Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Rais Magufuli leo akiwa mkoani Mara amezungumzia kuhusu sera ya kutoa Bima ya afya kwa watanzania wote.
Ahadi hiyo ameitoa leo kwenye kampeni zake huko musoma mjini.
Kuthibitisha kuwa sera hiyo ni yake amesoma Ilani ya ccm ya uchaguzi 2020 katika ukurasa wa 139 kipengele "e".
Amesema ahadi hii...
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.
Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
askari
ccm
kauli
kinywa
kuhusu
lissu
lisu
maana
mama samia
nani
rais
rais samia
risasi
samia
samia suluhu hassan
serikali
tanzania
tundu
tundu lissu
tundu lisu
video
Tundu Lissu,mbali na serikali hii kushindwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kama sheria inavyotaka,lakini pia imeshindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma licha ya watumishi kutakiwa kujaza form za madai ya malimbikizo yao mara kwa mara.
Kwa wasiolewa,wako baadhi ya...
Kiukweli nafuatilia kwa makini kampeni za chama tawala CCM mgombea urais na wagombea ubunge wameonyesha umahiri mkubwa.
Ni dhahiri mwezi November tunaweza kupata Baraza la Mawaziri jipya kabisa kwani hili ingizo jipya siyo mchezo.
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Kusema kweli mgombea urais wa CCM na mgombea mwenza naona wanakoelekea siko, busara zinawatoka kwa kasi ya ajabu. Wameanza kutoa kauli za kuudhi tena zenye kiwango cha juu mno.
Kitendo cha mgombea urais wa CCM wa JMT kutoa kejeli kwenye majimbo ambayo yaliongozwa na upinzani ni cha hovyo...
Miaka mitano CCM iliangaika na wagombea na viongoz wa upinzani nakusau kwamba uchaguzi unategemea kura za wananchi kuliko kura za viongozi.
Baada ya miaka mitano Leo majimboni kumedoda hakuna kipeperushi wa hamasa ya kampeni na hata wale walionunuliwa nao nguvu ya kuzunguka kukinadi chama...
Nimekutana na hii barua kwa tweet ya Halima Mdee nimeshangaa kumbe hii nchi siyo huru hata kidogo! Na usipoenda utafukuzwa kazi ama? Maana sijaelewa mantiki yake hata kidogo
Tena mnagawana kabisa kuwa wewe ni lazima uwe eneo fulani!
Sasa ni rasmi, ubwabwa kutolewa wakati wa kampeni ni rushwa kwa wapiga kura.
TAKUKURU imetamka rasmi kuwa kuwapa watu ubwabwa, wale wanaovutwa kuja kwenye kampeni za Hashim Rungwe, ni moja ya rushwa ili kupata kura.
Wengi tumeandika mitandaoni kuwa huyu Rungwe anatuchukuliaje Watanzania?
Are...
Inafahamika kuwa Viajana wa CCM ndio vijana wenye upeo mdogo Sana wa kufikiri katika mambo muhimu yanayohusu nchi na Dunia.
Vijana Hawa Ni tofauti na vijana wa nchi nyingine Hapa Afrika na Duniani.
Wakati vijana wa vyama vya Upinzani na wa nchi nyingine huwa wanauchungu wa kweli wa nchi zao...
Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya...
Naomba nikiri nimefurahi sana kusikia umeeleza ni namna gani wabunge wa CCM wamepitisha sheria zinazotuumiza wananchi.
Kwanini nimefurahi sana?
Sababu kubwa ni hii,baadhi ya watanzania wenzetu wanaanza kusahau tabia za wabunge wa CCM na kuwa tayari kuwachagua kisa ni matajiri,watu maarufu,wana...
Naweza sema CCM ya leo inaangamia kutokana na watu wake ama kukosa maarifa,au kutokana na wao kukataa tamaa na sasa wanaamua waende tu hivyo hivyo ili mradi tu bado wana dola mkononi.
Kwa maneno mengine,kipimo cha namna gani mambo yao yanaenda vizuru sio tena ni namna gani wanakubalika kwa...
Ni kiongozi wa Jeshi Polisi aliyekosa weledi na asiye na uwezo wa kuona chanzo cha matatizo ya uchaguzi, intelijensia yake ni sifuri kabisa.
Pamoja na kufahamika wazi kabisa kwamba chanzo cha matatizo ya kisiasa ya Pemba na maeneo mengine nchi nzima ni uhuni wa Tume ya uchaguzi kupitia...
Wakuu Heshima Kwenu.
Kwa hali ya siasa na kampeni zinavyoendelea ni wazi kabisa CCM itashinda kwa kishindo, kwa CCM mpya chini ya Dkt Magufuli CCM imesukwa vya kutosha iko imara na kwa uchaguzi huu CCM itashinda kwa kishindo zipo sababu kadhaa zitakazopelekea CCM kushinda kwa kishindo...
TATIZO LA TANZANIA "Standing Order" zote za Majeshi na Utumishi wa Umma zinawataka kuwa wanachama wa CCM tu.
1. Hili ndilo limeniondoa Utumishi wa Umma na ndio sababu WATUMISHI wa Umma wameniwekea Vikwazo vya Kijinga kwa masilahi ya kijinga Sana.
2. Mtumishi lazima uisapoti CCM kwa Kanuni hiyo...
Mhe. Kikwete alikuwa sahihi kukata jina la Membe 2015 kuwa mgombea urais kupitia CCM kwa kweli hana ushawishi wala mvuto wowote kwa watanzania, Kama kikwete angefanya kosa la kumpitisha huyu mtu 2015 Kisha apambane na Lowasa leo tungekuwa tunazungumza Lugha nyingine kabisa kwenye siasa za...
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
Ndugu Watanzania wenzangu.
Kipekee napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuiona tena siku ya leo.
Baada ya kuangalia na kutathimini mwenendo wa kampeni zinazoendelea kwenye vyama vyote, huku nikirejea kampeni za 2015, ni dhahiri kuwa uchaguzi wa mwaka huu, 2020, Chama Cha Mapinduzi...
Aliyevaa koti ni Azizi Hamid Mahmoud, mtoto wa Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC)
Huyu Azizi ambaye ni Mwanasheria, ndiye mshauri wa kisheria wa Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM.
Inasemwa kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.