Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Leo nimeona niliamkie jiji Dar es Salaam.
Linapokuja suala la kuleta mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi majiji makuu ya nchi huwa ni kitovu kwa sababu huwa yana wakazi wengi walioelimika na kupata exposure ya kutosha tofauti na miji mingine katika nchi husika.
Hali ni tofauti nchini Tanzania...
Wasalaam,
Naomba niweke wazi ukweli halisi bila ushabiki wa kisiasa chama chetu cha mapinduzi mwaka 2015 walikuja na ilani nzuri na ya kupendeza Wakati wa kampeni, baada ya kushinda uchaguzi bwana yule alitupilia mbali ilani ile na kifanya jinsi alivyoona yeye inafaa na jinsi alivyotaka yeye...
Scenario 1: Lissu ameshinda Urais wa Tanzania. Anaunda Serikali. CCM ina wingi wa Wabunge. Inatoa Waziri Mkuu na Mawaziri wengi. Serikali ya Lissu itapelekeshwa na chama chetu tutakavyo na kukistawisha chama kuelekea 2025. CCM itashinda kwa kishindo mwaka 2025.
Scenario 2: Lissu hashindi...
ILANI YA CCM INATOA SULUHU YA MASWALI, ACT NA CHADEMA ZINALALAMIKA
Na Elius Ndabila
Nimefanikiwa kuzisoma Ilani za vyama vitatu, yaani Ilani ya CCM, ACT Wazalendo na CHADEMA. Nikiwa ninazipitia Ilani hizi nimegundua utofauti mkubwa kwenye kujibu mahitaji ya Watanzania.
Ilani ya CCM kama chama...
Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi.
Huyu ni Mwakilishi wa CCM ngazi ya Wilaya huko Tarime akimuita Esther Matiko kama Malaya, kwakua huyu ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya tunaamini anachoongea ndio...
Wapendwa kuna hiki kipindi kinaitwa Ajenda 2020 kinachorushwa kila Jumatatu saa tatu na nusu usiku Startv.
Naona mtangazaji wake aitwaye Alloyce Nyanda anatumika na ccm au yeye mwenyewe anajipendekeza CCM.
Nimekuwa nikimfuatilia kwa kiasi kipindi chake hiki. Nilichokigundua ni kwamba amekuwa...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kwasasa Jimbo la Uvinza amejibu hoja zilizotolewa jana na Mgombea kiti cha Urais wa JM !-
LISSU APANGULIWA HOJA 7 KWA MIKWAJU 7 YA TAKWIMU NA KAFULILA!
NIMEONA MATOBO 7 HOJA ZA LISSU!
Na David KAFULILA,
Agosti31, 2020.
Kwanza nashukuru sasa kuona...
HABARI,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC mapema tarehe 25 Agosti 2020 ilimteua Ndugu MWAKASAKA BOAZ DONARD kuwa mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Sauti ya Umma (SAU). Mwakasaka ni mtaalamu wa masuala ya Uchumi na Maendeleo ya kijamii ameahidi kutokomeza yote yaliyoshindikana katika...
Leo katika uzidunzi wa ilani ya ACT-Wazalendo nimemsikia Zitto akitaja mambo zaidi ya kumi ambayo CCM waliahidi kwenye ilani yao na hawakutekeleza hata kidogo, na sio tu kutekeleza bali hata kuanza japo kwa hatua za awali hawakufanya.
Nimekua najiuliza huku kusifusifu kulikovuka mipaka...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Nimefuatilia kauli takribani zote kuhusiana na uchaguzi mkuu zinazotokea katika chama hii kubwa.
Si katika uzinduzi wa kampeni si katika walioongea katika kampeni au popote kuhusiana na uchaguzi 2020. Hakuna wanaposema neno 'haki'...
Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi.
Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika kulipa sehemu ya fidia ya makubaliano maalum kwa Serikali baada ya kukiri kufanya makosa.
Fedha kiasi...
Hivyo hamna jipya la kuwadanganya wananchi, hela mnayoiba ni nyingi kuliko gharama za majenzi mnayofanya, ambazo hela zake zinatokana na wananchi.
TANU ilituwachia vitu vyote mlipobadili gear na kujiita CCM mkameza kila kitu,hivi CCM hamkuikuta Tanzania ikiwa na ndege zake, ikiwa na treni zake...
Jaribio la kwanza ni kuwaengua wapinzani kwa visingizio vya mapingamizi yasiyokuwa mbele wala mkia ili kujihakikishia Idadi ya wabunge wanaosubiri kuapishwa baada ya Uchaguzi hapo October. Hiii hujuma wapinzani wanapimwa wanaweza kufanya nini ikiwa watafanyiwa hivyo.
Jaribio la pili ni...
Najua ni ujinga na upuuzi kwa NEC kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani kwa makosa madogo madogo katika ujazaji wa form.
Lakini pamoja na hilo, vyama vyote vya upinzani vinalo la kujifunza hapa. Unaweza kujiuliza, mbona wagombea wengi wa CCM form zao hazina matatizo? Iko hivi;
- Baada tu ya...
Wasalaam,
Kuna mambo mengine yanahitaji kufikiri kwa upana hasa kipindi hiki tunapoelelea katika uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Nimefatilia uzinduzi wa kampeni za CCM pale uwanja wa Jamhuri Dodoma, nimeangalia nyuso za wasanii waliotumbuiza katika tamasha lile la CCM na kuona wengi...
Uwezi kuwa chama tawala ukashindwa kutawala kwa nguvu ya umma na nguvu ya hoja.
Zipo nguvu tatu muhimu na za msingi katika utawala wa kisiasa ambazo ni
1. Nguvu ya umma- Hii utokana na namna mwanasiasa anavyokubalika na makundi mbalimbali ya jamii anayotaka kuiongoza. Nguvu ya umma udhihirika...
Hakuna mashaka yoyote kuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mchuano mkali sana wa kinyang'anyiro hicho cha urais utakuwa baina ya vyama viwili ambavyo ni CCM na CHADEMA.
Kwa maana hiyo ni lazima sisi wananchi tufuatilie kwa makini sana, kwa wagombea wa Urais wa vyama hivyo viwili vikuu, pale...
Hizi hasira za upinzani za kuhisi wanaonewa ni hofu inayowaumiza kisaikolojia juu ya kupuuzwa na Watanzania
Kabla ya Rais Magufuli,Wanaccm walikuwa wanaona aibu kuvaa nguo za chama,na kuna Sehemu walikuwa wakitupiwa makopo wakikatiza mtaani
Wanaccm walificha sare zao ndani kutokana na masuala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.