ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Je, hawa ni wafuasi wa Chama cha Mapinduzi?

    Kwenu Chama cha Mapinduzi. Kumekuwa na malalamiko mengi dhidi ya wafuasi wenu: Pichani kama hao ni wafuasi wenu na hawafanyi hivyo kwa ridhaa zenu, hamdhani kuwa ni wakati wa ku jitafakari? Waswahili wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha.
  2. J

    JamiiForums Tanzania CCM iwe makini na mabadiliko ya Tabia nchi, tishio la ukame na njaa siyo la kulipuuza kisiasa na kiuchumi

    Kada mkongwe mzee Mgaya ametoa rai kwa chama chake CCM kutopuuza tishio la ukame kama ilivyoripotiwa na TMA. Mzee Mgaya anasema Watanzania hawajazoea njaa na endapo itatokea hali kama ya mwaka 1980 tulipokula ugali wa yanga na ule mweusi wa unga wa mtama basi mustakabali wa CCM utakuwa...
  3. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya CCM na Polisi inatuharibia nchi

    Nimekuwa naipinga sana CHADEMA kwa sababu ya uCCM wangu. Lakini kwa hizi pilika zinazofanywa na serikali kukandamiza wapinzani kwa sababu ya kulinda uozo wetu zinanipa mashaka kuwa CCM ndo imekuwa inashika dola na siyo kuongoza dola. 1. Ukikosana na kipngozi wa CCM jiandae kupambana na polisi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Iwe uongo au kweli, hapa Upinzani wana cha kujifunza

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Pamoja na yote lakini Edward Lowassa alijitahidi kuipambania CHADEMA kwenye uchguzi mkuu wa 2015 ingawaje alishindwa kuipigania baada ya uchaguzi kupita. Lakini hali kwa Lowassa ikiwa hivyo, Membe ndio sikumuelewa kabisa. Kwanza ile anaingia tu ACT na kupewa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Kachero Mbobezi - Bernard Kamilius Membe

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni: Huyu ndiye Bernard Kamilius Membe mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo akiwa mwana CCM. Hili bila shaka ndiyo lile bao almaarufu la dak ya 90. Kazi kweli kweli.
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

    Salaam Wakuu, Mwanadiplomasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020. Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kachero Mbobezi Bernard Membe kurudi CCM leo?

    Niko hapa Kijiji cha Mnala, Chiponda mkoani Lindi. Kuna ziara ya PM Majaliwa. Miongoni mwa wageni maarufu waliofika kumpokea mbali na Nape Nnauye ni pamoja na Membe aliyepokewa kwa heshima kubwa na wana CCM. Najiuliza je, leo anarejea chama chake cha zamani? Tusubiri dakika chache zijazo. Ova!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Chama Lulu sio Chama maua, CCM lilikuwa ua zuri tu

    Sasa ni wakati wa kutegemea Tanzanaia kupata uongozi Lulu (Pearl) na sio kuendelea na huu au serikali iliyokwisha zake ni ya kutupwa kwa maana ya chama hao. CCM lilikuwa Ua zuri linalonukia tulilolichuma baada ya kuunganisha ASP na TANU na kila mtu akalipenda ua hili na kila awezae ikawa...
  9. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi mkuu 2025

    Kila nikitazama maisha yanavyozidi kua magumu, watu wanavyolia na ugumu wa maisha na hali inazidi kua mbaya kuliko siku za nyuma, siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi 2025. Ugumu wa maisha hua ni sababu tosha kukiondoshea mapema chama ukombozi. Mtapiga watu, wagombea kupitia vyama vya...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wananchi wa Ludewa wanasafirisha wagonjwa kwenye machela. CCM inatia aibu.

    Wakazi wa kijiji cha Kitewele chenye jamii za wafugaji,wavuvi na wakulima wilayani Ludewa mkoani Njombe wanadai kulazimika kusafirisha wagonjwa kwa machela za miti na mhanzi zaidi ya km 32 kunusuru maisha ya ndugu zao kutokana na barabara ambayo vyombo vya moto haviwezi kupita...
  11. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Igunga: Mwenyekiti UDP ‘aunga mkono juhudi’ na kuhamia CCM

    MWENYEKITI WA UDP AUNGA MKONO JUHUDI NA KUJIUNGA NA CCM Mwenyekiti wa Chama cha UDP (United Democratic Party) Wilaya ya Igunga Mhe. Mbogo Athuman Yauha na Wanachama wenzake wameamua kuunga mkono juhudu za kuletea Maendeleo zinazofanywa na Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) inayoongozwa na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kama tumeshindwa kuiondoa CCM kwa kura sasa tufanyeje?

    Baada ya kuishinda CCM katika kura na matokeo kuwa mazuri kwa upinzani na yaliyojaa ushindi,bado CCM wametumia uchaguzi huo huo kujitangaza washindi? Je, kuna ushauri wowote ,maana uchaguzi wapinzani waliudhibiti kisawasawa na ushindi ukawepo mezani imebaki kutangazwa tu ,Lakini bado CCM...
  13. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania CCM tumshauri Rais Samia asigombee 2025

    Nawasalimia kwa jina la JMT wanajukwaa. Ndugu zangu hasa Makada wa CCM mliopo humu msinihukumu kua natumikia kundi au mlengo flani ndani ya chama. Niwe muwazi ni kwamba kwa sasa binafsi naridhika sana na utendaji wa Mama kwa miaka 5 tu aliyeachiwa na hayati JPM. Angeishia miaka hii 5 tu...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini upinzani Tanzania Wana rasilimali watu wachache sana kuliko CCM!?

    Ni wazi kwamba ili ushike dola na kuongoza bila wasiwasi unahitaji kuwa na rasilimali watu ya kutosha. Ila kwa upande wa wapinzani naona Wana watu wachache wenye uwezo wa kiuongozi kuliko CCM kwenye hazina yao. Nadhani ndiyo sababu hata inawawia ngumu kubadilisha viongozi wao hasa wakuu...
  15. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ofisi zote za ma-RPC na OCD mezani kuna kitabu cha Ilani ya CCM na hakuna PGO?

    Nimeingia ofisi nyingi za ma-RPC na OCD hapa nchini, kitu utakachokiona kwa haraka na uwazi kabisa juu ya meza zao ni Ilani ya CCM. PGO ambayo ndiyo inayotoa mwongozo wa utendaji wao wa kazi za kila siku utaiona kwenye shelf. Ni kwa bahati mbaya au kutokujua kwa viongozi hawa wa askari kuwa...
  16. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Mahita na Kingai si Makada wa CCM kweli?

    Kwa Mlolongo wa kesi ya Mbowe na wenzake jinsi ambavyo imeibua hisia za watanzania kua iko siasa na chuki ndani yake, nimelazimika kuuliza maswali haya kwa sababu kadha wa kadha ikiwemo kuwapiga na kuwaumiza walinzi wa Mbowe na wenzinge haijulikani walipo hivi sasa. Najua kabisa bila shaka kua...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Mafunzo nyuma ya mrejesho wa kinachoendelea mahakamani kesi ya CCM dhidi ya wananchi

    Uzi huu, ni maalumu kwa kuandika mafunzo unayoyapata kutokana na kesi namba 16/2020 inayoendeshwa katika mahakama kuu kitengo cha ufisadi na uhujumu uchumi. Ninaomba tukutane hapa kufanya majumuisho ya mafunzo yakini. Kwa upande wangu:- 1. Ninaona kana kwamba polisi wanafanya kazi nzuri wakiwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania CCM kujiweka madarakani imetumia migongo ya Polisi

    Tuseme ukweli kila unaposikia CCM imeshinda basi hapakosi kuambiwa Polisi walifanya hili na lile na kuzuia lile na hili. Kwa nini Polisi na wengine wanakubali kufanywa ngazi ,ngazi ambayo huwafikisha CCM kutimiza mahitaji yao ya kutwaa ushindi bila ya kupigiwa kura? CCM imevigeuza vyombo huru...
  19. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania CCM Kuweka misingi madhubuti kuendeleza sanaa nchini

    CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI Dar es Salaam 25 Septemba, 2021 Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hivi mmesahau kuwa genge lenu lilichafua CCM na kiongozi aliyefariki akainusuru CCM uchaguzi wa mwaka 2015

    Mliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusishwa kuzitenda. Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea. Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili...
Back
Top Bottom