Wasalaam, hii Ni alert kuwakumbusha CCM
MWAKA HUU NI MGUMU SANA KWA CCM KULIKO CHAGUZI ZA MIAKA YA NYUMA
KWAMBA, Kuna tofauti kubwa ya wanachama wa ccm na wananchi wapiga kura, ccm sehemu kubwa inashabikiwa na wanachama wa ccm walioko sehemu mbalimbali, ila wananchi wapiga kura wako zao kimya...