watoa Rushwa Hawana nafasi ndani ya CCM

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,110
2,736
Akiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM hawana nafasi. Tutapitia mchakato mzima, na hapa mkoani Mara tuna taarifa za waliotoa rushwa. Tutawakata. Narudia, TUTAWAKATA. wasijidanganye kwamba wana vyeo. hivyo vyeo ni via chama dola CCM, na CCM imekataa Rushwa"

Nadhani jiwe limerushwa gizani. Kuna watu litawapata
 
Yuko right
Huwezi kumuamini ng'ombe alie katwa mkia.. Hata mke asie mwaminifu kwenye ndoa. Hafai kuolewa
 
Akiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM hawana nafasi. Tutapitia mchakato mzima, na hapa mkoani Mara tuna taarifa za waliotoa rushwa. Tutawakata. Narudia, TUTAWAKATA. wasijidanganye kwamba wana vyeo. hivyo vyeo ni via chama dola CCM, na CCM imekataa Rushwa"

Nadhani jiwe limerushwa gizani. Kuna watu litawapata
Habari hizi zimfikie yule mkurya anaelewa na kujikojolea huko ukonga dar,mkurya anaekula chips kiepe
 
Akiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM hawana nafasi. Tutapitia mchakato mzima, na hapa mkoani Mara tuna taarifa za waliotoa rushwa. Tutawakata. Narudia, TUTAWAKATA. wasijidanganye kwamba wana vyeo. hivyo vyeo ni via chama dola CCM, na CCM imekataa Rushwa"

Nadhani jiwe limerushwa gizani. Kuna watu litawapata
Huyo namba 3 ana ugomvi binafsi na mtia nia. Hana ubavu wa kumkata maana kapelekwa pale kimkakati
 
Akiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM hawana nafasi. Tutapitia mchakato mzima, na hapa mkoani Mara tuna taarifa za waliotoa rushwa. Tutawakata. Narudia, TUTAWAKATA. wasijidanganye kwamba wana vyeo. hivyo vyeo ni via chama dola CCM, na CCM imekataa Rushwa"

Nadhani jiwe limerushwa gizani. Kuna watu litawapata
Hayupo wa kumshinda Heche zaidi ya Waitara ,pengine Kiboye kachoka kazi ya umwenyekiti na anataka kuhamia upinzani
 
Akiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM hawana nafasi. Tutapitia mchakato mzima, na hapa mkoani Mara tuna taarifa za waliotoa rushwa. Tutawakata. Narudia, TUTAWAKATA. wasijidanganye kwamba wana vyeo. hivyo vyeo ni via chama dola CCM, na CCM imekataa Rushwa"

Nadhani jiwe limerushwa gizani. Kuna watu litawapata
Msimu wa mavuno kwa wajumbe. Wenyewe wanapenda takrima. Huku mitaani wanaonekana wakiwa na furaha sana.
 
Akiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM hawana nafasi. Tutapitia mchakato mzima, na hapa mkoani Mara tuna taarifa za waliotoa rushwa. Tutawakata. Narudia, TUTAWAKATA. wasijidanganye kwamba wana vyeo. hivyo vyeo ni via chama dola CCM, na CCM imekataa Rushwa"

Nadhani jiwe limerushwa gizani. Kuna watu litawapata
Kuongea sio kutenda mbona mwita karudi
 
Waitara ajiandae kwenda kuvuta nyavu za kuvulia samaki pale mwaroni
 
Huyo ndio haswa mlengwa. Kutachimbika. Ila huyo namba tatu hana ubavu wa kukata mtu ni maneno tu yanamtoka baada ya jamaa kupindua meza.
Kumbuka kuwa huyo ndiye mwenyekiti wa chama mkoa wa mara, sauti yake ina uzito kwenye vikao vya chama.
 
Back
Top Bottom