ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM ni yetu sote, tusiikimbie

    Wewe kijana mwenzangu, achana na mawazo ya kupinga CCM, nafikiri ni hekima kupinga uovu, kuwakataa waovu, naamini upinzani wa namna hii utatoa matokeo makubwa ukiwa ndani ya CCM kuliko huko nje. Tuijenge nchi yetu, tusiharibu waliposimamia wajenzi wa msingi. TANZANIA NI KWETU
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM

    Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM. WAKAZI wa Tarafa ya Laini, wilayani Itilima Mkoani Simiyu wamelalamikia kitendo cha watumishi wa Afya kwenye zahanati kuwatoza fedha ili wapate kadi ya watoto ya kliniki wakati huo hutolewa bure...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM inasiasisha usalama wa nchi yetu. Ni HATARI!!!

    Kwa kipindi kirefu sana CCM imekuwa ikisiasisha usalama (Politicize national security) wa Taifa letu. Mwanzoni wengine wenye umri mkubwa kidogo ingawa hatujafikia umri wa kina johnthebaptist tulielewa. Huko tulikotoka kabla ya mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporudishwa tena, mambo ya...
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

    Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka . Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

    Zitto Kabwe amesema mwaka 2012 alipata changamoto chama chake cha wakati huo cha CHADEMA akidai ilikuwa juhudi ya kumzuia kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Zitto amesema kulikuwa na makubaliano baada ya kugombea uchaguzi wa nyuma yake kwamba amuachie kijiti Freeman Mbowe na atampokea miaka mitano...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mambo matano hatari ukiwa CCM, moja lilimkuta Comrade Chongolo

    Sisiemu ilishaacha kuwa chama cha siasa.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Haiwezekani sote tukawa wapole, tutaonewa sana

    Nimeipenda sana hii statement ya Mkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila. Nakubaliana naye kuwa ni kweli kabisa haiwezekani kwa watendaji wote mkawa wapole lazima wengine wapo ni wakali kwa asili yao, na huo ukali wao ni faida kubwa kwenye kuharakisha maendeleo. ukali ni muhimu sana, bila ukali wabongo...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Je CCM yamuandaa Mh Anthony Mavunde kuwa Rais ajaye?

    Wakuu salamu kwenu. Je imawezekan CCM inamuandaa Mh Mavunde kuwa Rais Ajaye?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wazalendo ungeni mkono demokrasia, katiba mpya kwa manufaa ya nchi yetu

    Kuna watu wengi ambao wapo CCM na ni wazalendo. Lazima muelewe sio matakwa yote ya CCM ni kwa faida ya nchi kuna mambo mengi sana ambayo ni kwa mafanikio ya tabaka la utawala ndani ya CCM. Tabaka hili lenye mtandao mkubwa ni wale wakubwa ambao ndiyo wanafanya maamuzi ikiwa ni pamoja na kuingiza...
  10. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing). Furaha Dominic ni yule kijana ambaye Magufuli alimkata jina na kusisitiza kuwa hafai kuwa mbunge wa Kawe. Magufuli huenda alikuwa anajua...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Makalla: CCM nafasi zote zipo wazi isipokuwa ya Urais

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, Amos Makalla amesema nafasi zote za kuchaguli katika chaguzi zijazo zipo wazi isipokuwa ya Rais wa JMT. Akizungumza leo Aprili 20 hapa Songea mkoani Ruvuma, Makalla amewataka wana CCM kuhamasisha Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Chadema yaanza kuiunguza CCM, Viongozi wake waweweseka

    Tlulionya Mapema sana kwamba haya maandamano ya Chadema yataleta madhara makubwa sana lakini tukapuuzwa . Ikiwa ndio kwanza yameanza leo , Tayari viongozi wa ccm washaanza kutoa machozi ya damu . Hebu mwangalieni Pedeshee Amos Makalla akilalamika huko Mbinga.
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Diwani wa CCM Handeni yapigwa kalenda

    Kesi ya Diwani wa Chanika wilayani Handeni, Tanga, Abdallah Chihumpu imeshindwa kuendelea baada ya hakimu anayeisikiliza kutokuwepo mahakamani. Diwani huyo anashitakiwa kwa kosa la kumdhalilisha mfanyabiashara, Stanley Lyakundi kuwa ameiba eneo la wazi la Shule ya Msingi Chanika. Shauri hilo...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed (Mwenyekiti CCM Mkoa wa Simiyu): Sikilizeni na Kutatua Kero za Wananchi

    SHEMSA MOHAMMED, MWENYEKITI CCM SIMIYU (M): SIKILIZENI NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed amewataka viongozi wa chama hicho na viongozi wa serikali wa ngazi mbalimbali katika mkoa huo kusikiliza na kutatua kero zinazowakabili...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM Simiyu Yampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwaletea miradi ya maendeleo

    CCM SIMIYU YAMPONGEZA RAIS DKT SAMIA SULUHU KUWALETEA MIRADI YA MAENDELEO. LALAGO; MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Shemsa Mohamed amempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa kupeleka fedha nyingi kwa ajili ya kutekeleza Miradi mbalimbali ya Maendeleo...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi. Ameelekezwa kufika kwenye Kamati hiyo tarehe 22/04/2024. ===== Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili. Makonda anatarajiwa kufika...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Patrick Mwalunenge (Mwenyekiti CCM Mkoa wa Mbeya) Atinga Site na Vipimo Kutatua Mgogoro wa Fidia Ujenzi wa Barabara Njia Nne

    PATRICK MWALUNENGE (MWENYEKITI WA CCM MBEYA) ATINGA SITE NA VIPIMO, KUTATUA MGOGORO WA FIDIA UJENZI WA BARABARA NJIA NNE Mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya amefika eneo la takio na vipimo baada ya Wananchi wa kata za Nzovwe na Mabatini Mkoani himo kulalamika kitendo Cha...
  18. Nyamesocho

    JamiiForums Tanzania Jinsi pikipiki za CCM zilivyowagawa wanaccm majimboni

    Siku za hivi karibuni tumeona makatibu wa chama kwenye kata wakipewa pikipiki maeneo mbalimbali Tanzania Hata hivyo mgao huo umejenga chuki na makundi kwa wanaccm wenyewe kwa wenyewe Madai ya chuki Wengi wanadai kuwa kitendo cha kuwapa baadhi yao pikipiki ni cha ubaguzi kwani na wao ni wanaccm...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025

    Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025 MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amesema chama hicho hakitambeba mtu wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani na kuwa atabebwa kutokana na matokeo yake ya kukitumia chama hicho...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kama lengo la chama cha siasa ni kushika madaraka, kwa sasa CCM ndiyo chama chenye mafanikio zaidi Afrika?

    Nimesikia mara nyingi sana viongozi, hasa viongozi wa vyama vya upinzani wakisema kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Maana yake chama kikishika madaraka kinakuwa kimetimiza lengo lake kuu. Na kikiyashika kwa muda mrefu zaidi ndivyo kinavyokuwa kimetimiza lengo lake kuu kwa...
Back
Top Bottom