ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mag3

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Ni upi hasa unyeti wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

    Kwa ukumbusho tu: Tuanze kwa kukiri kwamba zilizoungana zilikuwa ni nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar. Tukiri pia kuwa wakati zinaungana tulikuwa na vyama tawala viwili, TANU na Afro-Shirazi Party (ASP) Pia tukumbushane kwamba wakati zinaungana 1964 bado tulikuwa katika mfumo wa vyama vingi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais CCM adhibitiwe kuhusu suala la matumizi ya lugha ya Kisukuma. Mwongozo wa lugha wanaounadi TBC ufuatwe

    TBC katika taarifa yao kwa maelekezo kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa wametoa maangalizo mengi lakini mimi moja ambalo nimeliona kama mgombea Urais kupitia CCM analikiuka sana. Lile tangazo linasema kuwa kama mgombea atakuwa jukwaani anamwaga sera basi atumie lugha ya Kiswahili tu, kama...
  3. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimeshangaa Magufuli kusema ameongeza mishahara kwa watumishi wa Serikali kimya kimya miaka yote mitano

    Akiwa mkoani Mara Mgombea wa CCM Dkt John Magufuli kwenye uzinduzi wa kampeni katika mkoa huo Mgombea amesema kuwa "naskia kuna mtu anasema sijaongeza mshahara watumishi wa umma ,Watumishi wa umma nimewaongezea mshahara kimya kimya " Aliendelea na kusema kuwa ukipandisha madaraja huongezi...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuhamisha Magoli ndiyo mbinu mpya ya CCM

    Anaandika Lord Denning wa JF, Leo nimecheka sana! Kuna clip watu wa CCM wameitengeneza na wanaisambaza ikimuonesha Tundu Lissu akiwa kwenye kampeni akiongelea suala la Bunge na wabunge hawajui bei wala mikataba ya ndege! Kwenye clip hii wana CCM wameunganisha na scene ya Halima Mdee akijadili...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Temeke: Kadawi Lucas Limbu, aliyetia nia kugombea Ubunge wa CHADEMA 2020 ahamia CCM

    Mwaka 2010 alikuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CUF, kutokana na kutofutwa kwa demokrasia, na uchaguzi huu alikuwa mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CHADEMA. Kutokana na kuwa Demokrasia ndani ya Vyama vya Upinzani haipo, leo ameamua kujiunga CCM Amejiunga katika mkutano wa...
  6. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

    Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua kwa ufasaha historia ya nchi anayoingoza na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais wa JMT ndugu Tundu Lissu. Ni wazi kuwa Bw. John Pombe Magufuli...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Kilimanjaro nendeni Dodoma na Mwanza mkajifunze namna ya kushawishi wananchi wahudhurie mikutano yenu

    Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio. Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria...
  8. TandaleOne

    JamiiForums Tanzania GE2020 Takwimu hazidanganyi: CCM wameshashinda Uchaguzi kwa Idadi ya Kura za Kanda ya Ziwa

    Ni kama ambavyo wakati wote nimesisitiza kuwa Uchaguzi ni maarifa, mipango na akili, hakuna kitu kina guarantee ushindi katika mpambano wa kisiasa kama kuchanga karata zako vyema, na kwa kuitazama CCM chama changu, ni wazi kuwa Viongozi wake na Mgombea mwenyewe amejipanga vyema sana. Leo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunaoona mbali tulionya jambo hili halina siha kwa ustawi wa Taifa

    Wadau, Kuna kipindi ambacho Press conference zilifanyika kwa wingi na nyingi zikiwa kuwatangaza watu waliounga mkono Juhudi JUHUDI. Tunasikia (hatuna ushahidi bado) kuwa kuna watu walilipiwa madeni na wengine kuahidiwa vyeo ili waunge mkono juhudi. Halmashauri zilivurugwa, mameya wa majiji...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kura kwa mwananchi ni kuchagua Kiongozi mtenda haki na sio chama. CCM hawatendi haki

    CCM haifai kupewa kura na wananchi,viongozi wa upinzani mujikite kuwaeleza wananchi kuwa CCM imekosa viongozi waadilifu,waambieni kuwa CCM imevamia polisi,majeshi na vyombo vyote vya ulinzai na usalama ikiwemo mahakama. CCM inaingilia uhuru wa vyombo hivyo bila ya aibu mchana kweupe na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini tuichague CCM na Magufuli kwa miaka mitano tena?

    Na: Giantist McWenceslaus Dodoma Ndugu wanabodi habari zenu. Jioni ya Leo nimeona niwaletee kwenu uzi wenye faida kwenu kwa sasa na kwa vizazi vyenu vya baadaye. Napenda nitangulize utambulisho wangu mdogo kwenu. Jina langu nimeshaliandika hapo juu, mimi ni mwanachama kijana wa chama pendwa...
  12. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ni kama Lowassa wa 2015, watu (watoto) wanafurika kwenye mikutano yake lakini hana cha kuwaambia

    Nakumbuka 2015 nilihudhuria mikutano mitatu mikubwa ya Lowassa lakini niliishia kufedheheka sana, Huyu ni Kiongozi ambaye nilimpenda tangu nilipomwona mwaka 1994 akiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, alikuwa mahiri mno katika kuzungumza, haiba ya kuvutia na mvuto wa Ujana na pesa...
  13. Kakke

    JamiiForums Tanzania Hussein Mwinyi na CCM wana faida gani kwa Wazanzibari?

    Viongozi wa CCM Tanganyika walipomchagua Hassan Mwinyi ili aje kuwa Rais wa Zanzibar, miongoni mwa sifa waliziompa ni mtu mpole na mkimya. Lakini hebu tujiulize sisi Wazanzibari huu upole wake utatusaidia nini!? Na huu ukimya wake wa kusema mengine na akayatenda mengine, tutanufaika nini? Yeye...
  14. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaani CCM ni SGR, Ndege na Stieglers. Ndiyo sera yao kila mahali

    Yaani kila mahali wimbo wao Ndege, SGR na STIGLERS kila mahali kwenye mabrasha yao wanatembea na hayo mambo 3. Yaani huwezi kumkuta mtu anaimba nje ya hayo. Hivi hayo mmefanya kwa pesa zenu? Hawa jamaa hawana jipya hadi wanatia huruma. Haya mambo matatu utafikiri ndio ilani yao. Hawana mapya...
  15. Ambokile Amanzi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CCM inasemaje kuhusu Ndege?

    Wale wafuasi wa CCM tunaomba mtuambie, ilani yenu ya chama inasemaje kuhusu ndege! Huwa nasikia sikia tu "ilani ya ccm", lakini binafsi sijawahi hata kuisoma. Huwa naona kama ni kijarida cha kitapeli tu. Tunaomba kufahamu, hiyo ilani yenu inazungumza kuhusu ndege tu kuanzia kurasa ya kwanza...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ester Bulaya aiua CCM Bunda kifo cha kikatili mno. Uzinduzi wa kampeni wadhihirisha

    Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
  17. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hadi sasa kimkakati CHADEMA wameizidi CCM

    Uchaguzi ni takwimu, mikakati na mipango ambayo inaonekana wazi kwa macho na isiyoonekana. Kwa inayoonekana ni wazi kuwa.... Pamoja na CCM kuwa na kila kitu kinachotakiwa kwenye kampeni, magari, viwanja, pesa you name it, lkn haina tofauti kubwa na Chadema inayotumia resources chache ilizonazo...
  18. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM ya Magufuli wanaweweseka kitu gani ilhali miaka yote 5 nchi ilikuwa yao?

    Kampeni za uchaguzi wa octoba 2020 zinachangamsha sana. Pamoja na CCM na serikali ya Magufuli kuzuia na kupiga marufuku mikutano ya upinzani tangia 2016 ili kufifisha nguvu ya upinzani mambo ni kinyume kabisa. CCM na jiwe kwa akili za kitoto walifikiri wakifanya hivo uchaguzi wa 2020 watarudi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Polepole atangaza CCM kusimamia matibabu ya Wasanii waliopata ajali

    Chama cha Mapinduzi kimesema kuwa kinafuatilia kwa ukaribu na kuhakikisha wasanii watatu ambao ni Luludiva, Belle9 na Bonge la Nyau ambao wamepata ajali hii leo wakati wakitokea mkoani Iringa wanapata matibabu haraka. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho. Humphrey Polepole kupitia ukurasa...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya miaka mitano ya CCM, wateule wa Rais Magufuli hawatatui kero za Wananchi. Hapa tatizo lipo wapi?

    Mimi Idugunde huwa sipendi unafiki hata kidogo. Ni kweli CCM imefanya makubwa kipindi hili cha awamu ya kwanza ya uongozi wa JPM. Lakini kuna kasoro moja kubwa sana imejitokeza kwenye utawala wa huu. Maana kila anapofanya ziara zake Rais Magufuli huwa anakutana na watu ambao wana kero ambazo...
Back
Top Bottom