ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ukongwe wa CCM, Januari Makamba ametuonesha udhaifu wa mfumo wa utawala

    Ni udhaifu sana kiongozi kutumia madaraka ya kisheria kutimiza haja zake bila kujali hisia za wananchi. Mabadiliko ndani ya Tanesco yalikuwa muhimu lakini siyo kwa aina hii ya watu wapya ndani ya shirika. Waziri Januari ameleta tena watu wale wale ambao waliiliza nchi hii kwa wizi. Siyo kwamba...
  2. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Atamaliza, tutamuongezea miaka mitano mingine kwa utamaduni wa chama cha Mapinduzi

    Majaliwa anataka Kutuambia Iwe isiwe lazima Samia awe Rais Wa Nchi Kwa Miaka 10 ijayo? =========== Kassim Majaliwa: Nataka kuwahakikishia tena, Serikali yenu iko makini na maam yetu kwenye eneo hili anaendelea kutenda haki. Leo miezi sita tu, ana miaka mitano tutamjumlishia miaka mitano...
  3. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Macho yangu yanaona kama yako? CCM mnaenda kuanguka na anguko lenu ni kubwa sana

    Serikali ya CCM imepoteza dira na mwelekeo inaelekea shimoni inaenda kuanguka na anguko lake ni kubwa sana imepoteza mvuto inawatia hofu Watanzania masikini. Walianza na hofu ya internet, kwa maana ya Bando watu walichachamaa sana wakabadili gia angani baadaye tena wakaja na suala la Corona na...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwa Chato itatangazwa mkoa kwenye kilele cha mbio za Mwenge Oktoba 14, ukweli ni kuwa CCM haiyaenzi mema ya hayati Magufuli

    Kuna masuala kadha wa kadha ambayo yameibuka na kukatisha tamaa wananchi wa kawaida. Tozo ambazo kiuhalisia ni makandamizo kwa wananchi wa kawaida. Wamachinga kuondolewa kimabavu kwenye miji mikubwa na mafisadi kuavhiwa huru kana kwamba hawakuliibia taifa. Haya ni baadhi ya mambo ambayo...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Dkt. Magufuli kuipasua CCM 2025

    Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida. Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida. WanaCcm wanaopenda...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tunahujumu juhudi za Rais Samia. Tuacheni Unafiki sisi wenye Tunaikwamisha Serikali

    CCM ina wanachama zaidi ya Mil 8. Chanjo zimeletwa kwa watu Mil 1. Mwenyekiti wa Chama kasema watu wakachanje naye akaenda chanja kama mfano. Mpaka leo chanjo si zaidi ya 400,000. Hii ni Hujuma. Tena hujuma ya wazi kabisa. Kwa wanawachama wetu zaidi ya Mil 8 nchi nzima tungekuwa tunagombania...
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Taliban kujadiliwa na UN ili kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

    The Taliban wants its envoy to address the annual United Nations General Assembly’s high-level meeting of world leaders this week, a UN spokesman said on Tuesday, raising the question of who should represent Afghanistan in the intergovernmental organisation. The Taliban, which captured power on...
  8. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Mpinzani wa kushindana na Rais Samia 2025 labda atokee CCM

    Dkt. Slaa ndiye mgombea pekee mwenye sifa zote za kuwa Rais, kuwahi kugombea kupitia CHADEMA FREEMAN MBOWE walimjaribu 2005 wakaona hamna kitu ndio maan 2010 wakamuweka kando na kwenda na Slaa. Slaa ndiye Mchadema pekee aliyekuwa na kila sifa kuwa Rais. 2015, Lowassa akawatembezea fedha...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atakubali CCM iendelee kubeba sura ya uovu?

    Samia ni Rais na pia ni Mwenyekiti wa CCM. Hivyo chochote kinachofanywa na Serikali au CCM, kinamgusa moja kwa moja. Kwa upande mwingine, sura ya CCM na Serikali, inabebwa na aina ya viongozi waliopo (serikalini na kwenye CCM), watu wanaoitetea na kuisifia kwa kila jambo serikalini na kwenye...
  10. B

    JamiiForums Tanzania CCM Ina wanachama Milioni 9+ lakini bado wanaiba kura

    CCM Ina Wanachama Zaidi Ya Millions 9 Lakini Bado Kwenye Uchaguzi Wanaiba Kura; Hii Inaniambia Na Kunipa Maana Ya Kwamba Mioyoni Mwa Hao Wanachama Huenda Wapo Nao Physically But Mentally Ni Wapinzani😇👐🏿🇹🇿 Wengi Tupo CCM Sio Kwamba Tunakipenda Chama Na Mambo Yake. Hapana Tupo ndani Ya Chama...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa maelekezo kumaliza sintofahamu ununuzi wa mahindi Songea

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wakala wa chakula NFRA kuweka utaratibu mzuri ili kumaliza sintofahamu iliyopo juu ya ununuzi wa mahindi Manispaa ya Songea kwa kuhakikisha wananchi wote waliokwisha kuorodheshwa Mahindi yao yananunuliwa pamoja na kuongezwa kwa kituo kimoja cha ununuzi wa...
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro alituahidi kumkamata Mange Kimambi kwa udi na uvumba, leo hii tunamuona akipiga picha na Rais wa JMT. Ndio kusema hakuikosea Jamhuri?

    Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe. Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa...
  13. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Mali za CCM zilizotokana na makato kwa raia wote wakati wa chama kimoja ni haki ya nani?

    Mada yangu iko wazi wazi. Naomba wajuvi wa mambo ya haki na umiliki, bila mahaba ya kisiasa waniweke sawa. Hivi mali zilizopatikana kwakuwakata tozo na kodi na ushuru, raia wote wakat wa chama kimoja cha CCM leo hii kwa nini wazimiliki raia wa chama kimoja? Hapa namaanisha majumba, viwanja...
  14. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Polisi acheni kutumika kisiasa kuwalinda CCM, Corona ipo Upinzani tu, CCM hakuna?

    Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza vyama viingine vya kisiasa. Kama CCM wanakagua utekelezaji wa Ilani yao, ni kazi ya upinzani pia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi kishtakiwe rasmi UN

    Ni wakati muafaka Vyama vyenye ushawishi mkubwa kwa wananchi wajiwezeshe na kujipanga ili kuishataki CCM katika Umoja wa Mataifa. Tunajua ipo kesi au madai ya WaZanzibari kudai nchi yao ambayo yamefikia mahala pazuri,ila hilo halitoshi kuona haki za binadamu zinakiukwa na wananchi wengi...
  16. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Msigwa acha propaganda hazikusaidii, Hamza ni wa CCM, unataka ushindi gani?

    Ninasikitika sana kunona umeingia chaka kua na msemaji wa serikali ambaye ima kwa makusudi mazima anapotosha umma au hajui anachokifanya. Gazeti la Rais mwema kuandika eti "HAMZA WA CCM" wananchi walishindwa kuthibitisha? Huyu Hamza si alijenga ofisi cha Chama huko Chunya? Mnataka uthibitisho...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania CCM tujisahihishe au watanzania watatusahihisha

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Miaka 22 imepita sasa tangu Baba wa Taifa atutoke, Tanzania imeendelea kuwepo na hakika itaendelea kuwepo sana. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa rais wa kwanza wa Taifa letu aliacha hazina ya maongozi na mawazo chanya yenye...
  18. Red Giant

    JamiiForums Tanzania CCM haiwezi anguka kirahisi, ina kila namna ya kuwa-reward makada wake

    Habari wakuu. Baada ya kusoma kiarticle fulani, nimeona kitu hiki. Tawala nyingi huanguka kutokea ndani. Si kitu rahisi watu kutoka nje kuangusha utawala ambao upo established. Mfano ni Rais wa Misri Mubarak, alianguka baada ya majenerali kuacha kumuunga mkono. Mambo yanayoweza sababisha watu...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Vijana, wazee na viongozi wa CCM mmemsusia mama?

    Kuna mgomo na mpasuko ndani ya ccm, labda hawakubaliana na aina ya viongozi waliopo kwenye chama au wengi wamefunikwa na mapinduzi yakiutawala yaliyofanywa na mama awamu ya sita. Hakuna anayejadili habari za mama positive isipokuwa viongozi wa kitaaifa na wakiondoka jukwaani wanarudi kulekule...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Huyu kiongozi kama angelijua CCM iko hivi asingelifanya juhudi kusaidia taifa lake

    Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi. Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm wenzake. Kumbe kwa miaka mitano alikuwa kauzibe wa mikakati yao ya kuwadhulumu na kuwanyonya wanyonge...
Back
Top Bottom