Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Kumbe Channel Ten inatambua kwamba serikali zinazofungia mitandao ya kijamii ni za kidikteta.
Kwenye taarifa Yao ya habari wamezungumzia udikteta wa serikali ya kijeshi ya Myanmar iliyofungia mitandao na kufanya watu watumie VPN.
Chanel ten wakumbuke kwamba hata serikali ya ccm ilifungia...
Kwenye kipindi Cha TBC muda huu mdahalo wa uongozi mama Anna Makinda anasema yeye alikuwa na wenzake 20 ambao ni wapinzani bungeni na anasema walikuwa ni self made opposition. Na walikuwa wakali mpaka Nyerere aliahirisha Safari yake ya Ruvuma akafika bungeni akamwambia Cleopa David Msuya hawa...
Jana chama cha mapinduzi kiliadhimisha miaka 44 tangu kianzishwe. Ni umri wa mtu mzima ambae anaenda kuzeeka.
Lakini CCM hii iliyoanzishwa wakati Mwl. Julius Nyerere akiwa mkuu wa nchi imebadilika. Maana sio ile ambayo watanzania tulizoea kuiona ikitetea, haki sawa kwa watanzania, kupinga...
Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.
Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.
Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo
Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka
Maendeleo hayana vyama!
CCM NIPE UWEZO,NITANGAZE UJAMAA TANZANIA KOTE.
Leo 10:15hrs 05/02/2021
Tarehe 5 mwezi wa pili tunaadhimisha kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi,CCM kilichozaliwa tarehe 5 February 1977.Tunapokumbuka kuzaliwa kwa CCM tunakumbuka pia kuzaliwa kwa Azimio la Arusha ambalo nalo lilizaliwa tarehe 5...
Hiki ni Kijiji cha Mbigiri kata ya Mbigiri wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro ambacho kinaoongozwa na diwani anayefahamika kwa jina la Watende Rashidi na mw/kiti wa kijiji anaitwa Jalala.
Viongozi hawa kwa pamoja wanashirikiana KUPORA na KUUZA mashamba ya wananchi katika kata hiyo...
Baada ya kuliangalia kwa makini bunge katika kikao chao cha jana nakiri kusema kuna tofauti ndogo sana kati ya kikao hicho na kile cha Halmashauri kuu ya CCM (NEC)
Upinzani una wabunge 25 kati ya wabunge zaidi ya 390!
Tofauti niliyoiona ni uwepo wa Siwa na Posho ya kukaa.
Kwa idadi yao...
Nichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM.
Niwataje kwa uchache Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Aden Rage, Athuman Mfutakamba, Prof Kapuya, Maulid Kitenge, Hussein Bashe, Fundikira, Ntimizi nk....nk.
Tabora ndio chimbuko la...
Wadau wa Jf mnakumbuka wakati wa kampeni Lissu alipinga suala la wamachinga kupewa vitambulisho ambavyo havina picha wala majina. Sasa baada ya kuumbuka kwa kutoa vitambulisho ambavyo havina picha wala jina la mhusika Serikali ya CCM imeamua kujirekebisha baada ya Lissu kuwashambulia wakati wa...
Salaam wakuu,
Kumekuwa na video mitandaoni ikionesha polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori na kumuangusha chini, na baada ya hapo imeripotiwa dereva huyo amefariki. Tunaomba mamlaka husika itolee majibu sintofahamu hii, na ni nini kinachopelekea matumizi ya nguvu...
Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au Mawakala wa wafanyabiashara.
Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote yamejaa kijani.
Tujiandae kusikia tozo na ushuru za kila dizaini kama alivyosema rip Komba pale...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, Viongozi wa CCM ambao walishirikiana nao kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar iliyoanza 2010 mpaka 2015 walifanya hivyo ili tu kutimiza matakwa ya kikatiba...
Ilizoeleka tukiwajibu wapinzani ndo tunaonekana zaidi, pia wakati wa uchaguzi tumefanya kampeni kuwapigania wagombea wetu wapite kwa kishindo.Walipita kwa kishindo.
Lakini sasa hali imekuwa ngumu hakuna wa kumjibu wapinzani wamejifanya kukaaa kimya kama Nchi siyo Ya kwao. Hata ile buku...
Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.
Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo...
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) afariki dunia
Thursday January 21 2021
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla amefariki dunia Januari 21, 2021 katika Hospitali ya HCG Mumbai, India alikokuwa akipatiwa matibabu.
Martha Jachi Umbulla (amezaliwa 10 Novemba 1955) ni mwanasiasa...
Moshi Walimu saba wa Shule ya Msingi Mikocheni iliyopo kata ya Arusha chini Wilaya Moshi mkoani Kilimanjaro wanaishi katika nyumba moja yenye vyumba vitatu.
Walimu hao ambao wanawake ni wanne na wanaume watatu wameeleza hayo leo Jumatano Januari 20, 2021.
Falsafa wanzilishi ya Tanzania, Ujamaa, ilielewa uhusiano kati ya rangi ya ngozi, ukoloni, na ukandamizaji.
Hivyo ilikuwa na lengo la kuondoa dhana ya kudharilishwaji wa ngozi Nyeusi kwa kutokomeza sababu zinazochangia kupitia programu tofauti, mojawapo ikiwa elimu ya uzalendo .
Lengo kubwa...
Huyu mtu hajawahi kumung'unya maneno.
Hiki kilichotokea mbeya leo ni salamu tosha kwa CCM kwamba Sugu ni Rais wa mioyo ya wana Mbeya, pole sana Tulia haya yanatokea mbele ya macho yako chadema hua tunachana ukweli tu no kupepesa macho
Tumefika mahali sasa CCM tuongoze nchi bila figisu.
Si tulishinda uchaguzi, shehmu nyingine tena bila kupingwa.
Tuna Bunge sasa CCM ndio tupo wengi Bungeni toka kuanza siasa za vyama vingi.
Lakini sasa tujihadhari mambo mawili au matatu.
Maoni ya wananchi kuhusiana kero hayategemei chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.