Video: Halima Mdee akiomba matengenezo ya barabara za Kawe bungeni

Kila mara hapa tumekua tukiimba ya kwamba Magufuli anapotoshwa sana na maafisa wake wa Chama,hiki ndio kinaenda kumuondoa madarakani. Amekosa watu smart kabisa wenye kupika propaganda zenye akili zinazosomeka.

Hebu tazama hii video wasaidizi wake walimpotosha kwamba Halima Mdee hajawahi kusimama bungeni kuwaombea miradi ya barabara jimboni kwake, kumbe mdada wa watu amekuwa akiteseka kupiga kelele miaka yote lakini Serikali ya CCM ndio haikutekeleza.

Gwajima naye bila haya wala dini ameenda kusimama kwenye mfereji wa maji katikati eti akisema jimbo halina mifereji ya maji kwakuwa mbunge hawasemei bungeni. Sasa hebu tazama hapa wanavyoumbuka sasa.

Tatizo ni serikali ya CCM na watu wake ndiyo wanaohujumu KAWE wala siyo Halima Mdee.
 
Attachments

  • VID-20201015-WA0114.mp4
    5.1 MB

Hakuna namna ya kurudi madarakani huyu. Wafuasi wake kama ambavyo wamekuwa wakimtia moyo kwamba anakubalika kwa miaka 5 bado wanaendelea kumdanganya kuwa atashinda.
 
Back
Top Bottom