ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kufutwa mbio za Mwenge mwanzo wa anguko la CCM

    Tangu enzi za Mwl. Nyerere hadi utawala wa Rais Magufuli Mwenge umekuwa ukikimbizwa maeneo yote ya Tanganyika na Zanzibar. Mbio za Mwenge ni ibada kama zilivyo ibada za imani nyingine. Unaposhiriki mbio za Mwenge unafanya Ibada usiniulize kama ni sahihi au batili inategemea mtazamo wako...
  2. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuungane kwa umoja wetu kama Taifa tuikatae CCM, miaka 59 imetosha

    Wasalaam, CCM imetuongoza watanganyika kwa takribani miaka 59 na kuongeza umasikini miongoni mwetu. CCM imepoteza dira hakuna Sera au mawazo mbadala inafaa sasa ipumzike sababu za kuipumzisha ni hizi; 1. Rushwa (wajumbeee) 2. Umasikini wa kutupa (wanyonge) 3. Maslahi duni kwa Watumishi wa Umma...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CCM "wakiharibu" wimbo wa Taifa: Jicho la Mutungi lina makengeza?

    Katibu Mkuu wa BAVICHA Nusrat Hanje na mratibu wa uhamasishaji taifa Twaha Mwaipaya wapo gerezani yapata mwezi sasa kwa kile kinachodaiwa kuuharibu wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake". Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi nae kakipa onyo Chadema kwamba...
  4. Mmexico

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuhuma za rushwa Dkt. Mwanjelwa zimekiaibisha chama

    Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo. Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora. Naamini...
  5. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni kwanini upinzani utashindwa vibaya na CCM Itashinda kwa kishindo?

    Awali ya yote, napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza ndugu Bernard Camilius Membe na ndugu wakili msomi Tundu Antipas Lissu kwa kuaminiwa na kuteuliwa kupeperusha bendera za vyama vyao katika kinyang'anyiro cha urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, 2020. Ni rasmi sasa watachuana...
  6. T

    JamiiForums Tanzania CCM inaenda kuondolewa na watumishi wa Umma, Wahitimu wa Vyuo, Wakulima na wafanyabiashara

    Watumishi wa umma hawajapata nyongeza ya mishahara kwa miaka mitano, kupanda madaraja na vyeo ni ndoto, uhamisho wa kubadilishana ni hadithi Wahitimu wengi sana wa vyuo hawana ajira tangu 2015 mpaka sasa, ajira ya moja kwa moja ilikoma Mei 01, 2015 enzi za Jakaya. Wakulima wanadhulumiwa mazao...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kilio Cha Walimu Wasio na Ajira chasikika: Serikali yajipanga kuajiri walimu mwezi huu

    Habari wanaJF, kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mimi ni mwana CCM ila safari hii, kura yangu tu naihamisha

    Nitabakia CCM ila mwaka huu naamua kufanya maamuzi magumu. Kura yangu nitaipeleka kwa mtu mwengine, mbunge mwengine, simupi mugombea yeyote wa CCM, yaani ni maamuzi ambayo ninataka kuona kama tukishindwa itakuwaje, hao watakao shika uongozi watatufanyia nini, kama ni moto au pepo. Nione...
  10. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Meatu litaenda CHADEMA iwapo CC ya CCM itafanya figisu kwenye uteuzi

    Wasalaam, Kuna majimbo ambayo ni wazi yataenda upinzani hasa CHADEMA iwapo CC ya CCM haitotenda haki. Mathalani jimbo la Meatu lilipo wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu. Jimbo hili lilikuwa chini ya CCM likiwakilishwa na Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo. Kwa wasiomfahamu Jambo ndiye mmiliki wa...
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Inawezekanaje miundo mbinu iliyojengwa na pesa za watanzania wote, ionekane kuwa imejengwa na CCM pekee?

    Turufu kubwa inayotumiwa na wanaCCM, ili Rais Magufuli apewe tena miaka mingine 5 ya kutawala nchi hii, ni kuwa Rais huyo amejenga reli ya SGR, amejenga mafly overs, amejenga mabarabara ya lami, anajenga bwawa la umeme katika mto wa Rufiji Nimekuwa nikijiuliza ni kwanini juhudi zinazofanywa na...
  12. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania CCM na Magufuli mmejiandaa kisaikolojia kukabidhi nchi kwa mshindi au mtalazimisha mtolewe kwa "crane?"

    Kuna kila dalili za wazi kabisa kabisa kuwa Oktoba 28, 2020 itaandikwa historia mpya ya taifa la Tanzania.... Naiogopa sana CCM ya Magufuli ambayo inajiapiza kila iitwapo leo kuwa watashinda tu uchaguzi wa mwaka huu bila kujali lolote.... Kwangu mimi, this time naiona hii ni kauli inayotoka...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe kwa CCM: CHADEMA wanajua wanachokitaka na wanajua jinsi ya kupata wanachokitaka

    Kwa maneno yao, wameonewa kiasi cha kutosha, wamefungwa kiasi cha kutosha, wamepigwa risasi kiasi cha kutosha. Wako tayari kuingia barabarani watakapo dhurumiwa kura. Sasa basi. Imetosha.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ama kweli akutukanae huwa hakuchagulii Tusi, ila pongezi sana Kamati ya Roho Mbaya ya CCM huko Kigamboni

    "Asilimia 70 ya huu mkoa ni wambea, na wanapenda umbea kuliko chochote kile, msikubali wakawatenganisha wewe na RAS wako..wanapiga majungu sana hawa msiwaone hivi, wanamjua mtu kuliko anavyojijua yeye". Aliyekuwa RC Dar es Salaam-Paul Makonda ITV Tanzania. Kwa bahati mbaya siishi Tanzania je...
  15. K

    JamiiForums Tanzania CCM wazalendo, mwambieni Rais Magufuli arekebishe haya mapungufu

    Tunaendelea kukumbushana wajibu wetu kwa mustakbali wa taifa. Kila kwenye mazuri na mapungufu hayakosi. Leo tena ninawaomba wale wazalendo wa kweli ndani yaCCM wafuate nyayo za hivi karibuni za Mstaafu JK. Jaribuni kutumia fursa kumwambia ukweli Rais JPM. Kwanza mtangulize nia njema na muwe...
  16. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hofu kubwa kwa wana CCM juu ya Lissu, wanafahamu wazi kabisa Lissu sio kondoo kama Lowassa

    WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume CCM, CCMnawatahadharisha Lissu siyo kondoo kamaa mzee Lowassa anajua namna yakudai haki yake Uongozi...
  17. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Mwenzetu alilipia ukumbi wa kura za Maoni akashinda

    Baadhi ya wagombea Ubunge wa Kura za Maoni CCM katika jimbo la Arusha mjini wamefichua mazito siri ya Ushindi wa mgombea mwenzao Mrisho Gambo aliyepata kura 333 na kufuatiwa na Philemon Mollel aliyepata kura 68 kuwa alilipia ukumbi wa uchaguzi na kulala katika hotel ya Mt.Meru karibu na ukumbi...
  18. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Hali halisi: CCM ni sawa na wakoloni ila wao ni weusi

    Wasalaam, naongea ukweli umasikini wetu watanzania umetengenezwa na CCM kwa maslahi ya kakikundi ndani ya jamhuri ya muungano kamajiita CCM. Nasema haya maana tangu Uhuru tumetawaliwa na CCM kwa maslahi ya CCM. Kwanini nasema tunatawaliwa na CCM? Ni kwa sababu mpaka Leo watanzania hatuna Uhuru...
  19. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

    Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa. Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu vs Nyalandu ni sawa na CHADEMA vs CCM masikioni mwangu

    HUwa naamini, kipimo cha mtu kutoka CCM kuja Upinzani na kuaminiwa kuwa ameachana na CCM lazima afanye mambo mawili. 1: Akae upinzani angalau kwa awamu mbili bila kuonyesha uswahiba wowote na CCM. 2: Angalau atuambie madudu ya CCM ambayo sisi huwa tunahisi tu ila yeye kwa sababu ni insider...
Back
Top Bottom