ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    Chama Cha CCM Kina dharau sana-Haijalishi leo wewe ni Polepole au Bashiru

    Tumeona kila anaejaribu kukiacha chama hiki huandamwa sana na inataka ukakamavu wa hali ya Juu kuweza kuyakabili shida na mashaka utakayo andamwa nayo,wapo waliovuka vigingi vya CCM na leo wanaipelekesha mbio ila wapo walioshindwa na kurudi CCM wakiwa ni wenye kuzalilika maisha yao, Haijalishi...
  2. F

    GE2020 PICHA: Tofauti ya umati wa watu kati ya CHADEMA na CCM

    Mambo yanazidi kuwaendea kombo CCM, CHADEMA wanakuja kwa kasi ya ajabu na kuwafunika CCM kila uchao. Mikutano ya CHADEMA imejaa vijana ambao huenda peke yao kwa mapenzi yao kwa chama tofauti na mikutano ya CCM ambayo amri hutolewa kutoka juu kwa njia ya barua kuwataka wafanyakazi kuhudhuria. CCM...
  3. T

    GE2020 Jinsi CCM ilivyo wafukarisha Watanzania kwa miaka 60

    Kwa kingereza ungeweza kusema how CCM underdeveloped Tanzanians for 60 years. Kwa miaka 60 chini ya CCM bado huduma za afya sio za uhakika Tanzania. Wamama wajawazito wanafariki kila siku kwa kujifungua, watoto wachanga wanakufa kwa kukosa huduma. Vituo vya afya havina madawa wala vifaa tiba...
  4. Kipenzi Changu

    Tundu Lissu akiwajibu tit for tat "wagombea urais" wa CCM

    Hakika uchaguzi huu pele limepata mkunaji. Rick Rose anaimba..the bigger the bullet the more that it makes bang.
  5. S

    CCM itaondolewa madarakani na vijana

    Kila nikiangalia mapokezi makubwa ya wanasiasa wa upinzani na mikutano yao,asilimia kubwa ya wanaojitokeza huku wakiwa wamehamasilka ni vijana hali inayooshiria wataikataa vibaya CCM kwenye Sandusky la kura kuanzia kwenye udiwani, ubunge na hata kwenye uraisi. CCM mko hatarini na kikombe niki...
  6. Chief Kabikula

    Magufuri Akiri Wajumbe Wa CCM Noma Sana .

  7. T

    GE2020 Tunapowambia CCM wanalazimisha watu waende kwenye mikutano ya kampeni muwe mnaelewa

    CCM bila kulazimisha watu na kuwasomba, kampeni zao zitakuwa na watu kiduchu. Mwacheni mama yetu wa Taifa alee wajukuu
  8. kidadari

    GE2020 CCM mwambieni Magufuli kwenye kampeni tunaahidi mapya ya kufanya sio kuzungumzia uliyoyafanya

    Ukifungua television bila kujua kama kuna kampeni unaweza kudhani ni hotuba za kawaida za JPM na sio kujinadi ili kuomba kura. Ulituahidi tukakupa miaka 5 ambayo tumeyaona hatuhitaji kuambiwa .Sasa tuambie tukikupa miaka mngine utafanya nini sio kujinadi na yale uliyoyafanya. Ya 2015-2020...
  9. Joyce joyce

    GE2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

    Wakuu mama Nyerere alipoamushwa kuja kuzungumza kwenye mkutano wa Ccm, katoa Kari ya Mwaka, kasema kuwa yeye hana LA kuongea Kwa sababu amelazimishwa kuja kwenye mkutano huu. "Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa...
  10. Dam55

    GE2020 Kumbe sera ya Bima ya afya kwa watanzania wote Tundu Lissu ka copy kutoka Ilani ya CCM!

    Rais Magufuli leo akiwa mkoani Mara amezungumzia kuhusu sera ya kutoa Bima ya afya kwa watanzania wote. Ahadi hiyo ameitoa leo kwenye kampeni zake huko musoma mjini. Kuthibitisha kuwa sera hiyo ni yake amesoma Ilani ya ccm ya uchaguzi 2020 katika ukurasa wa 139 kipengele "e". Amesema ahadi hii...
  11. issenye

    GE2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

    Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao. Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
  12. S

    Tundu Lissu zungumzia pia hoja ya serikali ya CCM kushindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma na malimbikizo mengineyo

    Tundu Lissu,mbali na serikali hii kushindwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kama sheria inavyotaka,lakini pia imeshindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma licha ya watumishi kutakiwa kujaza form za madai ya malimbikizo yao mara kwa mara. Kwa wasiolewa,wako baadhi ya...
  13. J

    GE2020 Kampeni za CCM zimefana sana wagombea wa ubunge wanaonyesha uwezo mkubwa tutapata mawaziri bora!

    Kiukweli nafuatilia kwa makini kampeni za chama tawala CCM mgombea urais na wagombea ubunge wameonyesha umahiri mkubwa. Ni dhahiri mwezi November tunaweza kupata Baraza la Mawaziri jipya kabisa kwani hili ingizo jipya siyo mchezo. Ngoja tuone. Maendeleo hayana vyama!
  14. G Sam

    Mgombea urais wa CCM JMT na mgombea mwenza wako niwaombe muvae busara akilini mwenu, huu ni uchaguzi mkuu wa vyama vingi!

    Kusema kweli mgombea urais wa CCM na mgombea mwenza naona wanakoelekea siko, busara zinawatoka kwa kasi ya ajabu. Wameanza kutoa kauli za kuudhi tena zenye kiwango cha juu mno. Kitendo cha mgombea urais wa CCM wa JMT kutoa kejeli kwenye majimbo ambayo yaliongozwa na upinzani ni cha hovyo...
  15. B

    GE2020 CCM isiwalamishe watumishi kwenda Kwenye mkutano ya kampeni, ilaumu muda waliotumia kununua wagombea wakawasau wapiga kura

    Miaka mitano CCM iliangaika na wagombea na viongoz wa upinzani nakusau kwamba uchaguzi unategemea kura za wananchi kuliko kura za viongozi. Baada ya miaka mitano Leo majimboni kumedoda hakuna kipeperushi wa hamasa ya kampeni na hata wale walionunuliwa nao nguvu ya kuzunguka kukinadi chama...
  16. G Sam

    Barua: Kumbe watumishi wanalazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni za CCM na wanachukuliwa majina. Hivi mnawapa nauli?

    Nimekutana na hii barua kwa tweet ya Halima Mdee nimeshangaa kumbe hii nchi siyo huru hata kidogo! Na usipoenda utafukuzwa kazi ama? Maana sijaelewa mantiki yake hata kidogo Tena mnagawana kabisa kuwa wewe ni lazima uwe eneo fulani!
  17. Jidu La Mabambasi

    GE2020 TAKUKURU: Ubwabwa wa Hashim Rungwe kwenye kampeni ni Rushwa

    Sasa ni rasmi, ubwabwa kutolewa wakati wa kampeni ni rushwa kwa wapiga kura. TAKUKURU imetamka rasmi kuwa kuwapa watu ubwabwa, wale wanaovutwa kuja kwenye kampeni za Hashim Rungwe, ni moja ya rushwa ili kupata kura. Wengi tumeandika mitandaoni kuwa huyu Rungwe anatuchukuliaje Watanzania? Are...
  18. lee Vladimir cleef

    Propaganda za vijana wa CCM za picha za idadi ya watu kwenye mikutano ya Lissu

    Inafahamika kuwa Viajana wa CCM ndio vijana wenye upeo mdogo Sana wa kufikiri katika mambo muhimu yanayohusu nchi na Dunia. Vijana Hawa Ni tofauti na vijana wa nchi nyingine Hapa Afrika na Duniani. Wakati vijana wa vyama vya Upinzani na wa nchi nyingine huwa wanauchungu wa kweli wa nchi zao...
  19. Prof Koboko

    GE2020 Hivi mgombea wa CCM atafikisha hata 40% ya kura kweli?

    Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya...
  20. S

    GE2020 Tundu Lissu jambo hili kuhusu wabunge wa CCM kupitisha sheria zinazotumiiza naomba kila unapoenda na kila katika mkutano wako uliongelee

    Naomba nikiri nimefurahi sana kusikia umeeleza ni namna gani wabunge wa CCM wamepitisha sheria zinazotuumiza wananchi. Kwanini nimefurahi sana? Sababu kubwa ni hii,baadhi ya watanzania wenzetu wanaanza kusahau tabia za wabunge wa CCM na kuwa tayari kuwachagua kisa ni matajiri,watu maarufu,wana...
Back
Top Bottom