ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa namna viongozi wa CCM walivyonuna baada ya hotuba tusubiri mkwamo

    Jana hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyempongeza Mhe. Rais kwa Hotuba nzuri, hata akina Kigwangala wanaokesha mitandaoni walikaa kimya. Watu waliopongeza ni wapinzani na wanaharakati pamoja na wananchi wa kawaida. Siku zote ccm si chama kilichopo kwa ajili ya wananchi ni chama kwa ajili...
  2. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba, Mzee Kikwete na wazee wenye hekima na Busara itisheni kikao maalumu Cha Wazee wenye busara wa CCM pamoja na Samia

    Mzee Warioba wewe ndio ulikua kiongozi wa kuandika Katiba mpya, Mzee Kikwete wewe ndio uliguswa na kilio cha katiba mpya ndio ukaunda kamati. Wazee wenye busara Ni pamoja na Mzee Butiku,Mangula na wengine. Mama Samia wewe ndio Rais kwa Sasa. Nawaomba wazee nyinyi,mkutane pamoja na Rais Samia...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uenyekiti wa CCM kwa Rais Samia ndio nyenzo ya kusimama imara kwenye Urais

    Mitandaoni kumeibuka kikundi cha watu ambao naamini ni wanasiasa ambao kwa namna moja au nyingine wanataka kukwamisha juhudi za Mhe. Rais katika kuwatumikia Watanzania. Kikundi hiki kipo nyuma na mbele katika kupingana na muelekeo na mtazamo wa Mhe. Rais na yote inatokana na kuona wapo kwenye...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je, Mama Samia Suluhu akikubali kuwa Mwenyekiti wa CCM ataweza kulisimamia Taifa?

    Moja ya changamoto kubwa inayokabili watawala wetu nikuaminishwa kwamba usipokuwa Mwenyekiti wa chama hautoweza kuongoza Nchi. Hii ni doctrine imewekwa kulinda maslahi ya chama na kumfanya Rais awe na jukumu lakulinda chama. Kulinda chama hakuhitaji haki maana ukisimamia haki hakuna namna chama...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Namuona Rais Samia Suluhu Hassan akienda kunyakua tuzo ya Mo Ibrahim. Labda wana CCM wamkwamishe!

    Awali ya yote mie binafsi nampongeza mno mno mno hadi sasa walau anatutia moyo na kuturudishia matumaini mapya! Huyu Mama ana set standards za namna Kiuongozi Mkuu wa nchi anavyopaswa kuwa. Hafokei Haropoki Yupo very composed Hana papara Anafahamu shida za watanzania ki uhalisia Mpole kama...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Vijana wa ccm ndo wapinga maendeleo,watu waliokosa uzalendo .

    Kwa upingaji huu wa step anazochukua Rais mnaonesha kuwa mmekosa akili za busara. Nyie furaha yenu nikutaka kuona watu wanateseka. "Mungu wetu yuhai"
  7. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Mama kabadili upepo. CCM wamegeuka wapinzani wa mama, na wapinzani wamegeuka kuwa wafuasi wa mama

    Speech ya leo ya mama imegeuza milengo ya watanzania upside down. Wale CCM kindakindaki wa humu JF wafia chama wa CCM wamekuwa wapinzani wa mama, na wale wapinzani wa ccm wa siku zote wamekuwa wapenzi na washabiki wa mama. Binafsi pia nimekuwa mshabiki na mpenzi wa mama. Naomba mnielekeze...
  8. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu nyingine kubwa kwa taifa letu - Naiona CCM kuendelea kuwa juu miaka100

    Wale wanaoanzisha vyama pinzani na wakitumia vyama hivyo kwa maslahi yao binafsi wajue tuu kushika dola itaendelea kuwa ndoto kwao. CCM ni chama tawala chenye misingi imara sana, chama kimeweka mizizi kwa wananchi kwenye Chama kimejenga wanachama makini na imara sana ambao ndio viongozi wa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia anajaribu kuirudisha CCM kwenye mstari. Upinzani kazeni kamba za viatu, si shwari tena

    Yaani kama mwendo na kasi anaoondokea Rais Samia ndio huu,upinzani itabidi tukaze kamba za viatu na kama wako waliovaa mikanda waikaze,kiswaili sanifu wanasema kufunga mkaja, bora yule baba tulipata kwa kupitia ila huyu mama anaonekana kuziba mianya yote kiaina. Tusiwaache CCM wakatumia busara...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda falsafa ya Rais Samia ya Watendaji kutumia akili badala ya nguvu. Je, CCM wamemuelewa?

    Nimeielewa sana falsafa ya Rais Samia kuwataka watendaji wote kutumia akili badala ya nguvu wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi. Kwa mfano kumfukuza Tundu Lissu bungeni ni matumizi ya nguvu badala ya akili. Kumsimanga Prof Assad ni matumizi ya nguvu Kuwaingiza akina...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa juu wa CCM unaenda kubadilika tutegemee maendeleo zaidi na zaidi!

    CCM inakwenda kupata mwenyekiti mpya wa taifa kufuatia mama Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa JMT. Katibu mkuu atakuwa mpya Katibu wa Itikadi na Uenezi atakuwa mpya. Yawezekana hata makamu wa mwenyekiti bara na visiwani wakawa wapya Mambo ni fire. Maendeleo hayana vyama
  12. Q

    JamiiForums Tanzania CCM mwacheni Rais afanye kazi kwa uhuru, msimshinikize

    Msingi wa uzi huu ni kuwakumbusha CCM kuwa pamoja na Rais kutokea chama chao cha CCM, but once akishakuwa Rais anakuwa mali ya wananchi mali ya Watanzania wote, chama kinabaki kuwa kama mshauri tu lkn sio kushinikiza. Kuna mambo mengi yameanza kujitokeza dhahiri yakifanyika kumshinikiza Rais...
  13. Mandesy

    JamiiForums Tanzania Nauona mwisho wa CCM

    Tukiwa bado tunatafakari mabadiliko ya mara kwa mara ya baraza la mawaziri wa serikali ya awamu ya tano, hali inaonekana sio shwali ndani ya chama hicho. Nasema hali sio shwari, kwani kila mtu amekuwa na hofu kubwa, hasa wale wadadisi ndani ya chama. Inavyoonekana kwamba sasa hivi JPM ameamua...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Imedhihirika wazi CCM ni chama kilichojaza wanafiki na wachumia matumbo.

    Hayati Mwl Nyerere aliwagundua wanafiki wa CCM ambao walikuwa wanamuambia kuwa asijiuzulu sababu akijiuzulu hakuna kiongozi wa kuiongoza Tanzania. Mwl aligundua kuwa wengi walikuwa wanahofu ya matumbo yao. Maana walijua akijiuzulu na teuzi zao zimekufa. Hivyo walikuwa hawana ulaji. Ndio hawa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ni Utamaduni wa CCM Rais wa JMT kuhudumu kwa mihula miwili, hilo halina mjadala!

    Kwa mujibu wa utamaduni wa CCM unaoenda sambamba na katiba ya JMT, Rais atahudumu madarakani kwa mihula miwili ya miaka mitana halafu Mitano tena. Hili halina majadiliano kwa sababu mjadala wake ulishafungwa mwaka 2000 na aliyekuwa makamu mwenyekiti wa CCM mzee John Samwel Cyigwemisi Malecela...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa CCM niwanafiki na wanatengeneza kizazi cha wanafiki

    Kigwangalla ni msomi akiwa Daktari wa binadamu, jana akiwa awamu ya tano alitueleza kupiga nyungu ni sawa na hakukemea mtambo wa Nyungu kuwekwa Muhimbili. Leo siku 17 tangu Mhe. Rais aondoke madarakani anatoka hadharani nakusema ule mtambo uondolewa na tufuate taratibu za kitaalamu. Huyu mtu...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya siasa Mimi ccm hata wamuweke Nani hapo juu automatically namuona ni tatizo.

    Binafsi hiki chama ninakichukia kutoka uvunguni mwa moywan I'm 23yrs ila Ccm nimetokea kuichukia tangu nasoma primary Uganda hadi secondary Lake view mpaka namaliza chuo University of dsm 2018 hii. Nilichogundua Mapenzi hayalazimishwi yankj automatically. Na huu ndo ukweli. "Hakika kunguru...
  18. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Kutoka CCM, heri ya sikukuu ya Pasaka

    Habarini wanajamvi wenzangu, poleni na majukumu mbalimbali ya kujenga taifa. Hakika tuendelee kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo yetu na taifa letu, Mungu hatatuacha atazibariki kazi za mikono yetu. Leo baada ya majukumu nimepita kwenye mitandao ya kijamii na kukuta salamu hizi nikaone ni...
  19. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Bila CCM kutoka madarakani hatuwezi piga hatua ya maendeleo ya kuonekana

    Habari wakuu. Mimi nimetafakari sana kuhusu jinsi mambo yanavyokwenda hapa kwetu. Yaani unaweza kupata hasira hawa jamaa hatua waliyofikia ni mbaya sana. Kwanza wamejua hawapendwi na uchaguzi bila kutumia nguvu ya dola hawashindi. Pili wanawaza mambo ya kuwakomoa watu kuwalit uhuru awamu hii...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya J. Kikwete unawafundisha wana CCM tuwe wakweli

    Mhe. Rais Mstaafu J. Kikwete ameandika katika ukurusa wake wa Twitter maneno haya; Ndoto ya wananchi nikuona vijana wanapata ajira na maslahi yanayoendana na Hali ya uchumi ya Sasa. Nikipata nafasi yakuzungumza na Rais sitasahau kumweleza haya. Je, Mzee anawashwa Kama akina Hapi, Makonda na...
Back
Top Bottom