ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya upinzani vijifunze ujazaji fomu kwa wagombea wao kutoka CCM

    Najua ni ujinga na upuuzi kwa NEC kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani kwa makosa madogo madogo katika ujazaji wa form. Lakini pamoja na hilo, vyama vyote vya upinzani vinalo la kujifunza hapa. Unaweza kujiuliza, mbona wagombea wengi wa CCM form zao hazina matatizo? Iko hivi; - Baada tu ya...
  2. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Je, wasanii Watanzania wanaipenda CCM au ni njaa inawasumbua?

    Wasalaam, Kuna mambo mengine yanahitaji kufikiri kwa upana hasa kipindi hiki tunapoelelea katika uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Nimefatilia uzinduzi wa kampeni za CCM pale uwanja wa Jamhuri Dodoma, nimeangalia nyuso za wasanii waliotumbuiza katika tamasha lile la CCM na kuona wengi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hii nguvu ya Umma waliyonayo wapinzani imetokana na upinzani au inaletwa na CCM?

    Uwezi kuwa chama tawala ukashindwa kutawala kwa nguvu ya umma na nguvu ya hoja. Zipo nguvu tatu muhimu na za msingi katika utawala wa kisiasa ambazo ni 1. Nguvu ya umma- Hii utokana na namna mwanasiasa anavyokubalika na makundi mbalimbali ya jamii anayotaka kuiongoza. Nguvu ya umma udhihirika...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hebu tutafakari sera zinavyonadiwa na mgombea wa CCM John Magufuli na yule wa CHADEMA Tundu Lissu

    Hakuna mashaka yoyote kuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mchuano mkali sana wa kinyang'anyiro hicho cha urais utakuwa baina ya vyama viwili ambavyo ni CCM na CHADEMA. Kwa maana hiyo ni lazima sisi wananchi tufuatilie kwa makini sana, kwa wagombea wa Urais wa vyama hivyo viwili vikuu, pale...
  5. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Upinzani ni CCM kuwa imara tena chini ya Mzalendo Mwenyekiti Magufuli

    Hizi hasira za upinzani za kuhisi wanaonewa ni hofu inayowaumiza kisaikolojia juu ya kupuuzwa na Watanzania Kabla ya Rais Magufuli,Wanaccm walikuwa wanaona aibu kuvaa nguo za chama,na kuna Sehemu walikuwa wakitupiwa makopo wakikatiza mtaani Wanaccm walificha sare zao ndani kutokana na masuala...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Pambalu ni nani, ametumia mbinu gani kuua CCM Mwanza?

    Huyu kijana ni kama amemaliza kazi ya kuiteketeza CCM Mwanza lakini amepata wapi uwezo huu?
  7. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Naombeni tuchangie kampeni za CHADEMA kwa sababu tumeshachangia za CCM kupitia kodi zetu

    Nawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA. Nawaombeni msishangae kwa hilo kwa sababu tayari fedha zote za kampeni za CCM ni michango yetu sisi wananchi kupitia kodi zetu. CHADEMA wana sera nzuri sana kama tulivyozisikia hapo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huku ni kupuuza vilio na malalamiko ya watanzania. Nini anataka huyu mgombea urais wa CCM?

    Watanzania wanataka ;- Hali bora za maisha. Ajira Biashara zao zifufuke na kukua Mzunguko wa fedha uwe mzuri Uhuru na haki vitamalaki. Sasa huyu mgombea pamoja na kwamba watanzania wanapiga kelele kuwa madege aliyo yanunua kwa fedha taslimu yanatufilisi na hayafanyi biashara yoyote bado...
  9. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA inahitaji kuwezeshwa kifedha maana tofauti na CCM inayotumia rasilimali za Serikali kufanya kampeni haina pa kushika

    Nimeona wachache wakibeza CHADEMA kuchangisha fedha kwenye mikutano yake ya kampeni sidhani ikiwa wako makini. Ila ukweli ni kwamba watu wote wanaopenda mabadiliko ya kweli ambayo kwa hakika kwa kipindi hiki anayeweza kuyaleta ni Tundu Lissu pekee. Wala siyo Magufuli kwa maana tumekwisha muona...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi za mgombea wa urais CCM nyingine ni za majukwaani tu. Watanzania muwe makini

    Mnaikumbuka ahadi hii ya 2015???
  11. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 CUF - Chama cha Wananchi: Uzinduzi mkubwa wa kuchangia CUF, kuchangia ushindi kufanyika kesho Jumamosi ofisi kuu ya chama Buguruni

    Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Cuf-chama cha wananchi Usilalamike, chukua hatua. Changia CUF, changia ushindi Uzinduzi wa michango ya wananchi kwa chama chao utafanyika jumamosi ya tarehe 29/08/2020 ofisi kuu buguruni kuanzia saa 4.00 asubuhi Mgeni rasmi: mgombea urais wa tanzania Prof...
  12. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Job Ndugai asema CCM inahitaji 2/3 ya wabunge ili tuamue chochote kinacholetwa na Serikali

    "Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai. #UzinduziKampeniCCM...
  13. demigod

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuenguliwa kwa baadhi ya upinzani ni mkakati wa CCM kupunguza idadi ya kura za Tundu Lissu

    Wanajamvi. Tukijaribu kwa kina kutafakari njama kuu ya kuengua wagombea wa ubunge wa majimbo yaliyo mengi ni moja ya mkakati wa kuhakikisha unalenga kupunguza idadi ya kura atakazo pata Tundu Lissu. CCM wamegundua kuwa idadi ya wapiga kura walio wengi watakaokwenda kwenye sanduku la kura...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Njombe Mjini; Emmanuel Masonga amuwekea pingamizi Deodatus Mwanyika baada ya kukiri kosa la jinai

    Emmanuel Masonga(CHADEMA) amuwekea Deodatus Mwanyika(CCM) pingamizi kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million. Deodatus Mwanyika mgombea wa ubunge Jimbo la Njombe Mjini
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bila kufumbua haya CCM, kampeni mnapoteza muda

    Moja kwa moja kwenye mada. Hii ni kukupeni taarifa kabla ya habari. Kemeeni engua engua za wagombea. Msijitenge na kilio hiki ambacho hakuna asiyeona rafu hizi za wazi. Upuuzi wa kufanikisha kuwapitisha kina kawudi bila kupingwa haukubaliki. La zaidi kabisa, kama mgombea wenu si: ushauri...
  16. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania CCM na Mifumo ndiyo tatizo kubwa Nchi hii. Wanatupeleka siko

    Haiwezekani uengue wagombea wa chama kimoja chenye nguvu 16 kati ya 18 katika kisiwa kizima, huu ni uhujumu wa wazi wazi unaominya haki za watu kuchagua. Haiwezi kuondoa wagombea udiwani zaidi ya 600 nchi nzima kama kweli unalitakia taifa hili amani. CCM kwakua Mwenyekiti wao wa taifa ndiye...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    Leo chama tawala (CCM) kinafungua kampeni zake uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuomba ridhaa ya wananchi kurejea kwenye utawala baada ya ngwe ya kwanza ya miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano kuisha. Dkt. John Magufuli Rais anayemaliza awamu yake ya kwanza amepewa ridhaa ya chama hicho...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wagombea wa CCM Pemba wana haya ya kunena

    Kwa maandishi wamejibu hawakumuekea pingamizi mgombea yeyote yule wa ACT wazalendo,huo au hayo yaliyojiri ni mzigo wao tume ya Taifa ya uchaguzi na sio wagombea wa CCM. Sasa ninaloliona ni CCM kukimbia mauti maana Pemba hawacheki na mtu katika kutafuta haki yao,hawaogopi kauli za Tanzania ni...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka uwanja wa Jamhuri Dodoma CCM inaenda kuweka mustakabali wa Taifa

    CCM OYEEEEEEE! Kwa mara ya kwanza tangu Taifa letu liwe huru tunaenda kushuhudia chama tawala kikienda kuweka historia mpya kama ilivyo hulka yake kwa kuzindua kampeni za uchaguzi kwa namna ya kipekee katika makao makuu ya nchi DODOMA. Haijawahi kutokea kwa Chama chochote kufanya kampeni ya...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mnatia aibu kwa kulazimisha ushindi wa mapingamizi

    Baada ya majina ya wagombea kupitishwa, sasa umezuka mtindo wa kila jimbo, kila kata kulazimisha mapingamizi ili wagombea wa CCM wapite bila kupingwa. Huu ni uzembe na uhayawani wa chama kikongwe. Miaka zaidi ya 50 bado CCM mnawaza kukataa kushindana! Kuna majimbo yalishatangaza wagombea, rasmi...
Back
Top Bottom