ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lissu umekuwa tishio kwa CCM?

    CCM + JPM imekaa miaka mitano ikifanya siasa, na haikutosha wakajenga mabarabara, wakanunua mandege, wakafanya kila aina ya kitu huku Lissu akiwa Belgium akiwekewa vyuma lakini cha ajabu wanamuogopa mtu wa aina hiyo. Mimi ningeshauri CHADEMA tungefungua account kwenye mitandao ya Youtube...
  2. Chipoku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya siasa CCM Mkoa wa Dar, acheni maamuzi ya kuangamiza chama jimbo la Ukonga, mnadhalilisha chama na Uongozi wa juu kwa rushwa!

    Habari wana JF! Ni dhahili kuwa 2020 rushwa ni kigezo kikuu cha kukubalika katika mchakato wa kupata wagombea wa ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (ccm)! Na hili limelalamikiwa na tumelilalamikia tangu mchakato haujaanza , Ila penye udhia penyeza rupia ndio staili. Mwenyekiti wetu mh...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nawashauri CHADEMA wamtulize kwa sasa Tundu Lissu aache kufanya mashambulizi makali kwa Rais Magufuli

    Tundu Lissu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa...
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea wa CCM "apigwa kipapai" akiwa Jukwaani. Point zayeyuka

    Huyu Binti nadhani naangalia sura za Wajumbe akakumbuka kuwa hapa deni halitalipika na kazi hana tena! Kajikuta akili imegoma, sasa hawa ndio watu wa kwenda kushindana na akina Heche eti CCM acheni masiala aiseeee. Mtu anashindwa kujieleza mbele ya Wajumbe si ndio ataishia kupiga makofi tu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Sina shaka CCM watafanya kampeni za matusi na kashfa kama 2015. Je, Tundu Lissu ajibu mapigo? Je, vyombo vitakaa pembeni au vitapendelea CCM?

    Uwezekano wa ccm na Jpm kufanya kampeni za MATUSI na KASHFA ni 99%. Kwanza, wameshaonja mafanikio ya kampeni za namna hiyo kwa kumshambulia na kumkashifu Lowassa mwanzo mwisho mwaka 2015. Bahati nzuri ni kwamba Lowassa hakuwa ktk hali ya kuweza kujibu matusi hayo, au hata kufanya kampeni za...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Ni rahisi zaidi kwa CCM kuachana na Rushwa kuliko wapinzani kuweka mgombea mmoja kwa Rais na Mbunge

    Pamoja na ukweli kwamba kwa upande wa CCM rushwa kwenye Uchaguzi ni sawa na sukari kwenye chai maana uchaguzi " haunogi" bila rushwa lakini wakithubutu wanaweza kuishinda Lakini vyama vya upinzani kushirikiana kwa kusimamisha mgombea mmoja kwa nafasi ya Rais na Mbunge ni kama vile ni jambo la...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM inapaswa kumhofia Prof. Lipumba siyo Tundu Lissu

    Huo ni mtazamo wangu. Watanzania wa leo wana uwezo wa kuchanganua mambo yanayotoka kwenye vinywa vya wanasiasa wakilinganisha na data/ takwimu halisi. Kama CCM inafikiria kumuhofia mtu basi mtu huyo awe Prof Lipumba siyo Tundu Antipas Lisu. Tunaiona Caanan ng'ambo Mussa tuvushe!
  8. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawamchukii Magufuli, wanaichukia CCM kwa sababu ya rushwa kukithiri

    Chama changu kinachukiwa na wananchi kutokana na kukithiri kwa vitendo vya rushwa kukithiri. Wananchi wanahisi kubadili chama huenda ndio suluhisho la maisha bora kwao. Pamoja na ukali wa Mwenyekiti wetu wa chama taifa kuhusu Rushwa, lakini kwa sasa Rushwa ndio kwanza inazaliwa CCM. Sisi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

    RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana). Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na...
  10. Clever505

    JamiiForums Tanzania Lete hoja au swali lolote kuhusu CCM ujibiwe hapa

    Habari zenu watanzania! Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais... Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm...
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanaodhani ACT-Wazalendo na CHADEMA kushindwa kusimamisha mgombea mmoja ni uchu wa madaraka mnakosea, ni mbinu sahihi kuwabana NEC na CCM

    Anayeandika hapa ni YEYE BRITANICCA Wavivu wa Fikra wanadhani Imekuwa Ngumu ACT na Chadema Kuungana kisa uchu wa madaraka nani agombee, sasa nawafungua Bongo zenu Hakuna ugumu kuna mbinu NEC lazima tuwapime wanajifanya wajanja wakiengua mgombea mmojawapo kwa ukatili, wananchi wanahamia upande...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

    Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika. Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuwakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imewaagiza Makamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini wahakikishe wanawakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu. “Watu wamezoea vitendo vya rushwa kwenye...
  14. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mambo yatakayomrudisha Dkt. Magufuli ofisini tarehe 28 Oktoba

    MAMBO YATAKAYOMRUDISHA JPM OFISINI TR 28 OCTOBER. Na Elius Ndabila 0768239284 Mh Dkt Magufuli Rais wa JMT jana amechukua fomu ya kugombea Urais kwa awamu ya pili kupitia Chama Cha Mapinduzi. Mh Magufuli anayeelezwa kuwa mzalendo namba moja wa Tanzania baada ya kuchukua fomu aliwaasa wanaCCM...
  15. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, chombo cha Habari cha Umma cha TBC kinapewa maelekezo na watawala wetu wa CCM ya nini cha kutangaza na kipi si cha kutangaza?

    Tupo katika kipindi muhimu sana cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, mwishoni mwa mwaka huu. Ni matarajio ya Watanzania wote kuwa vyombo vyetu vya habari vya Umma vitatekeleza wajibu wao kwa usawa bila kupendelea chama chochote cha siasa. Tumeshuhudia chombo cha habari cha television ya Taifa...
  16. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli anatamani Ulaya ambayo haipo na haitakuja kuwepo

    Nimemsikia mgombea wa urais CCM anasema anataka Tanzania iwe kama Ulaya. 1. Mwambieni hakuna ulaya ambayo imezuia vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadahara na wananchi wake kuandamana. 2. Hakuna Ulaya ambayo imezuia kurusha matangazo ya bunge live. 3. Hakuna Ulaya ambayo imefungia...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Kamati Kuu ya CCM hamuwezi kututeulia wagombea wapya kabisa wa Ubunge? Ziara za Rais Magufuli zilithibitisha Wabunge wengi ni mizigo

    Kwa bahati nzuri niliweza kufuatilia ziara zote za Rais Magufuli katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. Kila aliposimama kusalimia wapiga kura wake alielezwa matatizo lukuki na wananchi wa maeneo hayo kana kwamba hawana mbunge na hii ni ishara kuwa Wabunge wengi wa awamu hii ni mizigo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Makosa ya Lissu yanaweza kutumiwa na CCM kumzidi kete kisiasa

    Kosa moja ambalo Lissu anafanya hivi sasa ni kuaccumulate makosa mengi ya kisiasa ambayo CCM wanaweza kuyatumia dhidi yake. Tangu arudi nchini Lissu ameshafanya makosa kadha wa kadha ambayo asipokuwa makini na akaendelea kuyafanya yataanza kumpungunzia mtaji wa kisiasa kuelekea kwenye uchaguzi...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Wajumbe wamempa Dkt. Magufuli, CCM na Taifa wagombea tarajiwa watakaoongoza vita dhidi ya rushwa?

    Ndugu wa JF, Rais wetu na viongozi wakuu wa kitaifa wamekuwa wakijipambanua kupambana na rushwa na Mkuu wetu amekuwa akitumbua watumishi wa umma na wakandarasi huku na kule Je, wajumbe wametupa kikosi cha wagombea kinachochukia rushwa au JPM yuko peke yake ? Kama bila CCM imara taifa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kamati kuu CCM kuhusu wateule itakuwa ndio fyuzi ya kulipua bomu linalotokota CCM

    Huko CCM kuna bomu linatokota. Bomu hili linaitwa kwa majina tofauti. Umaarufu wake 'WAJUMBE" Ni wazi kuwa kuna mchanganyiko wa sababu. Zikiwemo mtifuano wa CCM mpya na kongwe. Rushwa na nguvu ya pesa. Vita ya madaraka kuelekea 2025 ndani ya CCM. Amini kwamba maamuzi ya Kamati kuu kuhusu...
Back
Top Bottom