Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,651
- 5,125
Hivi karibuni nilimtahadharisha Humphrey Polepole kutokana na mwenendo wake usiofaa wa kumpinga Rais Samia pamoja na Serikali yake kutokana na kinyongo chake cha "kupigwa chini " kwenye nafasi ya Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Taifa.
Kwanza niseme mapema kabisa kwamba Humphrey Polepole hakuwa mtu sahihi wa kuvaa " viatu" vya Nape Nnauye kwenye nafasi ya Ukatibu wa Siasa na Uenezi Taifa.
Kwakuwa siasa ndo uwanja pekee ambapo kila kitu kinawezekana basi Hayati Magufuli katika Ujenzi wake wa "CCM MPYA" akamfanya Mwanaharati Humphrey Polepole kuwa Katibu wa Siasa na Uenezi Taifa, nafasi kubwa ambayo ilikuwa ni aibu kushikwa na mtu ambaye hakuwahi hata kuwa Mwenezi wa tawi wa CCM.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni haya mabadiliko madogo aliyofanya Mheshimiwa Spika Job Ndugai katika Kamati za Bunge kwa mujibu wa matakwa ya kanuni ya 135(3) -(5) ya kanuni za kudumu za Bunge, Toleo la Juni 2020.
Humphrey Polepole amehamishwa kutoka kwenye kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za mitaa ambapo alikuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo na kupelekwa Kamati ya Sheria Ndogo ambapo nadhani atakuwa Mjumbe wa kawaida tu.
Ujumbe wa Polepole kwenye kamati Ndogo ya Sheria utakuwa wa kawaida sana kwa sababu kuu mbili; mosi, Polepole atakuwa Mjumbe wa kawaida kwa maana hatakuwa Mwenyekiti wa kamati hiyo.
Pili hiyo kamati ndogo ya sheria ni " technical committee" ina wajibu katika masuala ya sheria ambapo Polepole si Mwanasheria bali ni mtu wa "DS" ( Development Studies), Polepole ni layman hivyo hataweza "kujiachia " kama afanyavyo kwenye Shule yake ya Uongozi huko YouTube.
Nachukua nafasi hii kufanya mambo makubwa mawili kama ifuatavyo:
Kwanza, kumpongeza Mheshimiwa Spika Job Ndugai pamoja na Bunge lake tukufu kwa mabadiliko hayo yenye busara kubwa sana ndani yake.
Pili, kumjulisha Polepole kuwa haijui CCM! CCM is just like a green Snake in the green Grass! It is an invisible creature in some areas but it can bite you anytime.