ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Awamu ya tano imeiua CCM mioyoni mwa wanachama

    Awamu tano imeiua CCM mioyoni mwa wanachama nakubaki kwenye adhara. Chama Cha siasa ni Mali ya wanasiasa si Mali ya mwanasiasa. CCM Zanzibar mmekataliwa hadharani kabisa wala haifichiki. Mgombea wenu hauziki, watu wamemchoka si wanaccm Wala wapinzani wamemchoka kutokana na historia yake. Kwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wakati vyama vingi vinaanza tulitumia kanuni ya mpinzani atatoka CCM, kanuni hii imefeli. Sasa hivi mpinzani wa kweli lazima azalishwe na upinzani

    Tulipoaminishwa CCM itauwawa na wana CCM kutoka CCM kwenda upinzani ilikua sahihi kwa wakati huo kwa sababu watu walikua watiifu kwa chama na walipikwa kwenye chama nakufahamika nje ndani ya maisha yao. Tukawa na waasisi akina Mrema, Slaa, Shibuda, Cheyo, Makani na wengine wengi waliojiengua...
  3. Comrade Mrisha

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msije kusema hamkuambiwa, takwimu ziko wazi hizi CCM kushinda kwa kishindo

    Uchaguzi ni mahesabu na hizo hesabu ndiyo ushindi wa Chama chochote kwenye uchaguzi. Hesabu na namba hazidanganyi. Kwa mujibu wa Taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jumla ya Watanzania wote waliojiandikisha kupiga kura ni 29,188,347 ambao hawa wataweza kupiga kura siku ya Jumatano Oktoba...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara warudisha imani kwa CCM

    Hali ya mambo 2015 ilikuwa ngumu kwa CCM hasa baada ya Mh. Edward Lowassa kuhamia CHADEMA jambo lilolopelekea kura ya hasira dhidi ya CCM. Mwaka huu ni tofauti kwani Upinzani umekosa mwanaCCM maarufu na mwenye mtandao ndani ya CCM ambaye angeweza kuyumbisha chama. Wakazi wa Kaskazini wameamua...
  5. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Live toka CCM kirumba: KMC vs Yanga

    Karibuni Kikosi cha KMC Kaseja Brysoñ Lusajo Dante Mgareneza Abdu Kenny ally Mveyekule Kabunda Hilary Ppeter Kikosi cha Yanga Mnata Kibwana Mstafaaa Lamine Mwamnyeto Mkoko Feisal Kaseke Waziri Jr Sapong Kisinda
  6. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania Upinzani visiwa vya Ushelisheli washinda uchaguzi wa Rais baada ya miaka 43

    Mchungaji Wavel Ramkalawan ameshinda kura katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika visiwa vya Shelisheli. Hii ni mara ya sita kwa Ramkalawan kugombea urais katika Visiwa hivyo vilivyo katika Bahari ya Hindi Afrika Mashariki. Kiongozi anayeondoka madarakani ni Danny Faure ambaye amekuwa katika uongozi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania CCM hali mbaya huko Kusini. Mgombea ubunge apiga magoti huko LIWALE akiomba kura

    Jina lake sijalipata vizuri. Lkn bunge lililopita alikuwa mbunge viti maalumu mkoa wa Lindi kupitia Chadema. Mwezi June akafika bei na kuamua kuunga juhudi. Hivi sasa anaomba tena nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia CCM. Akiwa anaomba kura mbele ya Kassim Majaliwa ameona watu wako kiduchu na...
  8. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni zinaenda kuisha. Sijasikia neno "haki" na "uhuru wa watu" likitamkwa na mgombea Urais CCM

    Ni jambo la kushangaza sana kwangu. Sijasikia popote akilaumu uvunjwaji wa haki za watu yanayofanywa na vikundi vya watu wasiojulikana. Sijamsikia akikemea unambikiaji watu kesi kwa mashitaka ya uongo Sijamsikia akikemea manyanyaso kwa waandishi wa habari hata kuonesha sympathy ya wandishi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM acheni kutisha wamiliki wa shule/vyuo binafsi. Eti taasisi zao zitafuatiliwa Lissu akipata kura nyingi

    Kuna baadhi ya viongozi wa CCM wanaenda kwa wamiliki wa shule/ vyuo binafsi kuwatisha. Wanawaambia kuwa endapo ikibainika Lissu anaongoza kwa kura ktk vituo vya kupigia kura vilivyo jirani ama ndani ya taasisi hizo, basi taasisi hizo zijiandaye kushughulikiwa baada ya uchaguzi. Eti kwamba...
  10. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar: CCM yapata aibu kubwa TPDC Mikocheni

    Kati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na isiyo ya kawaida. Kwani TPDC peke yake in Kaya 72 na Mikocheni B ikiwa na watu ,5000 Mwezi uliopota, wafanyakazi wote wanaoishi kwenye nyumba za TPDC na wakazi wa Mikocheni wallabies wafike bila...
  11. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bado sioni njia ya CCM kushinda huu uchaguzi. Kivyovyote vile, CCM imepoteza mpambano

    Nimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano. Mtakubaliana na mimi ya kwamba CCM wameshindwa kwenye hoja za kampeni, CCM wameshindwa kutetea chochote walichokifanya miaka mitano iliyopita, ilani yao ya uchaguzi mwaka huu wanaiona kama...
  12. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM asili tunampa Lissu kura zetu

    Mimi ni baadhi ya wahanga wa kamati kuu. Ingawa tulishinda kwenye kura za maoni matokeo yake najina yetu yalikatwa. Nilikuwa wa kwanza lakini baadae niliondolewa. Nilipohoji niliambiwa ntapigwa money laundering. Nikaufyata. Ila kwa kweli tuna jambo let tarehe 28 Oktoba. Tuko wengi. Rafiki...
  13. Mag3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Antiphas Lissu afanya mkutano Tunduru

    Nawaonea huruma wapuuzi wanaohangaika wakijitahidi kuzuia Tsunami kwa mikono, Mh. Tundu Antiphas Lissu hamtamweza, Ni YEYE mpende msipende na ole wenu msipochukua tahadhari, mtasombwa na maji. Tunduma mpoooo!
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana CCM Wenzangu hapa JF na Kwingineko baada ya 'Wapinzani' kujua wanaenda 'Kuanguka' tujiandae kwa 'Visingizio' vyao hivi Vifuatavyo....

    1. Vituo vya Kupigia 'Kura' vilichelewa Kufunguliwa asubuhi halafu Mawakala wa CCM walipewa Chai na wao Kupigishwa Miayo tu 2. Mawakala wao 'wametishiwa' mno Kuvunjwa Bandama, Makoromelo, Kutekwa kwa lazima Vituoni 3. Polisi walikuwa wengi Vituoni kuliko hata wale ambao huwa wanapiga 'Patrol'...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mara ya kwanza CCM wamefanya kampeni kinyonge na bila agenda za chama bali agenda za mtu mmoja

    CCM mwaka huu wameonyesha walilala zaidi ya wapinzani kipindi chote siasa zilipokatazwa. Awakujipanga kuanzia juu Hadi kwenye tawi na kibaya zaidi hata UCHAGUZI wa serikali ya mtaa awakufanya bali waliteuana na walioteuliwa awakuwa chaguo la wananchi hivyo walijitengenezea kukataliwa toka ngazi...
  16. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Mungu amekupa nafasi nyingine kuishi uushuhudie ukuu wake katika taifa hili

    Tazama, roho yake hujivuna, haina unyofu ndani yake; lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake. Habakuki 2:4 Imani ni neno ambalo tunatumia sana, lakini wakati mwingine tunaweza kufanya liwe ngumu sana. Imani ina maana tu “imani au tumaini kamili”; neno pia lina maana ya uaminifu na kujitolea...
  17. HIMARS

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

    Wadau nini kimetokea? Ukijaribu tuma ujumbe mfupi wenye maneno Tundu Lissu au John Magufuli hauendi ila jumbe nyingine zinaenda.... Jaribu kwa Airtel, Vodacom
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nape: Membe akimaliza kazi tuliyomtuma kuumaliza upinzani atarudi CCM

    Aliyekuwa Katibu wa uenezi wa CCM na baadae kuachiwa jimbo la Mtama na Membe ili awe mbunge na Membe awe Rais, ndugu Nape Nauye amesema upinzani umerudia kosa lile lile walilofanya mwaka 2015 kwa kuwakaribisha Lowassa na Sumaye. Nape amesema Membe akikamilisha jukumu lililompeleka upinzani...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maana ya maendeleo ya nchi yaanzia kwa mtu mmoja mmoja

    Maendeleo ya nchi yanaanzia kwa mtu mmoja mmoja. Elimu, afya, dini, mila, ajira, mazingira anayoishi, na upatikanaji wa habari. Elimu ina beba mwongozo mzito katika haya mengine kwani elimu nzuri itamsaidia mtu kupata ajira nzuri, kuwa na uwelewa wa kutunza afya yake, kuboresha mazingira...
  20. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanaovaa nguo za CCM kwenye mkutano wa Kampeni kwanini baada ya mkutano huzivua kabla ya kurejea makwao?

    Mikutano mingi ya Chama cha Mapinduzi inapomalizika eneo la tukio watu wenye uniform za chama upotea au kuzibadilisha na hivyo kutoonekana wakiwa wamezivaa kurejea makwao. Miaka ya nyuma mtaani watu walikua wanaona fahari kuzivaa kuanzia bodaboda, mama ntilie, wajumbe na watu wengine. Ilikuwa...
Back
Top Bottom