Kwa kipindi ambacho nimekifahamu Chama cha Mapinduzi kwa chaguzi zilizopita. Kimekua kikifanya vizuri kwenye kufanya Kampeni za Uchaguzi.
Sisemi kwamba mbinu zote walizotumia zilikua ni sahihi za haki na za usawa"fair". La hasha. Ila nyingi ya mbinu walizotumia, mfumo wao wa Kampeni na njia zao...