ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Songwe: Polisi wa Usalama barabarani lawamani kwa kunyamazia uvunjifu wa sheria za barabara unaofanywa na ccm

    Hii ni baada ya kuruhusu magari ya mizigo yasiyo na ubora kusafirisha abiria kutoka wilaya na mikoa ya mbali ili kujaza uwanja wa mkutano . Hali hii ikiachwa iendelee kwa sababu tu za kisiasa itakuja kuleta maafa makubwa .
  2. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Hayati Mwl. Julius K. Nyerere na utabiri wa kifo cha CCM - 2020 alioutoa mwaka 1995

    Mwaka 2015 CCM ilinisurika kufa kwa inchi kadhaa Tangu wakati huo wakaweka kiongozi (John Pombe Magufuli) ambaye systematically alianza kuichinja na kuandaa mazishi yake taratibu mwaka huu 2020, Oktoba 28. Msikilize mpaka mwisho hayati Mwl Nyerere ktk video hii 👇 👇👇👇
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi huu hatutaki kusikia sera, tunahitaji mwendo mdundo wa kuing'oa CCM

    Wacha CCM wazungumzie sera mpaka washikwe na presha, huku upinzani ni kampeni za kuisaga CCM na kuonyesha uovu wake wote na hawastahili kuongezwa hata dakika moja. Waende mitaani na sera zao za ajabu ajabu wanampigia mbuzi gitaa, wananchi walio wengi tumechoka na sera na mikakati hio hio kila...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe atoa sababu 5 za Kigoma kuikataa CCM

    ..sina uhakika kama baada ya hotuba hii ya Zitto Kabwe wananchi wa Kigoma wataipigia kura CCM.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

    Wananchaama na wafuasi wengi wa vyama vya upinzani ukiwa msema ukweli na mpinga ufisadi basi wanakuona wewe ni mpinzani na kwa upande mwingine si MWANA CCM kisa tu unasimamia ukweli. Kama utakuwa mfuatiliaji wa hotuba mbali mbali na makemeo ya Mgombea wa CCM Jimbo la kawe utagundua ujasili...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana CCM Mkoani Songwe wameamua kudeki barabara kwa ajili ya ujio wa Dkt. Magufuli

    CCM kwa kuiga. Baadhi ya wananchi mkoani Songwe wakideki barabara kwa ajili ya kumpokea mgombea urais wa @ccm_tanzania @MagufuliJP #Uchaguzi2020 #OktobaTutawezana
  7. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Hivi ni lini Gwajima alikoenda CCM na kadi alipata lini?

    Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini? Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
  8. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, kufanya mkutano wa kampeni Tunduma leo huku kukiwa na mpasuko mkubwa kwa majimbo ya Momba na Tunduma

    Mgombea urais wa JMT ndugu John Magufuli muda mfupi ujao anatarajia kufanya mkutano wa kampeni hapa Tunduma. Pamoja na mambo mengine yanatatajiwa kutoka maneno makali yasiyo ya kawaida kabisa kutoka kwa mgombea huyo kufuatia mgogoro mkubwa uliopo baina ya wanaccm hapa Tunduma. Mgogoro huo...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM haikuhitaji kuwa na bango hata moja la kampeni

    Kwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize unaoelezea mafanikio ya awamu ya tano, na wimbo huu ulitoka mapema sana na kuchezwa kwenye media zote...
  10. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Chato Airport ni kaa la moto lisilozimika kwa CCM na Magufuli. Sasa anaahidi kujenga Airport kama ya Chato kila anakopita...!

    Sasa hali si hali kambi ya mgombea Urais - CCM Mzee Pombe Magufuli. Chato Airport ya kijijini na shambani kwake inamtesa yeye, inawatesa CCM wote maana haina utetezi wenye macho na akili watu wakaelewa. Sasa kama kujifariji na kujidanganya, kila mahali anapopita anamwaga ahadi za kujenga Chato...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lushoto, Tanga: Wananchi wamkataa na kumfukuza mgombea wa CCM, Shabani Shekilindi (Boznia)

    Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake. ====== Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shabani...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa CCM: Anzeni kuukubali ukweli mapema ili kuepuka tatizo la presha

    Wajumbe mnasemaje? Mwaka huu, uchaguzi wa mwaka huu ni kweli kabisa dalili zipo wazi kuwa mwaka huu ni kupatwa kwa CCM. Lissu tayari ameshashinda na kwa ujumla wananchi walio wengi wameshaishinda CCM. Sasa, nasema sasa ni kujipanga kulinda ushindi, kura hata moja isipotee kusikojulikana. CCM...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mwaka huu kubalini kuwa Wananchi wamewakataa

    Mmelazimisha sana ushindi, kupelekea Mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa mashindano yalikuwa na matatizo. Kuna kila dalili ya kuwa mshindani mmoja alitumia nguvu na mabavu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya viongozi waandamizi wa CCM

    Ni jambo la kushangaza sana kuona hadi msemaji wa Ikulu kwenye ukurasa wake wa Instagram na Twitter akipost wasanii watakaokuwepo kwenye kampeni za Magufuli. Inastaabisha sana kuwekeza nguvu kubwa kwenye kuwatangaza wasanii badala ya mgombea urais. Hawa jamaa ni kama wamejitoa mshipa wa aibu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania CCM out! 58 years in power without positive change

    Now we have to focus on positive change. CCM in power for 58 yrs and we still fighting ignorance, diseases and poverty while the song is still the same: ''vote for us" CCM must go! Its replacement will be covering by crality.
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pemba: Mkutano wa Maalim Seif viwanja vya Mapofu, Wingwi

    Huu hapa ni mkutano uliopigwa leo kwenye viwanja vya Mapofu , Wingwi kisiwani Pemba , Maalim Seif si mtu wa kawaida hii ni Taasisi , haiwezekani kwa mtu wa kawaida kuungwa mkono kwa kiwango hiki .
  17. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huu wimbo wa CCM wataisoma namba upigwe marufuku kwenye kampeni hizi

    Huu wimbo sio rafiki kabisa. Umekaa kama vile unakejeli makundi mbalimbali ya wananchi walioathirika na utawala wa awamu ya tano. Wepi mnataka waendelee kuisoma namba? Je, ni wananchi waliopigwa na maisha kutokana ugumu wa upatikanaji wa pesa kwenye utawala huu? Je, ni vijana waliokosa ajira...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa CCM aelezea faida za Kitambulisho cha Mjasiriamali

    "Vitambulisho vya Ujasiriamali vina faida, unaweza hata kukopa kwenye Mabenki kwa kutumia vitambulisho hivi, maeneo kama Kigamboni wameweza kupangiwa kukopeshwa, vinatumika hadi kwenye Bima za Afya, mkituchagua vitaendelea ili kulinda maslahi ya wanyonge"-JPM Kama wewe kweli ni Rais wa...
  19. Tony254

    JamiiForums Tanzania CCM Wamekabwa pabaya. Wamekosa pa kutorokea

    Ukiona rais anapiga magoti ili kuomba kura na wafuasi wake wakigwaruza sufuria na kuosha thermos jua maji yamezidi unga
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

    Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui. Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani. ========= MAGUFULI: Mwaka 2015 tulipita hapa kuwaomba kura wana-Mbeya, mlitusikiliza...
Back
Top Bottom