ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli atakosa kura za wana CCM toka familia hizi

    Makundi yafuatayo hayawezi kumpatia kura Magufuli. 1. Watumishi wote wa umma waliotia nia kugombea ubunge CCM wakaambulia kukosa mishahara Julai na Agosti. 2. Watumishi wa umma wana CCM ambao walitakiwa kupandishwa madaraja Julai 2020 hawajapandishwa mpaka sasa. 3. Watumishi wana CCM waliofuzwa...
  2. Sami Omary Khamis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi wa ilani ya CCM 2020-25 kwenye kupambana na umaskini na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi

    Na Bwanku M Bwanku. Baada ya mafanikio makubwa ya awamu ya kwanza ya miaka mitano ya Serikali ya CCM katika kupambana na umaskini na kuwawezesha wananchi ikiwemo kusaidia vikundi vya wajasiriamali kimafunzo, kisera na kimikopo, wafanyabiashara wadogo na kuwawezesha vijana pamoja na mpango wa...
  3. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Chama cha Mapinduzi ni kinga? | Bendera ya CCM ni mbadala wa "Plate Number"?

    Hii inamaanisha nini? Wanaofanya hivi wanajua Askari wa Usalama barabarani lazima "atamezea" kosa lolote watakalolifanya barabarani kwasababu ni gari la chama Je, wahalifu hawawezi kutumia mwanya huu wakajinufaisha? Kwanini CCM waache chama chao kitumike namna hii? FYI: Ukiachana na gari...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani msiwe wavivu, jiulizeni kwanini ZANU-PF, CCM na ANC bado zipo madarakani kuliko kusubiri kipindi cha Uchaguzi mnasema Ikulu asubuhi

    Jiulizeni kwanini Zambia Afrikan Neshino Konglesi kiliangushwa na wapinzani si malaika MCP. Malawi Konglesi Pati kiliangushwa na wapinzani na si malaika. KANU chama cha Jomo Kenyata pia kiliangushwa na wapinzani. Tuanzie Malawi, Bakili Muluzi wa Unaitedi Democratik Fronti alimtoa Kamuzu Banda...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: UVCCM jibuni hoja za wapinzani bila kuchelewa, ni marufuku waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kupiga kampeni

    Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao. Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa Lindi lakini sasa yuko Mwanza anafanya kampeni na kumtaka kurudi Lindi mara moja akawasaidie wenzie...
  6. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania CCM Mbeya mjini waijibu CHADEMA

    CCM MBEYA MJINI, WAIJIBU CHADEMA Na Elius Ndabila Wiki iliyopita Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walifanya mkutano mkubwa wa Kampeni kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya. Mkutano huo ambao ulikuwa ni wa kuomba kura kwa Mh Lisu anaye gombea Urais ulihudhuriwa na watu wengi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini CCM hawataki Uchaguzi wa Haki na amani?

    Wataulinda utawala wao kwa nguvu za dola. Je, hawajiamini ushindani wa hoja? Je, wamefanya makosa mengi? Je, wamenyang'anya na kudhulumu sana? Je, wanaogopa kupandishwa vizimbani? Je, wanataka kupima nguvu za wananchi walio wengi ambao wapo wazi kuikataa CCM kwenye sanduku la kura? Je...
  8. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CCM 2020: Tanzania bado haijafikia Uchumi wa Kati

    My take: Zile mbwembwe zote kumbe ni danganya toto
  9. Sami Omary Khamis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-20 kwenye kuongeza fursa za ajira

    Na Bwanku M Bwanku Fursa za ajira ni eneo muhimu sana katika kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii ambapo jamii hususan vijana hupewa nafasi ya kuchangia utaalam wao katika kufanya kazi ili kuchangia kukuza maendeleo ya Taifa. Serikali iliyoundwa na CCM katika miaka mitano iliyopita iliweka...
  10. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tathmini yangu kwa wiki mbili za kampeni. CCM anaongoza kwa mbinu na mikakati bora

    Nimefuatilia kwa umakini kuhusu kampeni zinazoendelea hadi sasa. Kimsingi CCM inaongoza kwa mikakati na mbinu bora zaidi kuliko vyama vingine vya Chadema,ACT nk na hivyo kuwa na nafasi nzuri ya kushinda asilimia 80+ Hii ni kutokana na sababu zifuatazo: 1. CCM imeweza kuwatumia makada wake...
  11. Libya

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Hatoki mtu hapa kwenye kinyang'anyiro cha Urais. Septemba 15 kinaanza kimbunga kumbakumba

    HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumbakumba! Watanzania kaeni chonjo!
  12. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini tunasema Magufuli mitano tena? Kwanini tunasema CCM mitano tena? 2020-2025

    Na: Giantist McWenceslaus 09/09/2020. Dodoma. Habari za leo, ndugu wanabodi wenzangu... Tangu uhuru hata sasa, Tanzania imeendelea kuwa salama, kwa sababu ya kuwepo kwa viongozi wazalendo na wenye kuwajali watanzania wenzao wote. Na usalama huo wa Tanzania, imesababishwa kwa kuwepo kwa haki na...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

    Leo, Septemba 9, 2020 - mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu A. Lissu anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari. Haya ni baadhi ya aliyoyasema: ====== Waandishi mmekuwa mnogopa kuni-cover, nikizungumza mna switch off. Hofu! > Nazungumza na Vyombo vya Habari vya nje ya nchi kila...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu awataka CCM Wilaya ya Kigamboni kuacha nongwa, kuvunja makundi na kuwaunga mkono Wagombea walichaguliwa kwenye Kura za Maoni

    Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan, amewataka wanachama waliojitokeza kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani wasikisuse chama baada ya kushindwa katika kura za maoni. Mama Samia amesema hayo leo Septemba 8, 2020 wakati akihutubia wananchi wa Kigamboni...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 na CCM Madarakani: Ujinga, umaskini na maradhi bado havijaondoka

    Tangu tupate Uhuru 1961 sasa ni miaka 59 . Lakini wale maadui 3 ambao ni ujinga, umaskini na maradhi bado wanawatesa Watanzania. Je, tuendelee kuwapa kura CCM ili waendeleze mapambano waliyoyashindwa kwa miaka 59? Tuwanyang'anye mamlaka kwakuwa wameshindwa kutokomeza ujinga, umaskini na...
  16. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Katiba imeshampa Ushindi Mgombea wa CCM kabla ya Uchaguzi, Vyama vingi Kiini macho

    Kuna sababu zaidi ya 99% kua mgombea wa CCM amepewa ushindi na katiba ya JMT kwa sababu za msingi zifuatazo, labda wananchi waamue wenyewe kutokujali katiba hii. SABABU ZENYEWE 1. Mwenyekiti wa CCM na mngombea wa Urais ndiye anayewateua mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na makamishna...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 GEITA: Dkt. Magufuli awataka wasichague Viongozi wa majaribio

    Leo Jumatano, Dkt. John Magufuli yupo mkoani Geita baada ya jana kutoka jijini Mwanza kuendelea na kampeni ya Urais kuomba ridhaa ya kusalia madarakani kwa muhula wa pili. Tuwe sote kujuzana yatakayojiri. ======= 10:15 Asubuhi: Dkt. Magufuli awasili uwanjani 10:18 Asubuhi: Dua na Sala...
  18. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuomba kura kwa ukabila CCM hii imezidi. Msukuma awaambia wana Geita kwa kisukuma mnamwachaje mtoto wenu mnachagua asiye wa kwenu

    Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka. Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Kimbilio la Watanzania ni CCM pekee, wapinzani wanachanganya wananchi

    Wasalaamu! Nikiwa kama mzalendo wa kweli wa Kitanzania na tukiacha mbwembwe za kisiasa napenda kuja na waraka wa kipekee kwa maslahi ya umma. Utangulizi Tanzania ni nchi inayokuwa kimaendeleo kwa kutumia rasilimali zake na kwa vyovyote vile inahitaji uongozi imara katika hili. Uongozi huu...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaiteketeza CCM Musoma Mjini, nyayo za Magufuli zafutiliwa mbali

    Hii ni baada ya Julius Mwita kuzindua kampeni za ubunge, hii hapa habari kamili
Back
Top Bottom