ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Freddie Matuja

    Ubunge wa CCM ni "FURSA ya Kutoka" kuwa Waziri, Kupata Ajira ya miaka 5 au mengine mengine

    Rais Magufuli anamaliza ungwe yake ya kwanza ya miaka 5 na sasa anakwenda ungwe ya pili 2020-25. Bila shaka atashinda kwa maana wapinzani wake wana hoja dhaifu na maandalizi yao ni muda mfupi kiasi ambacho wanakosa muda na agenda ya kupindua meza ya kifikra ili kuchukua Urais. Ila hoja yangu...
  2. Suley2019

    GE2020 Mtangazaji Jacob Tesha atinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini

    Mgombea Jacob Tesha akipokea fomu za kugombea ubunge kutoka kwa Kaimu Katibu wa CCM, Wilaya ya Moshi Ndugu Nada Orry. Mtangazaji na Mwandishi wa Habari nguli nchini Ndugu Jacob Tesha leo ametinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini. Mgombea...
  3. mwanamwana

    GE2020 Mwita Waitara achukua fomu kuomba ridhaa CCM kuwania Ubunge Tarime Vijijini

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amechukua fomu kuomba Chama Cha Mapinduzi- CCM kimpitishe kuwania Ubunge Tarime Vijijini Mkoa wa Mara. Mwita Waitara 2015 alikuwa Mbunge wa Ukonga kupitia CHADEMA kabla ya kuhamia CCM na kutetea kiti chake...
  4. A

    GE2020 Ndugu Emmanuel Kwayu, ajitosa Ubunge Jimbo la Hai kupitia CCM

    Ndugu EMMANUEL KWAYU, mkurugenzi mkuu wa kampuni ya dolphin sea and air amejitosa kugombea ubunge jimbo la Hai kupitia chama cha mapinduzi. Jimbo hilo lilikuwa likishikiliwa na mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe.
  5. J

    GE2020 Kangi Lugola achukua fomu za ubunge jimbo la Mwibara kupitia CCM

    Hatimaye mkongwe Kangi Lugola amechukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Mwibara kwa tiketi ya CCM. ======= Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amejitokeza mapema leo katika ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bunda kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika...
  6. mwanamwana

    GE2020 Wakili Albert Msando achukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM

    Msando amewashukuru wote ambao wamempa moyo na kumtakia kheri, ''safari hii inapaswa kuwa ya pamoja” Pia soma - Je, Wakili Albert Msando anafaa ubunge wa Arusha Mjini? - Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru
  7. macho_mdiliko

    Siri yafichuka: Katibu Mkuu CCM Taifa, Dkt. Bashiru alitaka kujiuzulu baada ya kutoelewana na Mwenyekiti wa CCM

    Wanabodi salama? Kumbe yanayoendelea nyuma ya pazia ndani ya CCM ni makubwa na yanaogofya. Kumbe hata Dkt. Bashiru yalishamshinda kufanya kazi na Magufuli na alitaka kujiuzulu? Huu uchaguzi una mengi yaliyojificha nyuma ya pazia na ambayo yanaweza kuwashangaza watu matokeo yakitoka. Kama una...
  8. mwanamwana

    GE2020 Producer mkongwe Master Jay achukua fomu ya kutia nia Ubunge Rombo kwa tiketi ya CCM

    Producer Mkongwe wa Muziki Joachim Marunda Kimaryo maarufu kama ‘Master Jay’ tayari amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo kupitia CCM
  9. J

    GE2020 Dkt. Mwinyi: Wajumbe wa Zanzibar waliotupigia kura ni 68 hata kama ni kweli wenzangu walipata 35 basi na mimi nilipata 33

    Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dr Mwinyi amesema wajumbe wa Zanzibar waliowapigia kura walikuwa 68 na siyo 35 kama inavyovumishwa. Mwinyi amesema hata kama ni kweli wenzake hawakupigiwa kura na wajumbe wa bara kitu ambacho hakiamini, bado yeye naye atakuwa amepata kura 33 kutoka...
  10. Suley2019

    GE2020 Babu Tale achukua fomu ya kuwania Ubunge kupitia CCM katika jimbo la Morogoro

    Meneja wa Diamond na WCB, Babu Tale mapema leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Morogoro Vijijini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.
  11. F

    Haya yalisababisha nikaichukia CCM lakini upinzani umeniangusha

    Nakumbuka nilianza kupiga kura kwa mara ya kwanza mwaka 1990, nikiri pia mwaka huo nilikuwa sijafikisha umri halisi wa kupiga kura lakini mwalimu mkuu wa shule niliyokuwa nikisoma alituandikisha wanafunzi wote tuliokuwa darasa la saba ili tupige kura kumsaidia aliyekuwa mgombea ubunge wilaya ya...
  12. Chachu Ombara

    GE2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Charles Kimei amefika katika ofisi za CCM Kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Vunjo. Pia soma> Uchaguzi 2020 - Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo
  13. mwanamwana

    GE2020 Profesa Kitila Mkumbo achukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kumteua kugombea Ubunge Ubungo

    Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue ili aweze kugombea Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia CCM.
  14. S

    GE2020 Chonde chonde Watanzania,msisahau mwenendo wa wabunge wa CCM wawapo Bungeni na hatari ya kuwarudisha tena Bungeni kwa wingi

    Nawakumbusha watanzania kuwa ni wabunge wa CCM ndio waliopitisha sheria zote katili na kandamiza kama zile za makato ya Bodi ya Mikopo,Sheria ya kuunganisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na Sheria ya kikokotoo kipya kilichozua malalamiko makubwa kutoka kwa umma. Nilisema jana katika mada yangu...
  15. T

    Na CCM yangu tulivyofanya kufuru Dodoma kuanzia Tar 09 hadi 12 Julai, 2020

    Ndugu yangu aliyeshiriki vikao vya Chama changu Dodoma akitokea Shinyanga ametamba kwa majidai ya KiSukuma kuwa CCM walifanya kweli Dodoma. Walianza na kuwaita wafanyabisahara wote wa Hoteli na Loji wakaamrisha kuwa kuanzia Tarehe 10 hadi 12 Julai vyumba vyote vya Hoteli na Loji zao wasipokee...
  16. J

    GE2020 Ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni watu wamepanga foleni ndefu wakisubiri kuchukua fomu

    Kumekucha tena. Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo. Ngoja nijaribu kupiga kapicha niwatupie hapa. Maendeleo hayana vyama!
  17. Chachu Ombara

    GE2020 Aloyce Tendewa ambaye alikuwa Mlinzi wa Mwl. Nyerere na Lowassa achukua fomu ya Ubunge Kilombero

    Aliyekuwa Mlinzi wa zamani wa Baba wa Taifa ambaye pia alikuwa Mlinzi Mkuu wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Aloyce Tendewa amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kilombero kwa tiketi ya CCM Pia soma Aloyce Tendewa; Shujaa wa taifa, mlinzi wa zamani wa Nyerere na Lowassa Mlinzi wa...
  18. Subira the princess

    Hayati Mwl. Nyerere: Upinzani wa kweli utatoka CCM

    Wasalaam, kwa jinsi siasa za Tanzania zilipo hivi ni dhahiri maneno ya baba wa taifa yatamia. Tunakumbuka mwaka 2015 Mh lowassa aliitisa CCM na kusababisha wapinzani kupata idadi kubwa ya wabunge tangu kuanzishwa vyama vingi 1992. Kwa jinsi upepo wa kisiasa ulivyo 2020 ni wazi Mh Membe...
  19. S

    Wapinzani wakumbusheni Watanzania madhara ya wabunge wa CCM yakiwemo kubariki (makato makubwa ya Bodi ya Mikopo, kuunganisha Mifuko, kikokotoo kipya)

    Wapinzani na wadau wengine kwa ujumla,wakati tunaelekea katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa Raisi wabunge na madiwani,ni vyema mkawakumbusha watanzania madhara ya kuwa na wabunge wengi wa CCM Bungeni hasa ikitokea CCM inaridu tena madarakani Watanzania(baadhi yetu) tunakuwa wapesi...
  20. Econometrician

    Uongozi wa CCM rudisheni utaratibu wa awali wa namna ya kumpata Mbunge, wapatikane 3 kisha ndio wapigiwe kura za maoni. Hili la Kawe ni somo tosha

    Uongozi wa CCM muda bado mnaweza kufanya mabadiliko rudusheni utaratibu wa zamani ili kumpata mbunge bora, ule utaratibu wa mwanzo wa watu kupimwa kwanza na Kamati husika kabla ya kura za maoni ndio unafaa kisha zipatikane 3 bora zikapigiwe kura za maoni na Wajumbe wa Halmashauri ya Jimbo...
Back
Top Bottom