ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Nothing lasts longer, sasa ni dhahiri CCM inaenda kuangushwa kwenye Uchaguzi huu

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Sina hakika kama ni maombi ya Watanzania au ni mapenzi ya Mungu tu, bali kikubwa kuliko yote ni kwamba mwisho wa CCM umefika rasmi baada ya wananchi kuikataa bila huruma. Asikudanganye mtu yeyote , msingi wa ushindi ni kukubalika kwa wananchi, nimefanya...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 PICHA: Boniface Jacob atikisa kata ya Makuburi, CCM yafungishwa virago

    Ni kama vile Shughuli imeisha jimbo la Ubungo, hii hapa ni kata ya Makuburi.
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Wapenda soka wamejipanga kuishikisha adabu CCM kwenye uchaguzi huu

    Soka ndio mchezo unaopendwa zaidi na watu wengi hapa Tanzania. Mchezo wa soka hauna itikadi, lakini chini ya utawala wa CCM, mchezo wa soka umelazimishwa kuwa wa kiitikadi za kisiasa. Kwa uchache hizi ni baadhi ya viashiria vya wazi vinavyofanywa na CCM ambavyo vimewakera sana wapenda soka hapa...
  4. JamiiForums Tanzania CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

    Dah, CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakini bado mkapitisha Fiesta lenu palepale. Uwanja wote umejaa vipara na zile ni nyasi halisi, kuota tena ni majaaliwa. Uwanja sasa...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

    Kwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana. Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani. Kama...
  6. JamiiForums Tanzania Waasisi wa CCM

    Watu watano muhimu sana katika historia ya uasisi wa CCM ni hawa: 1: Mwalimu Julius K. Nyerere 2: Sheikh Aboud Jumbe 3: Sheikh Rashid M. Kawawa 4: Sheikh Thabit Kombo 5: Mhe. Pius Msekwa Inabidi CCM iwe na utaratibu wa kuwaenzi watu hawa kama waasisi wa taasisis yao.
  7. JamiiForums Tanzania Video: WanaCCM wakiwa wamebebwa kwenye gari wakipelekwa kwenye mkutano

    Hakika wanaCCM wameendelea kujionesha kuwa wao ni bora liende. Haiwezekani mwanadamu unampakia kwenye usafiri wa kuhatarisha maisha yake kiasi hiki.
  8. Q

    JamiiForums Tanzania CCM itozwe faini kwa kuharibu uwanja kama Simba SC

    Uongozi wa uwanja wa Taifa wa Mkapa uliitoza faini klabu ya Simba baada ya mashabiki wake kung’oa viti vya uwanja huo, jana mashabiki na wanachama wa CCM wamefanya uharibifu mkubwa mbele ya mkiti wao rais Magufuli ambaye pia ni mgombea urais kupitia chama hicho. Tunategemea tamko la Uongozi wa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natamani nisikie POLISI wamewakamata CCM kwa hujuma za kiuchaguzi, natamani sana!

    Yaani nisikie tu kuwa Polisi wamewakamata vijana au wanachama wa CCM wakihusika na hili na lile katika heka heka za uchaguzi,Polisi mnaweza kujificha hata kuwakama wale wanaoshusha bendera za vyama pinzani,angalau mkaonekana na kujikosha. Kuna masanduku yalio na kura zilizopigwa yanahangaika...
  10. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mrema (TLP), Mbatia (NCCR), Kimei (CCM) na Kiwelu (CHADEMA) wafanya kampeni za ubunge Vunjo (K'Njaro) kuwa zenye ushindani mkali kuwahi kutokea

    Mwaka 2020 utakumbukwa kama mwaka ulioshuhudia kampeni zenye ushindani mkubwa na msisimko wa aina yake katika jimbo la Vunjo Mkoani Kilimanjaro. Jimbo la Vunjo limekuwa kama jimbo la North East London huko Uingereza ambalo kila mwaka wa uchaguzi linabadilisha chama. Kinyang'anyiro hiki ambacho...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natamani nisikie POLISI wamewakamata CCM kwa hujuma za kiuchaguzi, natamani sana !

    Yaani nisikie tu kuwa Polisi wamewakamata vijana au wanachama wa CCM wakihusika na hili na lile katika heka heka za uchaguzi,Polisi mnaweza kujificha hata kuwakama wale wanaoshusha bendera za vyama pinzani,angalau mkaonekana na kujikosha. Kuna masanduku yalio na kura zilizopigwa yanahangaika...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Kwa Umma: Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru atakuwa na kikao kazi na Balozi wa China Nchini Saa 4:00 leo asubuhi

    Katibu Mkuu wa CCM atafanya Kikao Kazi Na Balozi wa China Mhesh Wang Ke kuanzia saa 4: 00 asubuhi ya leo Oktoba 10, 2020. Matangazo ya moja kwa moja kutokea Ukumbi wa Chuo Cha Uongozi Cha Mwalimu Nyerere Kibaha kupitia Televisheni za TBC na Channel 10 Tafadhali mkumbushe & Mtaarifu mwenzako
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwaheri ya kuonana CCM

    Salaam kutoka Zenji ,kuna uhakika kutoka kila pembe kuwa sasa ni rasmi CCM imeshazikwa Zanzibar,hilo halina mjadala ,jukwaa la CCM Zanzibar CCM huchawanyika na kumuwacha/chia baba na mwana kwenye jukwaa. Huyu baba ameenda kufanya nini mbona anamharibia mwanawe ? Husein unahisi ana ukakasi fulani...
  14. JamiiForums Tanzania Happy birthday Jakaya Mrisho Kikwete

    Leo Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete anatimiza miaka 70. Mimi binafsi namkumbuka kwa mambo machache aliyoyafanya: 1. Daraja la Kigamboni 2. Daraja La Kilombero 3. Daraja la Umoja 4. Daraja la Maragarasi 5. Chuo Kikuu cha Dodoma 6. Hospitali ya Mloganzila 7. Julius Nyerere International Airport...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

    Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu? Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
  16. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana CCM wawaombea kura CHADEMA kwenye familia zao

    Wana CCM wameendelea kuiombea kura CHADEMA baada ya wagombea wao wa Ubunge, Udiwani na hata Urais kushindwa kueleza wazi hatima ya maisha yao baada ya UCHAGUZI. Ugumu wa maisha uliopelekea kushindwa kusoma na baadhi yao kupata msukosuko kwa miaka mitano kwenye biashara, shambani na kazini...
  17. JamiiForums Tanzania Hali ya Uwanja wa B.Mkapa baada ya kutumiwa na CCM

  18. JamiiForums Tanzania Ni mpambano kati ya CCM yenye kujenga uchumi shirikishi wa dola dhidi ya upinzani unaoshadadia soko holela katika huduma za kijamii

    Kuanzia tarehe 28/08/2020 vyama vyama siasa nchini vilianza mikutano ya ufunguzi wa kampeni zake za kunadi wagombea Urais na ilani zitakozowaongoza katika kuwashawishi wapiga kura. Chama kilichoanza ni Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CDM) kilichoanzia mbio zake huko Mbagala Zakheim. Siku moja...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi. - Bima ya afya kwa Watanzania wote. - Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka. - Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu. - Elimu ya maarifa, kubadili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…