ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. nyboma

    JamiiForums Tanzania Huwenda hizi ndizo zama za mwisho kwa CCM kuiongoza Tanzania, nikitafakari kifo cha Rais John Magufuli na hili la Machinga nafsi yangu inaniambia kitu

    Kwa mambo hayo mawili naiona Tanzania mpya ikija kwa kasi ya ajabu, na tuelewe ya kwamba watu wa chini kama hawa machinga ndio wamekuwa chachu ya kuleta mabadiliko katika nchi za wengine. Tujaribu kukumbuka kilichotokea tunisia december 17/12/2020 baada ya machinga anayeitwa “Mohamed Bouazizi”...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: ~ Makatibu wa CCM wa wilaya na Mikoa wabadilishiwe vituo vya kazi kabla ya uchaguzi wa chama 2022

    Kuna makatibu wa CCM wilaya na Mikoa wasipobadilishiwa vituo vya kazi. Mapema na ksbla ya ichaguzi mkuu wavchama CCM 2022 watachagua mamluki na watu wasio na sifa. Pili wamekuwa miungu watu kwa chama na kwa wananchi. Ninashauri waondolewe mapema na kuweka wengine wapya na waadilifu.
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM ni ileile, hii kauli ina maana kubwa

    CCM bado inamuenzi hayati Julius Nyerere na vizazi vya akina hayati JPM kulinda ustawi wa taifa letu. Au CCM imegeuka kuwa Chama cha mafisadi na sasa inaendeleza kutafuna mali za umma. Maana yake nini? Mama Samia amerudisha CCM ile ya Kagoda, Meremeta, Symbion n.k? My take; CCM inatakiwa iwe...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tafadhali usitumie kodi zetu kwa ajili ya CCM

    Nimeshangazwa sana kwa kitendo ulichofanya jana mkoani Arusha kuugeuza mkutano wa hadhara wa Rais wa JMT kuwa mkutano wa kisiasa wa CCM. Ninakukumbusha kwamba gharama zilizotumika jana ni kodi zinazotolewa na Watanzania wote na yamkini waliokuwepo uwanjani ni watanzania wa vyama vyote na...
  5. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Suala la Sabaya, CCM imejionesha kuwa ni chama cha Dola

    Lazima wana CCM tuainishe the basic contradiction ya uhusika su kutohusika kwa CCM katika suala la Ole Sabaya. Komredi Abdulrahman Kinana alipokuwa Katibu Mkuu CCM, pamoja na Katibu Mwenezi Nape Nnauye, wakati wao wslidiriki kuinyooshea kidole Serikali kwa mapungufu kila idara iliyokuwa...
  6. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ally Bananga arudi CCM kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu

    Mwanachama wa Chadema, Bananga arudi CCM Alikuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA 2015 hadi 2020. Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Ally Bananga leo Jumapili ametangaza kurejea tena CCM mbele ya Rais Samia Hassan “nawashukuruni vijana wenzangu wa CCM...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere aliipenda nchi siyo CCM

    Kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Nyerere mapenzi yake yalikuwa kwa nchi siyo CCM. Ukipenda nchi utakuwa mzalendo kwa dhati yako. Huwezi kutumwa kufanya ujambazi, ubakaji, utekaji, utesaji, wizi, udhwalimu nk, nawe ukakubali na hata kuja kujitetea mahakamani kuwa ulikuwa mtumwa tu. Kwa hakika hii ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania CCM iliendaga na hawa mgwiji wawili wa siasa. Hivi Sasa CCM iko mochwari

    Hawa jamaa ndiyo walijua namna ya kufanya siasa na kuifanya ccm ichanue tena ndani ya mioyo ya watanzania. Walijua waseme nn, wakati gani na kwa faida gani? CCM ilinga'ara na kupendwa sana. Chaguzi zilipofika kulikuwa na mtifuano wa haki wa kisiasa baina ya CCM na wapinzani. Baada ya wao...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wabobezi wa siasa za CCM na wasomi wa falsafa Dkt. Bashiru Ally na Dkt. Wilson Mukama wamesahaulika haraka sana?

    Hawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD. Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani. Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Funzo: Vijana wa CCM acheni siasa za chuki zitawaponza. Mnawaumiza wazazi wenu na familia zenu bila sababu. Acheni!

    Waswahili wanasema majuto ni Mjukuu. wengine wakaongeza kuwa Mchuma janga hula na wa kwao. Lakini pia kuna msema wa kisheria unasema Jinai Haifi. Ewe kijana wa CCM unayehendekez siasa za chuki nakusihi achana nazo. Zitakuja kukucost wewe na familia yako siku a muda usio ujua. Nani...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Sabaya kapprove kwamba takribani 50% ya wabunge wa CCM hawakushinda na wenyewe wanajua hilo. Walitangazwa kwa ubabe na hila

    Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm. Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi...
  12. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Je Vijana wa CCM wamejifunza jambo au bado wameziba masikio??

    Hatimae kijana Jasiri, imara kweli kweli amehukumiwa 30yrs nyuma ya nondo, huu ni mzunguko wa kwanza, bado kuna mizunguko miwili nasikia.... Tumekua tukiwasihi hata kwa machozi, vijana wasidanganywe na kutumiwa kuficha maovu au hata kuyatenda! Sasa baada ya songombingo hii ya "From Hero to...
  13. John Manoni

    JamiiForums Tanzania Kwa hukumu ya Sabata naona kivuli cha sababu Za CCM kupora kila chaguzi

    Wakuu,hukumu ya DC aliyesimamishwa ndg.kada Ole Sabaya inatangulia mbele ya uporaji na uvunjaji wa sheria unaofanywa na CCM kwenye uchaguzi. Hata akitoka kwa rufaa au msamaha wa rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM bado makusudi na mpango mahsusi upo palepale. Historia...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbwiliza, Natamani uongelee awamu 6

    Kama kuna mstaafu wa kisiasa utavutiwa kusoma maoni yake pindi afanyapo mahojiano na waandishi wa habari ni Prof. Joseph Mbwiliza. Huyu ni mbunge wa zamani wa Kasulu kabla ya kugawanyika na kuwa majimbo 3, Mjumbe wa NEC akiwakilisha mkoa wa Kigoma enzi hizo, RC wa Kilimanjaro na Naibu waziri...
  15. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tabora: Katibu wa CHADEMA Igunga aunga mkono juhudi na kuhamia na CCM

    MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM ATUA IGUNGA, AONGEA NA WANACHAMA NA KUKAGUA UJENZI WA WODI YA MAMA NA MTOTO "Katibu wa CHADEMA Jimbo la Igunga, aunga mkono juhudu za Mama Samia na kuhamia CCM" Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa wa Tabora Ndg. Afadhal Taibu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko

    Askofu Severine Niwemugizi pasipo na kumung'unya maneno amefunguka: “Mwalimu Nyerere alikuwa muumini wa uhuru wa mawazo, mijadala na kujenga hoja. Alipenda kuona jamii ya watu wanajadiliana kwa hoja hata pale wanapokinzani kimtazamo. Hakupenda hoja za upande mmoja ndiyo maana licha ya wenzake...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Snoop Dog na Wueen Latifa wamejiunga na CCM

    Wakiwa katika tabasamu bash adha baada ya kukabidhiwa kazi zao za chama kikongwe cha siasa kuliko vyote barani Afrika.
  18. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania 2025 CCM watakubali kufanya kosa walilofanya 2015?

    Ni wazi umaarufu wake kwa sasa umeporomoka kwa kiwango kikubwa sana. Laiti uchaguzi ungekuwa ni leo kisha akasimamishwa yeye na mzee wa ubwawa ni dhahiri shahiri mzee wa ubwabwa angeondoka na ushindi. Kauli zake pia zimechangia kwa kiasi kikubwa kuzidi kuporomosha umaarufu wake. Kujimwambafai...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania TOT ni mali ya CCM haipashwi kutumika kwenye hafla za kitaifa. Huku ni kutumia vibaya rasmali za Watanzania

    Nipo nyumbani kwenye luninga nafuatilia sherehe za kuzima mwenge huko Chato. Jambo la ajabu ni kuona bendi ya TOT ambayo ni mali ya CCM ikitumika ili hali ni sherehe ya kitaifa. Kutumia kodi zetu kuwalipa Tot ili hali ni mali ya CCM ni kukosa busara za kisiasa. Abadani haya mambo yanatakiwa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania CCM jifunzeni siasa za kistaarabu toka kwa majirani

    Nimeambiwa Rais Uhuru yupo DC na ataongea na Biden kama Rais wa kwanza Africa kufika while House kwa official visit na zaidi wataongelea mambo ya demokrasia Africa. Nimejuliza sisi tunakwama wapi? Mbona wa kwetu alikuwa huko huko juzi tu, nini mbaya Haya naambiwa pia Uhuru atamkampenia...
Back
Top Bottom