ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Kuna mpasuko mkubwa mno ndani ya CCM kutokana na wamachinga wanavyotendewa

    Ni suala la muda tu. Kuna sintofahamu kubwa mno ndani ya CCM baina yao na mbaya zaidi ni mpasuko uhusuyo Kanda na namna ambavyo machinga wanavyotendwa. Ikumbukwe, asilimia kubwa ya wabunge wa CCM hawapendezwi mno na namna zoezi la kuwaondoa machinga katika maeneo yao ya sasa linavyofanyika...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Makatibu wa CCM wilaya waliohamishwa vituo vya kazi wagoma kuripoti vituo vipya walivyopangiwa

    Mada inahusika. Makatibu wa CCM wa wilaya nchi Tanzania, wamehamishwa kwenye vituo vyao vya kazi na wamegoma kuripoti kwenye vituo vipya walivyopangiwa. Sambamba na hilo wakatibu zaidi ya 30 wamepangiwa kazi zingine jambo ambalo hawakubaliani nalo na wamediriki kutoa rushwa Ili wapangiwe tena...
  3. B

    JamiiForums Tanzania CCM jitengeni na kundi la Wasiojulikana

    Kabla ya vyama sisi sote ni watanzania. Moja ya imani za CCM ni kuwa binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Tumefikaje huku kwenye kuuwana, kutekana, kutesana, kupotezana, kubambikiziana kesi na yote yenye ukakasi huu? Ilikuwaje kina Sabaya wakatambulika kama vijana wazalendo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tuutambue mzizi wa machungu yetu nchini

    Tanzania ni nchi moja katika zinazoangukia kwenye ule ukanda ambao wananchi wake hawana furaha katika nchi zao wenyewe. Pamoja na sisi ni Uganda, Rwanda, Burundi na Zimbabwe. Hawa wengine si wenzetu tena: Kenya, Zambia, Malawi au Afrika Kusini. Itoke wapi furaha kwetu wakati pasipo na uhalali...
  5. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Daraja la Magufuli wahujumiwa, CCM wacharuka

    Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kuwa ujenzi wa daraja refu zaidi Afrika Mashariki la Magufuli linalojengwa kukatiza ziwa Victoria kuunganisha kati ya Kigongo na Busisi unahujumiwa. Kutokana na hujuma hizo Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetaka uchunguzi wa haraka ufanyike na watakaobainika...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kama CCM siyo adui, mchawi wetu ni nani?

    Tufike mahali tuwe tayari hata kumfunga paka kengele. Tanzania ni nchi nzuri sana yenye kila kitu watu, madini, ardhi, mafuta, gesi, mito, maziwa hadi bahari. Mvua za uhakika na urithi mkubwa wote bure toka kwa Mola. Iweje tufikie kufarakana kwa sababu za kisiasa? Kwamba ni CCM, Chadema...
  7. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo huko CCM watakavyojutia matendo yao waliyowatendea wapinzani..!

    Hivi sasa huko Marekani kuna mijadala inaibuka kwa kasi sana kwamba: Kwenye mifumo ya shule zao kuwepo na mafundisho kuhusu 'Slavery' ama kwa kifupi kuhusu Civil Rights Movements na hata kuhusu Dr. Martin Luther King Jr. Sasa moja ya hofu kuu kwenye hili ni kwamba: Wazungu na hasa watoto wa...
  8. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Mwanza, Shinyanga na Musoma: CCM ikishinda uchaguzi ujao naahidi kujiondoa JF

    Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025! Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025. Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa...
  9. leonaldo

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania bwaana, hivi Bibi Titi Mohamed waliyekuwa wanamuenzi leo wakina mama wa CCM ndie huyu upande wa pili wa shilingi?

    Tuweke historia yetu vema,leo kulikuwa na maadhimisho ya siku ya wanawake wa CCM UWT na kumuenzi Bibi Titi Mohamed,Lakini mzee mmoja tukitizama nae mbashara sherehe hizi amenipa stori tofauti kabisa ambayo sikuijua hapo kabla kwa kuwa hainenwi,ndipo nikaamua kuchimbua makaburi nikakutana na hii...
  10. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania CCM msiongeze chumvi kwenye sifa za Rais Samia

    Ni kweli anafanya kazi nzuri hadi sasa licha ya ukweli kwamba bado hatujafika tunapopataka. Lakini jamani hizo sifa mnazompa Rais Samia zisitiwe chumvi, msivuke kiasi cha kujifanya kama hii nchi haina tatizo hata moja. Tumpongeze anapofanya vizuri, tumkumbushe ambapo hapajakamilika, tupinge...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Jambo jema: Hayati Magufuli alikabidhiwa CCM ikiwa na mpasuko mkubwa lakini ameiacha ikiwa moja na Imara zaidi

    Mwaka 2015 CCM ilipasuka vipande vipande baada ya mzee Lowassa kuhamia Chadema na mzee Membe kununa. Hayati Magufuli alipokabidhiwa chama alifanikisha kuwarejesha kundini wanachama wote waliokimbia CCM akiwemo mzee Lowassa mwenyewe na kundi lake lowe wakiwemo Ole milya, Masha, Dr Mollel, Mgeja...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ni fedhea Viongozi wa CCM kuandaa zoom meeting kuwajadili machinga. Ni Machinga gani ana muda wakuingia zoom kushiriki mjadala?

    Nimeana Zungu na wengine wameitisha mkutano kupitia Zoom kujadili kadhia ya machinga kuondolewa baadhi ya maeneo kwa lengo lakutaftiwa maeneo mengine. Swali ninalotaka kujiuliza, hiki kiburi cha hawa viongozi kwenda Zoom kuwajadili machinga wanakitoa wapi? Kwamba walishindwa kuwatetea Bungeni...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge wote wa CCM wameshindwa kutetea maslahi ya wamachinga nchi nzima. Nini maana yake?

    Ndugu wanaJamiiForums habari za asubuhi. Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara. Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM na CHADEMA ndio agenda kuu?

    Ukifuatilia kwa makini siasa za Tanzania zimeingia kwenye mtego wa ushabiki badala ya malengo chanya ya Kitaifa. CCM imekuwa ikitumia makada wake wa uenezi kufanya siasa za kishabiki zisizo na uzamivu wenye mantiki. Hoja kubwa za wanaCCM ni namna wanavyoweza kudhibiti mihemko na kushangilia...
  15. Shoctopus

    JamiiForums Tanzania Kutangaza kuwa Serikali ya CCM sasa inatoa fedha kwa wamachinga ni Ushindi mkubwa kwao na kwa 'WASHIKADAU' wengine

    Asalam-aleikhum Wana-JF Kwanza nawapongeza Rais SSH na viongozi wa Serikali ya CCM, hasa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makala ambaye ameonyesha ujasiri mkubwa na mfano mzuri katika kutekeleza uamuzi wa Rais SSH wenye lengo la kubadili mfumo wa biashara ya umachinga kimazingira. Tukumbuke...
  16. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini William Ruto kaanzisha chama kiitwacho CCM?

  17. B

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya uchaguzi 2025 yazingatie mikakati ya 2020 maana hakuna miujiza ya sisi wana CCM kupenya sanduku la kura

    Dalili ya mvua ni Mawingu, na ukweli usiposemwa adharani utasema sirini. Hali ni ngumu, miyoyo ya watu imekunjamana, wanacheka na wewe ukiondoka wanakung'ong'a. Inshort huna watu nyuma yako na hakutatokea miujiza ukawa na watu nyuma yako Hadi pale utakaruhusu maridhiano ndani ya chama. Ni...
  18. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania John Mnyika amepewa nini na CCM?

    Kwanza niwape pole sana uongozi na wanachama wa CHADEMA kwa madhila anayopitia kiongozi wao mkuu wa chama, hakika ni majaribu makubwa sana kwake yeye Mbowe binafsi, chama, na familia yake kwa ujumla. MNYIKA AMEPEWA NINI NA CCM? Hivi kweli CHADEMA leo ni wa kua wapole kiasi hiki kiongozi wao...
  19. Ndombwindo

    JamiiForums Tanzania CCM ilishachokwa kuanzia muda mrefu hapa nchini

    Moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda, ukiangalia namna nchi yetu iliyovyoendeshwa kuanzia 2005 awamu ya Kikwete mpaka 2015, na baadae 2015 mpaka 2020 awamu ya Magufuli utagundua kitu hapo. Hulka za kiuongozi alizokuwa nazo Kikwete ziliruhusu wananchi kuwa wazi na uhuru katika...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aliwaonya CCM kuwa ukosefu wa ajira ni bomu la petrol linalosubiri kulipuka, leo hii wamachinga waliojiajiri wanafurushwa hovyo

    Kwa nini CCM kimekuwa chama cha kusahau mara moja na kuwaona watanzania ni wapuuzi? Hamjui wamachinga ni sekta isiyorasmi amabayo imeajiri watu wa kila namna? Leo hii Tanzania nzima mnawafurusha kuhama mijini. Mnadai mnawahamishia maeneo yanayofaa. Hayo maeneo mnaodai yanafaa, je yanafikika...
Back
Top Bottom